Thanks michuzi blogspot

Thanks michuzi blogspot

Status
Not open for further replies.
shocking

no quality analysis no nothing... simply zamu to lead 40M people to teh tunnel and fly out when tough get going

arvedechi
MTM, choice yangu ni Membe, quality analysis ya nini?. Kwani Watanzania tunahitaji quality analysis ndipo tuchague rais?. Urais Tanzania ni kwa zamu na kuangalia sura. Kwani tulipomchagua JK kwa landslide ule mwaka 2005, tulimchagua kwa quality analysis gani?. Haya baada ya kumchagua na tukaona performance yake, si tumemchagua tena!. Watanzania wanachagua sura na sio sifa ndio maana nikasisitiza kigezo changu kwa Membe ni zamu tuu, tafadhali MTM usianze kutaka kuleta sifa na vigezo ili kumharibia Membe wetu, please!.

Kweli Watanzania tuko milioni 40 plus, CCM wako milioni 4. JK amechaguliwa kwa kura milioni 4, hivyo whoever ambaye ndie mgombea wa CCM, ndiye rais wa nchi hii, nawaombeni sana, msianze kumwekea Membe zengwe!.
 
Pasco, if we allow ourselves to follow your line of reasoning then the person to be the ccm nominee for the 2015 presidential contest should be Asha Rose who was the MFA long before Membe; even her credentials way outweigh Membe's. Pasco unaonaje hiyo?
Ndinani, hapa tunazungumzia mgombea wa CCM, credentials za Asha Rose ni kama za kina Prof. Mwandosya. CCM hahitaji watu wenye credentials za ukweli wa kihivyo, CCM haihitaji watu ambao ni very genuine na wako very truthfully, hivyo wakeli ya type ya Mama Migiro, hawatufai. Kama 2015 tunataka mageuzi ya kweli, kwa uono wangu hafifu, Membe ndio the best choice, nawaombeni mniunge mkono kwenye hili!.
 
Membe bado uwezo wake wa kuongoza ni mdogo, namfananisha na JK wote wanamvuto yaani ma HB lakini uwezo wa kwa kuwa rais NO, isipokuwa JK ambaye udini ulimbeba sana baada ya Mkapa aliyeongoza kwa muda wa miaka kumi muda wake kwisha.
mkuu bila udini unaona hoja yako haijakamilika eti enh?
 
Mzee wa Rula, hii ni posti yangu na ni kweli namfagilia Membe awe mgombea wa CCM, pia nimewaomba wengine wote wenye mapenzi mema na nchi hii, kama wana namna yoyote ya kuinfluence CCM imsimamishe Membe, please lets do it.

Am i dreaming?? au Pasco kuna kitu nyuma ya pazia?
 
Rejeo & The Boss
mimi naona wote mko sahihi katika hoja zenu
lakini kwa hali ya Tanzania makampuni yana lazimishwa ku list DSE kwa lengo la kuwapa wananchi umiliki
ni siasa zaidi kuliko uchumi wanalenga kukuza kipato cha wananchi kwa njia hiyo, uchumi wa tanzania unamilikiwa na asilimia ndogo sana ya population
kwa misingi hiyo HOJA ya The Boss
ina simama kuwa sahihi zaidi kwa kile anachosema na
Rejeo you wrong
kampuni ziko DSE sio kwa ajili ya kusaka equity capital sio kweli
Oooh..kumbe kampuni zinajlist DSE kwa ajili ya kuuza tu sura? Nilikuwa sijui! Kumbe DSE ni kama BRELA..lol!
 
MTM, choice yangu ni Membe, quality analysis ya nini?. Kwani Watanzania tunahitaji quality analysis ndipo tuchague rais?. Urais Tanzania ni kwa zamu na kuangalia sura. Kwani tulipomchagua JK kwa landslide ule mwaka 2005, tulimchagua kwa quality analysis gani?. Haya baada ya kumchagua na tukaona performance yake, si tumemchagua tena!. Watanzania wanachagua sura na sio sifa ndio maana nikasisitiza kigezo changu kwa Membe ni zamu tuu, tafadhali MTM usianze kutaka kuleta sifa na vigezo ili kumharibia Membe wetu, please!.

