The 100Megawatt Syndrome

Mdondoaji,

Suala ni expensiveness of a project and cost or uzembe wetu kufany awhat is necessary to get stuff done?

Mbona Mtera na Kidatu ambazo ni least expensive zinatutoa kamasi kila mwaka? Do we even have a cuture of taking care of what we have like scheduled maintenance without opting to buy a new replacement unit?

Angalia magari ya Wabunge na Serikali, nobody really takes care yakapate full maximum utilization, kila 5 years tunadai gari limechoka tunataka jipya, where in the regulations of public goods we are accepting tear and wear and write off something in less than 5 years?

That is another problem, we buy and build stuff but we do are not taking care of them after the grand opening and wazee wa mikasi kukata tepe!

If my memory recollects well, it was somewhere between 1086-1989, when Tanesco communicated to Serikali an need to undertake a scheduled maintenance of Mtera and Kidatu and Serikali said NO, keep pumping the turbines...next thing I recall is massive importation of generators like swarm of Nzige and Unspecified Power Interruptions since then...25 years later we are yet to find a solution rather we are compounding problem after problem and short term after another and as always, we find these short term solutions are flawed and filled with corruption in addition to ridiculous pricetags!

Rev Kishoka,

Ikiwa Hydro electric Dam zinatutoa kamasi Nuclear Plant tutaziweza? This is why nilisema niliposoma hotuba ya waziri ngeleja nilitamani kucheka na kulia hapo hapo (sijui nikueleze vipi). Nilitamani kucheka kwa sababu wizara is offering short term solution for long term problems (sijui niiandike vp kwa kiswahili ila natumai imeeleweka). Zinaposhughulukiwa projects za 100 MW na mahitaji ya umeme yanakuwa kila mwaka kwa zaidi ya MW 100 in 5 years time tutarudi tena katika tatizo hilo hilo tutawaita IPTL, Symbion watuuzie umeme na kutengeneza mirija ya ufisadi (10% humo humo au profit margins).

Nimetamani kulia kwasababu shida ya umeme inamuumiza mtanzania wa kawaida. Leo kama umesoma the Guardian umeme unategemea kukatwa for 60 days hebu nikuulize mtanzania mwenye biashara ya internet cafe, saloon za akina mama watakula wapi??? Na gharama za bei za vitu si zitaongezeka maradufu na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu. Kuna afisa mmoja wa Tanesco mwanamama sijui nani alishauri wanunue solar panels ila swali ni akina nani wanaweza kuafford kununua solar panels????

Inatia hasira kwakweli this is absolutely ridiculous!!!!
 
Jamani sote nadhani tunazungumza kana kwamba ndio tumegundua kuwa kuna vyanzo vingi vya nguvu ya umeme nchini. Vyanzo vingi vya umeme vimejulikana tangu enzi na enzi. Hilo la Stielger's Gorge lilijulikana na kufanyiwa upembuzi yakinifiu wakati wa Nyerere. Ikajulikana ina uwezo wa kutatua matatizo yetu yote ya umeme. Gharama yake ilijulikana wakati ule na hata sasa badala ya kuikubalia serikali kuwekeza kwenye hivi vyanzo vya 100MW tungewaambia mipango iwe ya aina mbili tu.

a. Kununua mitambo ya mafuta ya kuzalisha angalau MW500 ambayo ni convertible to gas vile vile. Hili linawezekana hata kesho tukitaka.
b. Katika urafiki wetu na hizi nchi za Kiarabu ambazo zina mafuta mengi kwanini tusikubaliane nao kupata discount ya mafuta? Wanapokuja na kupewa ardhi na wanyama wetu sisi tunapata nini kutoka kwao? Na kwanini tupate kitu kingine zaidi ya mafuta?
c. Bunge hili lipitishe fedha kuanza ujenzi wa Stielgers Gorge na kuweka target ya kuukamilisha mradi by 2013. Wameuahirisha huu mradi kwa karibu miaka 30. Kama kweli Wabunge wanataka Tanzania iondokane na tatizo hili mradi mkubwa wa karibu 2300MW wa Stielgers ndio mwokozi pekee. Hiyo miradi mingine yote 15 iwekwe pembeni ili fedha na raslimali zetu zote zielekezwe hapa.
4. Kufanyia marekebisho na matengenezo vyanzo hivi vingine vya umeme vya sasa ili kuvirudisha katika maximum production capacity.
 
