toba yarabi; yaani hamuachiwi ufunguo!!! Samahani kwa wale ambao kidogo tulipishana lugha, blame the Americans for messing up with our lingo! Lakini mada imeenda hatimaye kule ilikotakiwa.
Pick up lines ni maneno ya kwanza ya kutongozea; yaani unachomwambia mtu mara ya kwanza na kupata attention yake. mifano mbalimbali imetolewa n.k Siyo maneno mnayoambiana wapenzi chumbani au kuonesha hisia zenu bali ni maneno unayotamka au uliyotamkiwa mara ya kwanza na jamaa mkachukuana (pick up)..
Kwa mfano:
- Dada samahani unaweza kunielekeza njia?
- Ya kwenda wapi?
- Moyoni mwako! - binti anaweza kupatwa kigugumizi cha sekunde! halafu maneno mengine yanafuataia.
au,
Excuse me (hii inapendeza kwenye kadamnasi ya watu)
How can I help you? she asks
Are you from Tennesee (tenasii)
No, why?
Because you are the only TEN I SEE (playing with words)
au,
za kikristu, (ziko collection nyingi tu za pick up lines nilikochukua hizi)
zipo kila aina ya pick up lines.. zipo za kuchekesha, zipo zenye mrengo wa matusi, zipo ze kuudhi na nyingine purely comical.. some of them:
Now I know why Solomon had 700 wives... Because he never met you.
I know its absurd, but every time I walk towards you, it feels like im being lead to bethlehem.
I believe one of my ribs belongs to you
za kiislamu;
I need to break my fast. Can I have a date?
Allah created everyone in pairs, so what are you doing, single?
za kusababishwa uchapwe kibao!
If I flip a coin, what are my chances of getting head?
I lost my virginity. Can I have yours?
ya kuchekesha:
If I were a stop light, I'd turn red everytime you passed by, just so I could stare at you a bit longer.
You're so beautiful that you made me forget my pickup line. (hii itamfanya atabasamu)
Damn, if being sexy was a crime, you'd be guilty as charged!
There is something wrong with my cell phone. It doesn't have your number in it.
Unajua ni saa ngapi saa hizi (akiangalia saa yake na kukupa) unasema hapana, yaani saa ya kunipa namba yako!
Are you cold? You look like you could use some hot chocolate... Well, here I am! (hii nzuri kwa mweusi kumtongoza binti mweupe)..