Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Waache wajazane ujingavwalisema ngassa miloin mia tatu na hamcn kiko wp?????? leo msuva ni kweli yuko kwenye kiwango lkn c cha bei hiyo.

Uwezo wake kufunga mwisho kwenye ligi tena mechi na marefa wa kununuliwa na manji. Amefunga sana timu ya ya diamond platinum.

Mbona kwa Etoile juzikati hakuonekana, hawezi kufikia rekodi ya tommentor Okwi aliyewaduwaza Etoile du sahel tena kwao.
 
Uwezo wake kufunga mwisho kwenye ligi tena mechi na marefa wa kununuliwa na manji. Amefunga sana timu ya ya diamond platinum.

Mbona kwa Etoile juzikati hakuonekana, hawezi kufikia rekodi ya tommentor Okwi aliyewaduwaza Etoile du sahel tena kwao.

:-(we atakuckia rithione anaetoa hela halafu humtaji????
 
Hahahahaaa hii kitu itawaua mikia kwa presha kiukweli.Na kwa kuwafanyia ubaya game yetu na Azam tuwaachie watufunge ili kuwanyima nafasi kabisa.

Hamna uwezo wa kuifunga Azam kwenye ligi, mngekuwa na tambo hizo kama kwenye first leg mngewashinda. Sasa mnataka kutuaminisha kwamba mkifungwa tujue mmeachia makusudi. Nyinyi mechi zenu za kununua makipa (mbeya city) marefa (mf. Stand U) na mabeki (Coastal U) ila kwa Azam na Simba hamuwezi ndiyo maana hamfurukuti.
 
Hamna uwezo wa kuifunga Azam kwenye ligi, mngekuwa na tambo hizo kama kwenye first leg mngewashinda. Sasa mnataka kutuaminisha kwamba mkifungwa tujue mmeachia makusudi. Nyinyi mechi zenu za kununua makipa (mbeya city) marefa (mf. Stand U) na mabeki (Coastal U) ila kwa Azam na Simba hamuwezi ndiyo maana hamfurukuti.

Ndiyo tutafungwa vizuri tu bila wasiwasi
 
Uwezo wake kufunga mwisho kwenye ligi tena mechi na marefa wa kununuliwa na manji. Amefunga sana timu ya ya diamond platinum.

Mbona kwa Etoile juzikati hakuonekana, hawezi kufikia rekodi ya tommentor Okwi aliyewaduwaza Etoile du sahel tena kwao.

Kwa hiyo mliwatoa Etoile
 
Halafu ID yako inanikumbusha ninapopapenda.
Toka Okwi awatie katika zile 5 bila kila mkimuona Mnyama mnalegeza macho na kuingiza kidole mdomoni. Mkiulizwa vipi inakuaje mnajibu poa tu, sisi tunapachika kitu katikati. Hahahaaaaaaaaa
Nimeoa mwanamke mbabe anapiga majirani hata kwa kukodisha majeshi lazima atawapiga tu.

Libolo kawatia nuksi
 
msuva hata hapa majimaji hapati namba.
wasimjaze ujinga.

miaka mitatu Mbele atakuwa hapa hapa Tanganyika

Anapaishwa na magazeti ya udaku bongo waandishi wenyewe hata taaluma yao ya kutafuta kwa tochi kama hemed kivuyo.
 
Hivi kwa nini Msuva na kukurukakara zote, hajawahi kuifunga simba na kiwango chake yanga ikicheza na simba huwa cha chini sana????? hata assist nusu hajawahi.

Wangekuwa na akili timamu wangekwisha jiuliza hilo swali.
Kidogo walirudiwa na akili zao tulipowakung'uta mwezi March lakini mtindio wa akili usabishwao na kununua ushindi kutoka kwa manji ulipowarudia tena wakasahau.
 
Hahahaha! Yanga Fc haijiandai kwa ajili ya timu moja....!

Tunajiandaa kwa ajili ya Msimu mzima, ndio maana hatujali matokeo mabaya ya aina yeyote. Lengo ni kubeba NDOO tu.....!

Katufunga mtibwa sembuse wewe wa MCHANGANI...!

Ebu jiandaeni kuchangia Klabu yenu kupitia M-pesa (0736-452-959)ili zifike million 700/= za kununua Msuva......!

Kwa hiyo tunapowachapa mikia ya makalio kila siku huwa mnakuja mmejiandaa kuchapwa au siyo?
 
waposema mchezaji wa huyu wa kimataifa ni lazima aichezee timu yake ya taifa?

utamuitaje mchezaj wakimataifa km klabu yake haishiriki mashindano ya kimataifa na kwenye timu yake ya taifa haitwi kwenye mechi za kimataifa?au umataifa wake kucheza ndondo na toto?
 
valuation nyingine bhana! ivi ubingwa wa ligi kuu ya tz una thamani gani vile?