MMK,

I like your idea of passing the budget for Stieglers now and the timeline. This will be the good test to our politicians. And if CCM wants redeem themselves, they should be the ones to make extra effort to make sure the budget for this project passes now.
Ni kweli hiyo miradi mingine isimame ili tumalize hili janga once and for all hadi watoto wetu nao wakifika wakute hakuna tatizo la umeme.
Kama shida ni funding, wauze a few shares za Tanesco to the public for more funding. Deficit wakope WB, etc.
As for discounted fuel toka kwa warabu, viongozi wetu wa sasa wenye hiyo position hawana uzalendo wa kuomba hiyo discount. Pili, mafuta yatashuka bei tu since Obama amefungulia resrve zao. Demand ya mafuta ya warabu itashuka na bei zitashuka. Ila sijawahi ona mafuta yakishuka bei Tanzania kama yalivyoshuka US.
 
kama mabomba ni tatizo basi watumie meli kusafirisha hiyo gesi na magari au laa wajenge vituo vya kuzalisha umeme huko huko wasafirishe umeme

Tatizo si mabomba au miundombinu ya kusambaza gesi, bali ni mikataba ya ovyo iliyofanywa na vibaka hawa ndani ya serikali ya CCM ambapo serikali haina hata chembe ya haki ya kuamua matumizi ya gesi inayovunwa nchini. Wahuni hawa waliafiki mkataba unaoligandamiza kabisa taifa letu kwa maslahi ya matumbo yao na maswahiba wao. Kwa mfano katika mkataba huo mwekezaji ndiye anayeweza kuamua matumizi ya gesi hiyo, auze wapi, nchini au ng'ambo; kwa bei na fedha gani, n.k. Kwa hiyo mpango wa kusambaza gesi sehemu mbalimbali ili itumike kama nishati mbadala katika magari na mashine umekwama, tena hata serikali yenyewe ikiitaka gesi hiyo inayozalishwa nchini ni sherti iinunue kwa fedha za kigeni! yaani dola, pauni au yoyote lakini si hizi zetu. Mimi bado najiuliza hivi hawa waliotia saini mikataba ovyo kama hii wanafikiri kwa kutumia vichwa kama binadamu wengine au wana kiungo kingine wanachotumia kufikiri? Natamani nchi hii ingekuwa China ambapo watu wa namna hii hunyongwa mara moja na ksahaulika, lakini kwetu hapa tunawaita "Waheshimiwa" Shame on them.
 
Guys

Please know that our distribution and transmiSsion networks are also loaded and aged

Technical losses increase mzigo unapokuwa mkubwa kwahivyo hata generation ikiongezeka ni lazima transmission lines ( njia kuu za kusafirisha umeme kama 132kv to 220kva zijengwe )

Mwaka huu tumeshuhudia upotevu mkubwa wa umeme Arusha kwa vile msongo wa kilovolti 132 umezidiwa na vituo vya kupoozea havitoshi (substations)

Inatubidi basi njia kuu za usafirishaji umeme kuimarishwa ili kuzuia upotevu, njia za usambazaji km 33kv na 11kv ( umeme unaokuja majumbani) ziimarishwe, kwasasa hata kama kuna umeme unasikia transformer imezidiwa, ina maana wateja wameunganishwa wengi kuliko uwezo au kama masaki residential zimegeuka commercial

Kama mdondoaji alivyosema, tukibania hizi posho na kuzielekeza kwenye uzalishaji na usambazaji wa umeme tutanusuru nchi, sambamba na hilo ni lazima kupanua vyanzo vya gesi asilia, gesi kama reserve ipo ila ndio kwanza bado hata drilling hazijaanza mahali pengine

Mradi mkubwa kama stiegler unaweza kujengwa kwa awamu, yaani sio lazima zimalizike zote within 5yrs unaweza kuwa na 15yr life span ambayo inaongeza generation kwa awamu na kunusuru hali

Aliyetoa pendekezo la GE kuja na kusema alete mtambo ufungwe, kiuhandisi si sahihi, mtambo lazima uende na specs za gridi husika
 
Nsiande, ndio maana kuna swali nilikuuliza wakati ule kwamba katika hali ya sasa hivi tunapoteza kiasi gani cha MW kutokana na uchakavu wa mitambo (kwenye mabwawa) na by implication kwenye hizi njia n.k? Je kuna figure ambayo unaweza kutupa japo kinadharia kwamba tukirudisha mitambo yote ambayo haizalishi kwa kiwango cha juu kwa sababu ya uchakavu (siyo mvua) ni kiasi gani kitarudishwa kwenye gridi? I'm really interested in this kwa sababu mafisadi wanafuata template ile ile ya UDA wanaacha vya kwetu vichakae halafu wanakuja na kutuambia vimechakaa badala ya kureplace na kuleta vipya wanaamua kuviuza ili walete vya kwao au jamaa zao.

