Thanks michuzi blogspot

Status
Not open for further replies.

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,698
11,032
At least umeamua kuwa muwazi na kupeperusha bendera ya Membe mapema, it is vivid but my advice to ya all, it is too early kufanya hivyo. You are just showing too much kupita hata rais wako aliyekusaidia kusogea sogea hapo na uwzo wako tata

at at least mna common interest now na game theory....
 
Membe bado uwezo wake wa kuongoza ni mdogo, namfananisha na JK wote wanamvuto yaani ma HB lakini uwezo wa kwa kuwa rais NO, isipokuwa JK ambaye udini ulimbeba sana baada ya Mkapa aliyeongoza kwa muda wa miaka kumi muda wake kwisha.
 
Yes ni mdogo... lakini unatumia vigezo gani?? maana wapo wenye hoja chanya

Kinachonishangaza kidogo ni ile promo jamaa anayompa kule, it is somehow too much
 
.........wenye akili zetu tuliliona hili mapema; maana ngoma ya Lowassa ili achafuke zaidi ya wenzake imepigwa mno, anapunguziwa ushawishi ndani na nje ya chama, anatopeshwa kila aina ya uozo as if hawakumnyanyua mkono mwaka jana tu wakati wa kampeni, haya yote ili nyoka wa mdimu apete kiulaini,,,kumbe hata wewe Michuzi umenasa na wenye fikra finyu, ukanasika, kama Kubenea ametuhumiwa (na Samweli Sitta John -SSJ aka CCJ) kwamba anatumika na mafisadi, wewe unatumika na nani? (hao nyoka wa mdimu)?
 
At least umeamua kuwa muwazi na kupeperusha bendera ya Membe mapema, it is vivid but my advice to ya all, it is too early kufanya hivyo. You are just showing too much kupita hata rais wako aliyekusaidia kusogea sogea hapo na uwzo wako tata

at at least mna common interest now na game theory....
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
 
mchuzi kahama daillynews na kwenda kuwa mwaandishi mwandamizi ikulu za jk
 
Membe hawezi kuwa Raisi wa nchi hii
Hana jina kwa watanzania kama alivyokuwa kikwete
watanzania wengi wana tegemea CCM wataweka Magufuli, sitta, mwandosya, mwakyembe au Lowasa nje ya hapo ni kushindwa mbaya bora waweke chenge kuliko membe
 
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.

kweli tumechoka
ina maana bila ya Nguvu ya Nyerere Mkapa angekatiza mbele ya Mafisadi (two brothers), wakati wa mkapa kuchukuwa nchi hakuwa chaguo la mwinyi, kwa sasa chaguo la jk ni membe unadhani jk anawezo gani kuwashinda mwinyi na mkapa walio shindwa kupachika wagombea waliowata wao

Hatuna kanuni kama hiyo, MKAPA na Kikwete walipita kwa sababu nyingine nje ya MFA unaodai wewe
 
.........wenye akili zetu tuliliona hili mapema; maana ngoma ya Lowassa ili achafuke zaidi ya wenzake imepigwa mno, anapunguziwa ushawishi ndani na nje ya chama, anatopeshwa kila aina ya uozo as if hawakumnyanyua mkono mwaka jana tu wakati wa kampeni, haya yote ili nyoka wa mdimu apete kiulaini,,,kumbe hata wewe Michuzi umenasa na wenye fikra finyu, ukanasika, kama Kubenea ametuhumiwa (na Samweli Sitta John -SSJ aka CCJ) kwamba anatumika na mafisadi, wewe unatumika na nani? (hao nyoka wa mdimu)?

...coming back to the thread...I condemned Kubenea, i condemned Michuzi because our country now haihitaji viongozi walafi wanaoangalia watachukuaje nchi in 2015 wakati unchumi umepiga magoti unasujudu kuomba Mungu auokoe

haven't see much on health, education,economy, agriculture, policies nothing from michuzi who happens to be the most frequent flier na serikali kuu, which is crap really

My point of view, you are what you eat, your friends determine your character... If we want a true patriotism, then its a high time tu condemn wanahabari uchwara na kusimama kwenye maisha ya wananchi
 
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
shocking

no quality analysis no nothing... simply zamu to lead 40M people to teh tunnel and fly out when tough get going

arvedechi
 
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
Pasco siamini kabisa kama ni post yako, yaani unamfagilia Membe awe rais wa nchi basi tena.
 