Milioni 70 wakati kuitoa timu Dsm mpaka Mbeya ni zaidi ya milioni 15 kwa mechi moja. Pigia hesabu kwa mechi za Mbeya, Kagera, shinyanga, Nangwanda. Mwenye akili timamu anachukua milioni 100 za Mtani Jembe na zile za Mapinduzi akichanganya na za Udhamini anacheza bila msongo.
 
Mpaka tutakaporudi kuiwakilisha nchi kama inavyotakiwa, Nyie endeleeni kujipapatua na kushiriki kuona maeneo ya utalii Afrika. Hata tusiposhiriki kwa muda wa miaka 100, kiwango chenu hakiwezi KAMWE fikia wapi tulifika sisi, naongelea CAF na Champions league. Endeleeni kutalii.

Haya ni maneno ya mkosaji.Bora ungekaa kimya tu maana kwa haya maneno umejitia aibu.
Maana mtu na akili zake hawezi kusema kua Yanga haiwezi kufikia kiwango cha simba KAMWE! Katika mpira hakuna lisilowezekana.
 
Kumbe kelele zote hizo unapenda kumuona Msuva katika uzi wa Stars....?

Basi ngoja utamuona... tu!

Ikiwa limeshindwa kufurukuta mbele ya Simba litaweza huko kusikokuwa na marefa wa kununua.
Usingekuwa umekurupuka kama kawaida yenu Wakukurupuka ungejua nilikuwa naujibu uzi gani na wenye maudhui gani.
 
Kunatofauti gani kati ya mchezaji anaye wakilisha Taifa lake akiwa na national team na yule wa Club.....!

Wote wanaiwakilisha nchi...!

Kama kuiwakilisha nchi ndio kujua basi hilo Galasa yaani Sserenkuma angekuwa na hata magoli matano mpaka sasa.

Mbona hujamtaja Okwi kwani Simba ina huyo mmoja tu. Au kwenu hamjui kama kuna sanamu linaitwa Kipa Sheriii nangai...mwasi kitoko.
 
grafani yafundishe mpira hayo ma vyura ya jangwani...na ubingwa wao wa kuhonga.!

Usihofu mkuu mbona wenyewe wananielewa. Huwa wakishindwa hoja wanakimbilia kwa uongozi wakidemand nipewe BAN, wanadhani JF ni ya Baniani wao.
 
Last edited by a moderator:
Raha sana, wao wanajiita mabingwa wakati hata wakipita Mitaa ya Msimbazi wakitajiwa Okwi Okwi wanaufyata. Huyo msuva wao ana nini cha kunivunia mbele ya mwanaume wao.

Teh teh teh! Unanichekesha kijana wangu.............!

Ndio maana mpaka leo Rage anawasikitikia sana......... amkeni hii ni karne ya 21 aka karne ya Morinho katika soka ambapo ubingwa ni kipaombele alafu mengineyo yanafuata baadaye.

Makocha Duniani kote wanaajiliwa ili wachukue UBINGWA. na si vinginevyo.!
 
Bingwa wa kweli nchi hii Simba peke yake wengine wote wachina au ubingwa wa Mpesa.

Chapa mtu bao 5 unabeba ndoo mbele yake unaacha watu wanazimia na wengine kufa kabisa.
Unachapa tena 3, mara 2 unalamba Milioni 100 kama haitoshi waliposema mechi za kirafiki tukageuzia sime letu kwenye ligi tukachapa tu mpaka ikalala.

Bingwa bingwa labda bingwa wa hao uliowanunua.

Kimoyomoyo unakubali😂😂
 
Hata Yanga Fc ikishindwa kupata matokeo huko Tunisia bado wana nafasi hiyo tena mwakani.

Mtabakia kupanda maboti ya BAKHRESAH kwenda kambi Zanzibar ili kumstopisha Yanga Fc.

Bora mlivyopangiwa kuanza na Makhirkhir na Diamond platinumz Klabu Bingwa hazina Mabingwa feki kule muulize mwenzio Azam kilichomkuta.

Kama ndiyo ingekuwa nyinyi na ubingwa wenu wa kichina biashara inamalizwa hapa hapa shamba la bibi jipya.
Tupo na tutayaona mwakani.
 
Maneno tu haya,hapo yanga waseme tu huyo msuva hauzwi kwa sasa ieleweke

Nani anunue galasa la kufunga mechi za Ruvu na Polisi tu za wanaume wa Msimbazi linafichwa halionekani mpaka linaomba Sub.
Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom