Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Msuva hata timu yangu ya Kawe Veterani ataanzia benchi. Huku hakuna kununua mechi.

Wakati Unasema hivyo muhindi wenu Zakaria Hans POPO anajiuliza atampataje......!

Akaambiwa anauzwa milioni 700/= akasema atatafuta wafadhili ili waisaidie kulipa hicho kiasi cha fedha....!
 
delako kama kweli ni mshabiki wa mpira unashangaa nini msuva kuuzwa bei hyo Leo. Je unakumbuka okwi aliuzwa bei gani na alitokea wapi au sammata unajua ni bei gani na ni mbongo tu.

Mkuu usifananishe Biriani na huo Udaga wa kufunga mechi za Ruvu na Polisi tu, hebu angalia CV ya Okwi na Sammata halafu angalia kama huyo mtu wako kama anastahili hata kuwa Beki tatu wa hao uliomfananisha nao.
 
Last edited by a moderator:
Makapi yalio chukua UBINGWA.....!

Makapi yanayowakilisha utaifa wako......!

Sserenkuma Danny ni KAPI ambalo halijawahi kutokea Tanzania.

Wapi umesikia Simba wakijivunia Danny kama nyinyi mnavyokata mauno humu mbele ya waume zenu Simba kisa kigalasa chenu eti mil. 700.
 
Wapi umesikia Simba wakijivunia Danny kama nyinyi mnavyokata mauno humu mbele ya waume zenu Simba kisa kigalasa chenu eti mil. 700.

Huwezi kujisifia na takataka kama hiyo ambayo haijafikisha ata magoli manne 4 kwenye ligi....!
 
Kweli kabisa.. Kipre Tchetche ni bora kwa sasa kuliko saimon Msuva......!
Ukilinganisha Kipre Tchetche na msuva FIFA wakisikia wanaweza kukufungia maisha kutokujishughulisha na soka. Huko ni kudhalilisha Professionalism.
 
Wakati Unasema hivyo muhindi wenu Zakaria Hans POPO anajiuliza atampataje......!

Akaambiwa anauzwa milioni 700/= akasema atatafuta wafadhili ili waisaidie kulipa hicho kiasi cha fedha....!
Napata mashaka, ni Hans Pop au ni Msuva anataka kutimiza ndoto zake??? Hans Pop ni chambo tuu!
 
Ukilinganisha Kipre Tchetche na msuva FIFA wakisikia wanaweza kukufungia maisha kutokujishughulisha na soka. Huko ni kudhalilisha Professionalism.

Nilikuwa nikijaribu kulisha UBONGO wa mbumbumbu mwenzako ambaye alikuwa anasema eti Azam FC awawezi kununua Saimon Msuva kwa kuwa wana wachezaji kama hao wengi.....!

Ndio nikamjibu kwa jinsi hiyo.....1li kwa mtu aliye mbumbumbu aweze kuelewa...!

Ila Unaoneka kama Inarudi katika akili zako.... Hongera kwa kuelewa ile post yangu...!
 
Wapo katika hali duni ya kufilisika alafu wanakwambia wanamtaka Msuva....!
Wakati Yanga Fc ikiwa mtaani kutafuta wachezaji... kwa ajili ya michuano ya kimataifa.

Haya sasa na watoe hiyo fedha ili tujue kama wako serious.

Yanga walimchukua Okwi baada ya kuongoza mauaji ya halaiki ya 5 kwa sufuria na kuongoza ubebaji wa ndoo huku mashabiki wa yeboyebo wakizimia kama kuku wa mdondo. Na bado Okwi akionekana anapita mitaa ya Jangwani watu wanajifungia kwanza mpaka apite kwa kumuogopa maana anaweza kufanya lolote wakati wowote.

Tumchukue galasa msuva kwa kipi cha maana alichokifanya mbele ya wanaume Simba?
 
Nilikuwa nikijaribu kulisha UBONGO wa mbumbumbu mwenzako ambaye alikuwa anasema eti Azam FC awawezi kununua Saimon Msuva kwa kuwa wana wachezaji kama hao wengi.....!