.........wenye akili zetu tuliliona hili mapema; maana ngoma ya Lowassa ili achafuke zaidi ya wenzake imepigwa mno, anapunguziwa ushawishi ndani na nje ya chama, anatopeshwa kila aina ya uozo as if hawakumnyanyua mkono mwaka jana tu wakati wa kampeni, haya yote ili nyoka wa mdimu apete kiulaini,,,kumbe hata wewe Michuzi umenasa na wenye fikra finyu, ukanasika, kama Kubenea ametuhumiwa (na Samweli Sitta John -SSJ aka CCJ) kwamba anatumika na mafisadi, wewe unatumika na nani? (hao nyoka wa mdimu)?

lowassa naona anafaa kuwa raisi wa nchi hii kuliko wooote mnaowaongea
 
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

If we allow ourselves to follow your reasoning then according to the so called trend the next in line should be Asha Rose who was the MFA before Membe!! Pasco unaonaje hiyo?

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.

Pasco, if we allow ourselves to follow your line of reasoning then the person to be the ccm nominee for the 2015 presidential contest should be Asha Rose who was the MFA long before Membe; even her credentials way outweigh Membe's. Pasco unaonaje hiyo?
 
mchuzi kahama dailynews na kwenda kuwa mwaandishi mwandamizi ikulu za jk
Malizia tu yeyote anaepita hapo kwenye nyekundu ni mpika propaganda wa 'status quo' especially our intelligence na wengi ni ma-askari, that is a fact hilo gazeti pamoja na uhuru linajulikana wahariri wake ni watu gani maybe Membe is their next useful candidate kwa maoni ya intelligence by the way namkubali,
 
Mwacheni Membe au yeyote atakeyeongoza ligi ya fitna achukue nchi..hao mnaowasifia akiwemo Nyerere wamefanya nini cha maana? Mnazichosha servers!
 
Jamani mambo bado kabisaa. Tusubiri angalau 2013 ndio tutajua upepo umekaaje. Sasa hivi ni vigumu kujua nominees watakuwa akina nani. Tunajaribu tu kufanya guesing. You may be taken by supprise mkimjua mtu anayeandaliwa. Let's be patient
 
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.

Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.

Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.

Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.

Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.

Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.

Mkuu Pasco,

Tuweke record sahihi, Mkapa amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje 1977-80 under Nyerere, then 1984 - 1990. Baada hapo alikuwa Balozi Diria (RIP). Kwa kufuata hiyo mantiki yako, then Rais angekuwa Marehemu Diria. Maana kipindi cha 1990 - 1992, Mkapa alikuwa Habari na Utangazaji, then 1992 - 1995 akaenda Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia.

Kuhusu Membe, naomba usijenge hoja kwa kutumia Wizara ya Mambo ya Nje, maana itakuwa haina mashiko. Kutumia kigezo cha Kikwete kukaa MFA kwa miaka 10, bado Membe atakuwa hajafikisha miaka 10, maana kuna miaka 2 ya mwanzo alikuwepo Bibie Asha-Rose Mtengeti-Migiro.

Bottom line ni kwamba it is too early kuanza kuongelea mitandao ya kumuweka mtu kwenye hiyo nafasi. Sana sana kwa mtu kama Michuzi ni kujiwekea maadui bure na siasa za Bongo siku hizi ni za visasi. Waulizeni waliokuwa wapambe wa Sumaye leo hii wako wapi na wanafanya nini? Hiyo ndio siasa ya Bongo.

Pia siasa za CCM hazieleweki, leo hii watu wanaweza kuhisi kwamba JK yuko upande wa Membe na ukaja kushangaa dakika za majeruhi 2014 kuelekea 2015 jamaa anahamisha kambi kama ilivyokuwa kwa Mkapa ambaye alibadilisha mawazo dakika za majeruhi. Ni Mkapa huyu huyu na Philip Mangula ambao walisema wamestaafu siasa, ujio wao kwenye kampeni za Igunga should be a signal kwamba they are up to something. Uchaguzi wa CCM wa 2007, Mangula aliambulia patupu akaamua kuendelea na kilimo cha viazi huko kwao. Ilikuwaje juzi kule Igunga akakumbukwa na ni nani aliyemwita aende kupiga kampeni? Hali halisi ndani ya chama iko slippery hakuna ambaye ana uhakika na kitakachotokea 2015 on mgombea wa chama. Lakini uchaguzi wa ndani ya chama wa mwakani unaweza kutoa mwanga wa mwelekeo.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom