The best pick up line?

kwa nini u-faint dearie???

aii bestlady unategemea sweetheart ,sweet lotion unakumbana na nani anakuweka mjini??
kama ni mapenzi honey bathi yameisha zamani...

Please bring me coffee baridi fast
 
aii bestlady unategemea sweetheart ,sweet lotion unakumbana na nani anakuweka mjini??
kama ni mapenzi honey bathi yameisha zamani...

Please bring me coffee baridi fast

hahaaaa ntakupa chai ya barafu kwa afya zaidi
 
aaaah lakini mtu akiniuliza who pays my bills namjibu tena kifua mbele kwani???

Unasema hayo saizi, wengine ukiwapandisha na kuwashusha na ukicheki credentials na unaulizwa nani anakuweka mjini..lazma unyweee na ufikirie jibu mara mbili mbili..to cut the story short its works all the time.
 
hahaha bht kuna kparty hapa kweli ?
yethuuuuuuu na maria ..

my bestlady kitchen party kwangu sio applicable am sorry to say so.....mi najifunza kila siku, ile ya siku moja pale mbele ya wamama it wont do me any good!!! afu pia sitaki zile sahani za chinaware wanazoletaga bana aaaah!!!
 
Kwa jinsi ulivyokolea naweza kumpiku mhudumiaji?

lazima utoke mijicho kama mjusi aliyebanwa na mlango.:confused:
 
Unasema hayo saizi, wengine ukiwapandisha na kuwashusha na ukicheki credentials na unaulizwa nani anakuweka mjini..lazma unyweee na ufikirie jibu mara mbili mbili..to cut the story short its works all the time.

hebu kwanza twende pole pole hapo Kapinga....
unaona kama sitaweza kujibu hilo swali au vipi?
na je hapo kwenye red unakuwa hujategemea kama kawekwa mjini au inakuwaje mpaka unywee??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom