Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Msuva anaihitaji Simba lakini Simba haihitaji msuva. Msuva anajua Simba ndiyo njia ya kuwafikia wakina Samatta hapo alipo asubiri yamkute ya wakina Ngassa na Cannavaro kuzeekea Sinza Shekilango kwa machangudoa.

Simba sc inafedha ya kumlipa Saimon Msuva.....?

Kabla hatujajadili suala la mshahara wake... Je simba Sc inafedha ya kumnunua saimon Msuva.....?

KUMBUKENI KWAMBA HIO KLABU YENU YA SIMBA SC NI KAMA KIKOSI CHA MABORESHO YA YANGA FC..!
kwa maana nyingine tunapohitaji kusajili mchezaji wenu yeyote si suala la kushindana... Bali ni pesa zinaletwa mkononi zikiambatana na karatasi ya kusaini...!
 
Bado vichwa vya mashaniki wengi wa Yanga vinamatatizo. Sitoshangaa wakiambiwa Abbas Gulamali atakuwa mgeni rasmi watakubali na kukusanyika. Ni wakuwaonea huruma
 
Hahahaha! Kweli wewe ni wa mikia kabisa yaani... Tena usiye na mfano......!

Kwani goli tano zinapoint zaidi ya 3..?

Unampiga YANGA FC goli tano alafu ndani ya Msimu huohuo mwenzako anachukua UBINGWA akiwa na mechi za kutosha mkononi.....!
Ama kweli hamjui maana ya soka...!

Umeanza mwaka huu kushabikia mpira maskini ya mungu wewe.

Unatuambia hapa mbele ya umma huu wa wanaume kuwa yanga alipopigwa bao 5 - 0 bado alichukua ubingwa.
Hebu yanga wenzako waje waone utaahira huu uliojaa jangwani. Maana huna haya hadhi ya kusomwa na waume zenu ila wenzako tu sema nitafanyaje na umeniquote.
 
Hihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,okwi jee?????????????
 
Umeanza mwaka huu kushabikia mpira maskini ya mungu wewe.

Unatuambia hapa mbele ya umma huu wa wanaume kuwa yanga alipopigwa bao 5 - 0 bado alichukua ubingwa.
Hebu yanga wenzako waje waone utaahira huu uliojaa jangwani. Maana huna haya hadhi ya kusomwa na waume zenu ila wenzako tu sema nitafanyaje na umeniquote.
Na yule mwenzako aliesema msuva hajawahi kuifunga simba utamuitaje!!!!?
 
Msuva anayekatika viuno hapa mbele ya wanaume wa Msimbazi aliifunga Simba lini? Naomba mwanamke wetu anayejiamini ajibu swali hili.
 
Simba sc inafedha ya kumlipa Saimon Msuva.....?

Kabla hatujajadili suala la mshahara wake... Je simba Sc inafedha ya kumnunua saimon Msuva.....?

KUMBUKENI KWAMBA HIO KLABU YENU YA SIMBA SC NI KAMA KIKOSI CHA MABORESHO YA YANGA FC..!
kwa maana nyingine tunapohitaji kusajili mchezaji wenu yeyote si suala la kushindana... Bali ni pesa zinaletwa mkononi zikiambatana na karatasi ya kusaini...!

Simba haiwezi kununua tutusa kama Msuva kwa bei hiyo.
Hilo lina hadhi ya kuchezea vilabu kama Ndanda vinavyofungwa nyumbani na ugenini kama yanga mbele ya Mnyama Mkali.
 
Msiva ndio kila.kitu kwa sasa tanzania.amefunga magoli 17 hadi saaasa na akifuatiwa na tambwe kwa ubora tanzania nzima .wote thamani zao ni mil 700 japo tambwe ni 500 mil.
Huyo okwi wenu hata du sahel hapati namba alienda majaribio wakamuona kimeo wakamtema na huyo sserunkuma (au mrisho mpoto) hilo.jina lake naogopa kulitaja nikiwa na mkwe wangu ni magusi.
 
Hivi kwa nini Msuva na kukurukakara zote, hajawahi kuifunga simba na kiwango chake yanga ikicheza na simba huwa cha chini sana????? hata assist nusu hajawahi.

Msuva analipwa na Yanga Fc ili aweze kusaidia timu ipate ubingwa, na hilo ameshalifanya....!

Simba sc ni kama mbeya city, ndanda Fc, Mgambo, au police moro.
Hivyo basi si kusema akiifunga simba Sc basi Yanga Fc itapewa point Nne 4.
 
Msiva ndio kila.kitu kwa sasa tanzania.amefunga magoli 17 hadi saaasa na akifuatiwa na tambwe kwa ubora tanzania nzima .wote thamani zao ni mil 700 japo tambwe ni 500 mil.
Huyo okwi wenu hata du sahel hapati namba alienda majaribio wakamuona kimeo wakamtema na huyo sserunkuma (au mrisho mpoto) hilo.jina lake naogopa kulitaja nikiwa na mkwe wangu ni magusi.

Hata kuandika unatetemeka, huyo Tambwe unayekatikia mauno hapa mbeke ya madume tulimuacha sisi ndiyo maana wote wakikutana na Simba lazima watanue miguu wanaume tupite. Watawafunga polisi na Ruvu shooting tu tena kwa mechi za kununua tu mechi za wanaume wa kazi wanakatika viuno tu.
 
Msuva anayekatika viuno hapa mbele ya wanaume wa Msimbazi aliifunga Simba lini? Naomba mwanamke wetu anayejiamini ajibu swali hili.
Nilijua na wewe unaufutilia vizur mpira wa miguu kumbe na wewe ni wale wale tu!!!
Hebu niambie game ya msimu wa mwaka jana round ya pili kati ya simba na yanga matokeo yalikuaje!!
Halafu naomba unitajie wafungaji wa kila timu...
 
Msuva analipwa na Yanga Fc ili aweze kusaidia timu ipate ubingwa, na hilo ameshalifanya....!

Simba sc ni kama mbeya city, ndanda Fc, Mgambo, au police moro.
Hivyo basi si kusema akiifunga simba Sc basi Yanga Fc itapewa point Nne 4.

Hata hujui anayeisaidia yanga ishinde ni nani, ndiyo maana wenzio wanaoijua siri hawataki kuitisha uchaguzi maana akiondoka tu yanga imekufa. Mechi za kununua itakuwa ndiyo mwisho wake.
 
Simba haiwezi kununua tutusa kama Msuva kwa bei hiyo.
Hilo lina hadhi ya kuchezea vilabu kama Ndanda vinavyofungwa nyumbani na ugenini kama yanga mbele ya Mnyama Mkali.

MBEYA CITY ALIKUDUNGA SHINDANO NDANI NA NJ'E.....!

MSUVA HAWEZI CHEZEA TIMU YA MCHANGANI HATA SIKU MOJA KWASABABU :-

1.hamuwezi kumlipa mshahara

2.Kwasasa timu yenu imefilisika, na mnangojea gate collection za mtani jembe ili mulipe mishahara.

3.Hamchezi michuano yeyote ya kimataifa na kazi yenu kupanda Boti za BAKHRESAH ili kwenda Zanzibar kufanya ushirikina..!
 
Bado vichwa vya mashaniki wengi wa Yanga vinamatatizo. Sitoshangaa wakiambiwa Abbas Gulamali atakuwa mgeni rasmi watakubali na kukusanyika. Ni wakuwaonea huruma

Kweli kabisa mkuu, nashauri walimu wanaofundisha shuleni wakitaka wanafunzi wao waelewe nini maana ya ukoloni wawe wanawatolea mfano wa litimu la yanga na bwana wao manji.
 
Simba haiwezi kununua tutusa kama Msuva kwa bei hiyo.
Hilo lina hadhi ya kuchezea vilabu kama Ndanda vinavyofungwa nyumbani na ugenini kama yanga mbele ya Mnyama Mkali.

Mbona mlienda kukopa CRDB Bank pesa ili mununue litutusa la kiganda lililotokea Kenya.

Mrisho mpoto aka Sserenkuma ni Galasa hata kikosi cha mbeya city B awezi pata namba.
 
Uwezo wa kuchukua ubingwa mnao ila kwa miaka yote hii mnajikosesha makusudi 👀

Watachukuaje ubingwa wakati wachezaji wanatumia mizizi ya matambiko kama njia ya kuharalisha ushirikina..

Wao WANAPENDA UCHAWI KULIKO UBINGWA.
 
Mbona mlienda kukopa CRDB Bank pesa ili mununue litutusa la kiganda lililotokea Kenya.

Mrisho mpoto aka Sserenkuma ni Galasa hata kikosi cha mbeya city B awezi pata namba.

Unaongea ili siku ziende ujifungue mtoto wetu tuliyemuweka tumboni mwezi machi. Ni kawaida ya mwanamke mwenye mimba kuongea utumbo kama huo hatushangai.

Huko benki nilikwenda na wewe wakati namsajili Danny wewe ulikuwa hoi kwa ujauzito wa mimba ya zile bao mbili za mtani jembe.
 
Simba wametangaza kufilisika?

Hawawezi kubisha hapo!

Eti kisa performance ya Yanga Fc katika ligi Kuu ya Msimu huu imechangia wao kutopata mapato ya kutosha.

Kwa lugha nyingine Yanga Fc imekuwa ilifanya vizuri kuliko Mikia FC NA hivyo mashabiki walikata tamaa mapema kwamba simba Sc hawezi kushindana na speed ya Yanga Fc.
 
Back
Top Bottom