Kama mdondoaji alivyosema, tukibania hizi posho na kuzielekeza kwenye uzalishaji na usambazaji wa umeme tutanusuru nchi, sambamba na hilo ni lazima kupanua vyanzo vya gesi asilia, gesi kama reserve ipo ila ndio kwanza bado hata drilling hazijaanza mahali pengine

Hili la posho ni dogo sana, ni suala la kujua na kufanya a better allocation of resources. Kwa mfano, tulipotenga dola bilioni 1.4 kwa ajili ya Kilimo Kwanza, au kuingia Mkataba wa dola milioni 698 wa MCA, au huu wa juzi wa UN wa dola milioni 700, au tunapopoteza karibu dola bilioni 10 in the past ten years alone through corruption utaona kuwa tatizo kumbe siyo "posho". Binafsi nimejikuta nabadili mawazo kabisa kuhusu suala la "kubana matumizi" kwa sababu ni unrealistic kwa nchi kama ya kwetu, we need to spend more. I for one, naamini ili mabadiliko katika maisha ya Watanzania yaonekana bajeti yetu haiwezi kuwa chini ya dola bilioni 50 kwa mwaka! ambapo ukiangalia itakuwa tuna spend kama dola 1200 tu hivi kwa mtu mmoja! wakati nchi kama Marekani yenye bajeti ya Trilioni 3.4 inatumia karibu dola 10,000 kwa mwaka kwa Mtu mmoja. Sasa hivi bajeti yetu ilivyo ya maendeleo tunatumia kama dola 200.00 kwa mtu. We are under investing katika maendeleo yetu.

Mradi mkubwa kama stiegler unaweza kujengwa kwa awamu, yaani sio lazima zimalizike zote within 5yrs unaweza kuwa na 15yr life span ambayo inaongeza generation kwa awamu na kunusuru hali

Hili ni kweli, na kama wangetaka wangeweza kufanya hivyo ten years ago; wangeweza kabisa kama wangetaka, say ya kwanza ndogo, inazalisha 500MW na nyingine mbili zinajengwa baadaye.

Aliyetoa pendekezo la GE kuja na kusema alete mtambo ufungwe, kiuhandisi si sahihi, mtambo lazima uende na specs za gridi husika

Nadhani hilo la spec linakuwa presumed kwamba ni given.
 
Guys

Please know that our distribution and transmiSsion networks are also loaded and aged

Technical losses increase mzigo unapokuwa mkubwa kwahivyo hata generation ikiongezeka ni lazima transmission lines ( njia kuu za kusafirisha umeme kama 132kv to 220kva zijengwe )

Mwaka huu tumeshuhudia upotevu mkubwa wa umeme Arusha kwa vile msongo wa kilovolti 132 umezidiwa na vituo vya kupoozea havitoshi (substations)

Inatubidi basi njia kuu za usafirishaji umeme kuimarishwa ili kuzuia upotevu, njia za usambazaji km 33kv na 11kv ( umeme unaokuja majumbani) ziimarishwe, kwasasa hata kama kuna umeme unasikia transformer imezidiwa, ina maana wateja wameunganishwa wengi kuliko uwezo au kama masaki residential zimegeuka commercial

Nsiande,

Why are we p ussyfooting maintenance of power stations and electric grid?
 
unapoona kiti kinahamishwa hamishwa ujue huo ni ushirikina hakuna hadithi nyingine................
 
Michuzi ametangaza leo umeme wa jua waja Katavi, Kigoma na Kahama.

Kampuni ya Tumenta Kenedy (sijui wamiliki wake ni akina nani kunahitajika kuchunguzwa) na African Business Information Bank wanashirikiana kwenye project hiyo ambayo mradi utakuwa unazalisha umeme wa 50 MW (Katavi, Kigoma na Kahama). Mradi huu ushapewa kibali na Waziri Mkuu anayejiita mtoto wa mkulima.

Source : Margareth Kinabo.

Hivi kweli muda huu na hali ya sasa ya nchi tunaweza kuafford umeme wa jua? Mnafahamu gharama za kumaintain solar panels? Isitoshe mradi huu unazalisha umeme wa 50 MW kwanini mnaacha kufanya feasibility study Mto Malagarasi na kufikiria kujenga Hydro electric dam ambayo itakuwa na uwezo wa kuzalisha pengine 500 MW na kuendelea? Tanzania sijui nani ametuloga!!!!!!
 
Ivi kwa nini mnadhani tunaimba kuiondoa ccm madarakani? Tatizo linajulikana wazi na uzuri pia solution ipo. But hey...lets keep talking about it....
 
kama mabomba ni tatizo basi watumie meli kusafirisha hiyo gesi na magari au laa wajenge vituo vya kuzalisha umeme huko huko wasafirishe umeme
Am afraid some thinking and application of mind are required and all those two components are not part of our strategies of Tanzania we want to build.
 
Am afraid some thinking and application of mind are required and all those two components are not part of our strategies of Tanzania we want to build.

THey are not part of our strategies or they are basically non existing in our brains?
 
THey are not part of our strategies or they are basically non existing in our brains?
They are existing, Mchungaji. The problem that I see which we have capitalized alot regardless of the consequences, is that it is easier to make money in Tanzania, if things are in disarray, whether by design or by chance. We have millioners out of our problems. Ndio maana wana siasa wanailinda hii tabu kwa nguvu zao zote, maana kufa kufaana.
 
Nsiande,

What is the maximum capacity Ubongo can produce? Is it simply the 104 mw? on the other hand has there been feasibility study to figure the actual consumption needs for both commercial and domestic use in Dar alone?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom