Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
viongozi walikuwa hawana 'brain' ya kuondoa umasikini,period...
tazama data hizi.....
1. mabilioni ya kikwete yalikuwa around 20 bilioni mpaka 200 bilioni hivi,nimesahau excact number..
2.IPO ya NMB peke yake zilirudishwa zaidi ya bilioni 100,baada ya kuwa oversubscribed....
sasa kama una wananchi tayari wana bilioni nyiingi za 'kuivenst' mpaka wanarudishiwa..
busara ni nini????? kuongeza pesa kwenye circulation??au kutafuta namna ya kuelekeza
pesa za wananchi kwenye 'investment zingine' ili nchi ifaidike?????
hivi unajua UTT peke yake wamekusanya zaidi ya bilioni 500 kutoka kwa watanzania?????
hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'
na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far...
hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'
na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far...
Hizi sentensi zako hapa ziangalie tena the Boss.
Kumbuka kazi ya serikali siyo kukutafutia investment opportuinities wewe mwananchi. Goverment ni regulator tu na inatoa tu support. Opportuinities ni sisi wenyewe tunatakiwa tuziidentfy na kuzifanyia kazi. Tanzania ni kati ya nchi zenye investment policy nzuri Africa.
Narudia tena kusema, tatizo siyo viongozi wetu, tatizo ni sisi wenyewe.