Ndio nikamjibu kwa jinsi hiyo.....1li kwa mtu aliye mbumbumbu aweze kuelewa...!

Ila Unaoneka kama Inarudi katika akili zako.... Hongera kwa kuelewa ile post yangu...!

Kumbe hujapona utaahira wako, kweli Msuva ni wa kumlinganisha na Kipre Tchetche wakati juzi tu tulipowachapa nalo mlikaa getini na bakora mkisema hamumtaki. Kisa kaifunga polisi morogoro mmesahau kweli utaahira mbaya.
 
Yanga walimchukua Okwi baada ya kuongoza mauaji ya halaiki ya 5 kwa sufuria na kuongoza ubebaji wa ndoo huku mashabiki wa yeboyebo wakizimia kama kuku wa mdondo. Na bado Okwi akionekana anapita mitaa ya Jangwani watu wanajifungia kwanza mpaka apite kwa kumuogopa maana anaweza kufanya lolote wakati wowote.

Tumchukue galasa msuva kwa kipi cha maana alichokifanya mbele ya wanaume Simba?

Hahahaha! Kweli wewe ni wa mikia kabisa yaani... Tena usiye na mfano......!

Kwani goli tano zinapoint zaidi ya 3..?

Unampiga YANGA FC goli tano alafu ndani ya Msimu huohuo mwenzako anachukua UBINGWA akiwa na mechi za kutosha mkononi.....!
Ama kweli hamjui maana ya soka...!
 
Napata mashaka, ni Hans Pop au ni Msuva anataka kutimiza ndoto zake??? Hans Pop ni chambo tuu!

Msuva anaihitaji Simba lakini Simba haihitaji msuva. Msuva anajua Simba ndiyo njia ya kuwafikia wakina Samatta hapo alipo asubiri yamkute ya wakina Ngassa na Cannavaro kuzeekea Sinza Shekilango kwa machangudoa.
 
Kumbe hujapona utaahira wako, kweli Msuva ni wa kumlinganisha na Kipre Tchetche wakati juzi tu tulipowachapa nalo mlikaa getini na bakora mkisema hamumtaki. Kisa kaifunga polisi morogoro mmesahau kweli utaahira mbaya.

Duh! Tchetche anatofauti gani na Galasa lenu Okwi na Sserenkuma.....?

Msuva ni exeptional Player....! He scores when he wants.. na sio wale wanaofunga mechi wanapocheza na Yanga Fc tu.
 
Hivi kwa nini Msuva na kukurukakara zote, hajawahi kuifunga simba na kiwango chake yanga ikicheza na simba huwa cha chini sana????? hata assist nusu hajawahi.
Unaonekana mpira umeanza kuufuatilia mwaka huu, hukumbuki kuwa msimu wa mwaka jana mzunguko wa pili alimtoboa mapunda tena dakika za lala kwa buriani!!!
Jipunguze umbumbumbu muda mwingine unatia aibu.
 
Huwezi kujisifia na takataka kama hiyo ambayo haijafikisha ata magoli manne 4 kwenye ligi....!

Nimeuliza umesikia nani anajisifia Danny unadhani Simba ni Yanga ya kujisifia Jaja mwisho wake ukawa aibu. Simba inajivunia Okwi the tommentor kiboko ya yeboyebo. Okwi ambaye mpaka sasa hivi anahesabu miezi toka mwezi March kupata mtoto wake kwa mkewe ambaye ameenda kuzalia Tunisia kule ambako Okwi aliacha jumba lake wakati akichezea Etoile. Yanga isiwe na hofu ipo kwa mashemeji.
 
Wakati Unasema hivyo muhindi wenu Zakaria Hans POPO anajiuliza atampataje......!

Akaambiwa anauzwa milioni 700/= akasema atatafuta wafadhili ili waisaidie kulipa hicho kiasi cha fedha....!

Wewe kweli hujapona maradhi ya mirembe, Hans Pope ni muhindi toka lini? Umevurugwa na bao la mume wenu Okwi.
Sasa hivi mpo kwenye mji wa mashemeji zenu msihofu Mume wenu Okwi amewaambia wawatunze ila kizuri lazima kiliwe na ndugu wote.
 
Back
Top Bottom