Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
Hahaha...inabidi tena hapa nianze kukupa darasa la Subsidiary companies zinavyofanya kazi!unaendeleza utoto tu hapa
ulichobisha wewe ni mandatory listing na mimi nimekuwekea mpaka ushahidi
sasa umebadili topic ya ubishani....
TBL kampuni mama ni sabmiller ambayo ni ya tatu duniani kwa ukubwa.....hujui hiyo naona..
Ngoja tu niondoke cuz nimeshakujua. Huwa unapenda kusimamia usichokijua. Hii ni mara ya pili najaribu kukuelimisha kwenye aspects za Finance. Ni mwanafunzi usiyeelewa!
Nakusubiri kwenye issue za uandisi na ukandarasi tena nikufundishe zaidi.