ndugu hamna klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa, nakupa somo na waandishi wenu wa kibongo uchwara. mashindano ya kimataifa yanachezwa na timu za taifa. haruna niyonzima hawez kucheza mechi ya kimataifa na timu ya tz na ndio maana unaimbwa wimbo wa taifa. tatzo mmezoea huku kwenu zinaenda tm mojamoja kwn mashindano ya vilabu, je ikitokea zamaleck na al ahly zikikutana kwn klabu bingwa afrika utaita gemu ya kimataifa? au atletico madrid walipocheza na real madrid juzijuzi kwn klab bingwa ulaya ilikuwa mechi ya kimataifa? yeboyebo kweli hamnazo
Mkuu unaongea na mataahira sawa na yale mataahira mawili yaliyoanza kugombania mgawo kwa pesa za kwenye ndoto. Kuwa mshabiki wa yeboyebo kwa mtu mwenye akili timamu ni kazi kubwa.
Sifa ya kwanza ili uwe shabiki wa yeboyebo,
1. Uwe na akili kama za Steve yanga. Nadhani wengi wanamfahamu.
2. Uwe ni mtu wa kuzimia zimia mbele za watu au mwenye kifafa kabisa ili hata ukifia kiwanjani watu waseme ni kutokana na kufungwa na Simba tu.
3. Mshirikina na mwenye kubwabwaja hovyo. Ukifungwa kwa kuzidiwa soka dimbani usingizie mkono wa albino.
4. Umachinga. Kuuza kitu kibovu kwa thamani ya juu kuliko bei halisi kwa kumuangalia mteja aliyekuja kwa kuwa anazo.
5.Mvuvi. Uwe na uwezo wa kuogelea incase mafuriko ya jangwani yamewakuta mpo ndani na vile vile uwe na ujuzi wa kuvua kambale kwenye matope pindi kina cha maji ya mafuriko yakipungua.
6. Mshamba wa kupanda ndege. Inatakiwa ukipanda ndege japo kajamba nani class kwenda Botswana, Zimbabwe ujisifu mbele za watu kuwa wewe unapanda ndege, hata kama kuna watu hawajaenda shule wanaruka kila siku kwenda Ulaya.
7. Uwe na uwezo mkubwa wa kuhimili harufu kali ya maji machafu kutoka muhimbili na kwenye vyoo vya wakazi vinavyotapishwa kuelekea jengo la yeboyebo. Kile kiwanja pale sijui walipewa bure? Naona wanaitafuta Mil. 700 kwa nguvu ili wahame kwenye mafuriko.
Hizo ndio baadhi ya sifa kuu za kuwa mshabiki wa yeboyebo au kandambili za chooni.