Kweli Watanzania tuko milioni 40 plus, CCM wako milioni 4. JK amechaguliwa kwa kura milioni 4, hivyo whoever ambaye ndie mgombea wa CCM, ndiye rais wa nchi hii, nawaombeni sana, msianze kumwekea Membe zengwe!.

My dad (who happens to love maths more than anything) huwa ananiambia i am always too deep and sometimes be too passionate, and i agreed... But on this one i must admit that pia nike very SLOW aisee

I rest my case, and i think ntakufa bure, i'd rather take your way.... AND YES!!! VOTE FOR MEMBE, PLEASE....

Mods, sina kesi na michuzi, namuomba msamaha sana, kumbe anachohitaji ni kuweka images, hayo mengine yana wenyewe... YOU CAN EVEN CLOSE THIS THREAD ILA MSIIDELETE TU
 
Oooh..kumbe kampuni zinajlist DSE kwa ajili ya kuuza tu sura? Nilikuwa sijui! Kumbe DSE ni kama BRELA..lol!

umeona ulivyo na uwezo mdogo wa kuelewa?????
kwani wakati TBL wana list DSE walikuwa hawana mtaji?????
na TCC je?????

Kampuni ya APPLE marekani wana pesa kuliko hata serikali ya Obama
na wapo listed vile vile.......
 
dont stop there.... hebu tuendelee na wanaofaidika kiukweli na stocks, maana najua everything is premeditated and the winners are known before the public realises
 
MTM huyu Rejao katuharibia mjadala kwa ubishi wa kitoto

sasa nikija kwenye wanaofaidika na stocks......ni kweli kabisa
watanzania wazalendo wengi hawajui hata DSE ni kitu gani....
tena unakuta mtu anafanya kazi benki......pata picha

kulikuwa na taarifa kuwa wahindi walikuwa na mifuko yao maalum ya kuinvest
na ambayo ndo 'ilisababisha NMB IPO iwe oversubscribed..

sasa haya nayo tungekuwa makini tulipaswa kuya address zaidi
na kubadili hiyo trend...
 
umeona ulivyo na uwezo mdogo wa kuelewa?????
kwani wakati TBL wana list DSE walikuwa hawana mtaji?????
na TCC je?????

Kampuni ya APPLE marekani wana pesa kuliko hata serikali ya Obama
na wapo listed vile vile.......
Elewa maana ya expansion!
CRDB kwanini waliissue share?
NMB je?
Umeona kinachoendelea Precision air?
Kwa taarifa yako TBL kipindi wanajiregister DSE, na ilikuwa among kampuni za kwanza baada ya TOL ilikuwa ni kwa sababu ya expansion. Walikuwa wanataka kuraise new capital. Walichofanya kwanza ni kuissue long term bonds na waliona hizi ni expensive sana, wakaamua kwenda public kutafuta funds.
For refence tafuta financials za TBL na za mifuko ya jamii uone Liabilities walizo nazo TBL.
 
Prrrrrrrrrrrrrrrrrrr.... back to topic!!
Boxing080905_photoshop_m.jpg
 
Elewa maana ya expansion!
CRDB kwanini waliissue share?
NMB je?
Umeona kinachoendelea Precision air?
Kwa taarifa yako TBL kipindi wanajiregister DSE, na ilikuwa among kampuni za kwanza baada ya TOL ilikuwa ni kwa sababu ya expansion. Walikuwa wanataka kuraise new capital. Walichofanya kwanza ni kuissue long term bonds na waliona hizi ni expensive sana, wakaamua kwenda public kutafuta funds.
For refence tafuta financials za TBL na za mifuko ya jamii uone Liabilities walizo nazo TBL.

sasa ulikuwa unabisha nini sasa?????
 
