Thanx God,naenda kwenye utu'zima!!!@©®¡

Thanx God,naenda kwenye utu'zima!!!@©®¡

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,567
Reaction score
7,460
Its my bday today,wanaJF nawakaribisha pilau homiz...Luv u all,God bless me,Jf n' all.
 
Wazazi wameruhusu ukaribishe watu wangapi? Hatukawii kuja elfu moja ukacharazwa.
 
birthday_rocks_3d_guitar_rainbow.gif
 
Awwwwww.....Happy Birthday lil Sizinga........
 
Last edited by a moderator:
Unakaa mitaa gani nijipange kula hiyo Pilau Sizinga
Ndizi za pilau nitakuja nazo
 
Last edited by a moderator:
Its my bday today,wanaJF nawakaribisha pilau homiz...Luv u all,God bless me,Jf n' all.

Hongera mkuu kwakutimiza miaka kadhaa,

swali lakizushi; hivi utu uzima unaanzia miaka mingapi?
 
hongera mkuu sizinga!umri unasonga na unazidi kuimarika kifikra,sasa uanze kulipa kodi kwa serikali a joke.hapy birthday sizinga,karibu sana utu uzimani.nakuombea heri uendelee kukua ktk maadili mema,upendo na amani.kila jema ktk maisha yako na be blessed!hapy birthday...!!
 
Mkuu Sizinga hongera sana kila la kheri katika wako utu uzima...mkumbuke wako Mola ili azidi kukujalia nyingi siku hapa duniani.
 
Last edited by a moderator:
Ume -balehe ama ume-vunja ungo.............?:blabla::blabla::blabla:
 
Hongera bro!...nipo kwenye hii thread kwa pilau lol!
 
Wazazi wameruhusu ukaribishe watu wangapi? Hatukawii kuja elfu moja ukacharazwa.

Mbona umemshusha sana? Amekuambia anawakaribisha, labda ndo kakaribia umri wa kustaafu utajuaje?
wengine wanataka kuchukua mafao lol

Its my bday today,wanaJF nawakaribisha pilau homiz...Luv u all,God bless me,Jf n' all.

Happy Birthday Sizinga
 
Last edited by a moderator:
Mh member mna vituko,anyway asanteni wote,bd party ilifana sana,namshukuru Mungu ilisha xalama.
 
hongera kwa kuendelea kupunguza siku zako za kuishi...

Uwe na pilau jema, hakikisha lina nyama za kuyosha na viazi visikosekane, kachumbali ya kulia pilau usiweke pilipili nyingi
 
Back
Top Bottom