MBA ya kata aisee
hajui kuwa alichofundishwa darasani ni asilimia kumi ya real world.....
yeye ana copy and paste......
Hahahah...the Boss, kwenye jukwaa la mapenzi sawa! Lakini huku unaonekana hujui chochote kabisa! Watu tunafanyia kazi hizi mambo!
 
Am i dreaming?? au Pasco kuna kitu nyuma ya pazia?
MTM, you are not dreaming wala hakuna kitu nyuma ya pazia, Membe for CCM-2015!.
Something else to think about, jee, unaijua technic inayotumiwa na wanariadha wa Kenya kushinda marathon nyingi duniani?.
Jee unajua technic ya kushinda mnada wa wazi wenye washindani wengi?.

Uchaguzi wa 2015 ni mbio za marathon na pia nafasi ya mgombea wa CCM iuna ushindani mkubwa kama mnadani, ili mgombea wako ashinde kiulaini, lazima tuanze kumfagilia sasa na Membe ndio the best choice!.
 
sasa ulikuwa unabisha nini sasa?????
Unaona kama TBL wana hela sana! Zile hela ni za shareholderz wachache, percetage iliwekwa public ni kidogo sana na percentage kubwa ni loans!
Kumbuka pia kuwa hamna mmiliki anayependa kupoteza share zake kwenye kampuni kama hiyo kampuni inafanya vizuri. Kampuni ikiissue share jua kuwa percentage ya ownership ya current shareholderz inapungua.
 
My dad (who happens to love maths more than anything) huwa ananiambia i am always too deep and sometimes be too passionate, and i agreed... But on this one i must admit that pia nike very SLOW aisee

I rest my case, and i think ntakufa bure, i'd rather take your way.... AND YES!!! VOTE FOR MEMBE, PLEASE....

Mods, sina kesi na michuzi, namuomba msamaha sana, kumbe anachohitaji ni kuweka images, hayo mengine yana wenyewe... YOU CAN EVEN CLOSE THIS THREAD ILA MSIIDELETE TU
MTM, asante, nadhani kazi nimeianza vizuri, kama nimemanage kukuconvince wewe, japo u mmoja, then haba na haba mwishowe single ya Membe ita hit top of the charts za duru za siasa zetu na atapitishwa na CCM, hivyo 2015, tutapata mabadiliko ya kweli!.
Asante kunielewa, sasa kazi iwe ni moja tuu, fagilia Membe!.
 
Unaona kama TBL wana hela sana! Zile hela ni za shareholderz wachache, percetage iliwekwa public ni kidogo sana na percentage kubwa ni loans!
Kumbuka pia kuwa hamna mmiliki anayependa kupoteza share zake kwenye kampuni kama hiyo kampuni inafanya vizuri. Kampuni ikiissue share jua kuwa percentage ya ownership ya current shareholderz inapungua.

unaendeleza utoto tu hapa
ulichobisha wewe ni mandatory listing na mimi nimekuwekea mpaka ushahidi
sasa umebadili topic ya ubishani....
TBL kampuni mama ni sabmiller ambayo ni ya tatu duniani kwa ukubwa.....hujui hiyo naona..
 
MTM, asante, nadhani kazi nimeianza vizuri, kama nimemanage kukuconvince wewe, japo u mmoja, then haba na haba mwishowe single ya Membe ita hit top of the charts za duru za siasa zetu na atapitishwa na CCM, hivyo 2015, tutapata mabadiliko ya kweli!.
Asante kunielewa, sasa kazi iwe ni moja tuu, fagilia Membe!.

mkuu hata tukishiriki kumeperusha Membe..
Kuna ripoti kuwa Kikwete mwenyewe hamtaki..
anahofia Membe hana misimamo,alisapoti Mkapa ashitakiwe
sijui umewahi sikia hiyo????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom