Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Unaongea ili siku ziende ujifungue mtoto wetu tuliyemuweka tumboni mwezi machi. Ni kawaida ya mwanamke mwenye mimba kuongea utumbo kama huo hatushangai.

Huko benki nilikwenda na wewe wakati namsajili Danny wewe ulikuwa hoi kwa ujauzito wa mimba ya zile bao mbili za mtani jembe.

👅👅👅 Kumbe hata hili nalo hunijui....?
Wewe ni shabiki wa Simba sc au ndo wale wa Simba Ukawa....?

Hahahaha! Hamna kitu nyinyi.
 
Watachukuaje ubingwa wakati wachezaji wanatumia mizizi ya matambiko kama njia ya kuharalisha ushirikina..

Wao WANAPENDA UCHAWI KULIKO UBINGWA.

Eti yanga wananunua mechi, ina maana simba waliwauzia mbeya city na stand united ili kupata hela ya kulipa madeni?
 
Hawawezi kubisha hapo!

Eti kisa performance ya Yanga Fc katika ligi Kuu ya Msimu huu imechangia wao kutopata mapato ya kutosha.

Kwa lugha nyingine Yanga Fc imekuwa ilifanya vizuri kuliko Mikia FC NA hivyo mashabiki walikata tamaa mapema kwamba simba Sc hawezi kushindana na speed ya Yanga Fc.

Imefilisika unailisha wewe au kwa kuwa unajivunia kuwa mke wetu basi unajua kila kitu cha mumeo. Utakuwa unajidanganya sana. Mke wangu nilimuoa kwa mahali kubwa tu na anaishi vizuri tu ndiyo maana kila mechi tukikutana ananipa mahaba yoote. Okwiiiiiiiiiiiiiii
 
Kweli kabisa mkuu, nashauri walimu wanaofundisha shuleni wakitaka wanafunzi wao waelewe nini maana ya ukoloni wawe wanawatolea mfano wa litimu la yanga na bwana wao manji.

Ni kweli kabisa, maana huyo Mwalimu atakuwa anafundisha kwa Raha zaid tena itakapo ingia Topic ya MAKOMBE ya Yanga Fc.
Ataweza kutumia siku 25 ambapo kila siku atapata nafasi ya kutosha ya kufundisha jinsi kila Kombe la Yanga Fc lilivyopatikana na mengineyo mengi zaidi..!
 
Eti yanga wananunua mechi, ina maana simba waliwauzia mbeya city na stand united ili kupata hela ya kulipa madeni?

Simba pekee ndiyo yenye kupata matokeo halali uwanjani. Hata Barcelona inafungwa na timu kama stand united lakini sio mfululizo kwa Yanga kwa Simba.
Nyinyi kuifunga Mbeya city mpaka mnunue kipa wao ndio maana mpaka sasa hivi kijana wa watu amefungiwa anakufa njaa huku nyinyi toka mumpe buku 10 ile mmemsahau.
 
Hata hujui anayeisaidia yanga ishinde ni nani, ndiyo maana wenzio wanaoijua siri hawataki kuitisha uchaguzi maana akiondoka tu yanga imekufa. Mechi za kununua itakuwa ndiyo mwisho wake.

Je ni nani aliye kuwa akinunua mechi za Makombe 23 yaliyopita kabla huyu ajaja na kuanza kununua mechi ambazo zimeleta Makombe 2 ya ziada.....?

Tutanunua mechi hadi mmeze sumu za panya....!

Timu ya Yanga Fc itakufa pale ambapo pesa itasitishwa kutumiwa Duniani...
 
Kabumbu analosakata huyo dogo ni la noma anazidi hiyo thamani, tatizo lenu mashabiki maandazi wa mikia fc mna wivu wa kike Msuva ukimpeleka England kwa majaribio timu za championship zitapgana vikumbo kumgombea kwa dau la £ 1.2 milion.
 
Hawa simba naona wamepata matege ya ubongo baada ya kukosa kombe la ligi miaka mitatu mfululizo wana.hasira hao ....hasa baada ya kutumia pesa nyingi katika usjili lakini bado ngoma ngumu
 
grafani yafundishe mpira hayo ma vyura ya jangwani...na ubingwa wao wa kuhonga.!

Njoo hapa na wewe nikutie sindano za moyo na hilo Litimu lenu la MCHANGANI.
 
Last edited by a moderator:
Simba oyeeeee
 
Attachments

  • 1430506954980.jpg
    1430506954980.jpg
    6.7 KB · Views: 146
Hawa simba naona wamepata matege ya ubongo baada ya kukosa kombe la ligi miaka mitatu mfululizo wana.hasira hao ....hasa baada ya kutumia pesa nyingi katika usjili lakini bado ngoma ngumu

Ni zaidi ya miaka 6. wala sio mitatu.
 
Hawawezi kubisha hapo!

Eti kisa performance ya Yanga Fc katika ligi Kuu ya Msimu huu imechangia wao kutopata mapato ya kutosha.

Kwa lugha nyingine Yanga Fc imekuwa ilifanya vizuri kuliko Mikia FC NA hivyo mashabiki walikata tamaa mapema kwamba simba Sc hawezi kushindana na speed ya Yanga Fc.

Walisema Azamtv ndo chanzo,nikabak nashangaa kwan wakati Yanga inakataa mil100 walileta shobo sana hao mikia
 
Simba pekee ndiyo yenye kupata matokeo halali uwanjani. Hata Barcelona inafungwa na timu kama stand united lakini sio mfululizo kwa Yanga kwa Simba.
Nyinyi kuifunga Mbeya city mpaka mnunue kipa wao ndio maana mpaka sasa hivi kijana wa watu amefungiwa anakufa njaa huku nyinyi toka mumpe buku 10 ile mmemsahau.

Tafuteni pesa na nyinyi muhonge timu za ligi Kuu....!

Kimbelembele kimezidi cha kumkimbilia Msuva wakati bei yake ni sawa na thamani ya Club yenu..!
 
Tangu nizaliewe sijawahi sikia yanga kuwa kwenye kashfa za kununua mechi na hata kwenye vitabu vya historia sijakutana na story hiyo.....simba inaongoza kwa kashfa hizo ushaidi upo
 
ndugu hamna klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa, nakupa somo na waandishi wenu wa kibongo uchwara. mashindano ya kimataifa yanachezwa na timu za taifa. haruna niyonzima hawez kucheza mechi ya kimataifa na timu ya tz na ndio maana unaimbwa wimbo wa taifa. tatzo mmezoea huku kwenu zinaenda tm mojamoja kwn mashindano ya vilabu, je ikitokea zamaleck na al ahly zikikutana kwn klabu bingwa afrika utaita gemu ya kimataifa? au atletico madrid walipocheza na real madrid juzijuzi kwn klab bingwa ulaya ilikuwa mechi ya kimataifa? yeboyebo kweli hamnazo
 
yaani ww ni funiko! yaan umeota ndoto na bei ukaseti kabisa! ngoja tuone msimu ujao atakuwa na kiwango gani kama siyo moto wa kifuu
 
Milioni 700?? Kwa lipi?? Wachezaji wenyewe wa bongo viwango vyao haviko consistent vinayumba kama Homa za vipindi. Na asilimia ngapi ni ya magazeti maana nayo yanampa promo sana

Labda unisaidie kunikumbusha ni magoli mangapi kati ya 17 aliyokwishatupia Msuva, yalifungwa na Magazeti?
 
ndugu hamna klabu inayoshiriki mashindano ya kimataifa, nakupa somo na waandishi wenu wa kibongo uchwara. mashindano ya kimataifa yanachezwa na timu za taifa. haruna niyonzima hawez kucheza mechi ya kimataifa na timu ya tz na ndio maana unaimbwa wimbo wa taifa. tatzo mmezoea huku kwenu zinaenda tm mojamoja kwn mashindano ya vilabu, je ikitokea zamaleck na al ahly zikikutana kwn klabu bingwa afrika utaita gemu ya kimataifa? au atletico madrid walipocheza na real madrid juzijuzi kwn klab bingwa ulaya ilikuwa mechi ya kimataifa? yeboyebo kweli hamnazo
Wee ndo MBULURA kabisa,mashindano ya Club Bingwa Africa hushindaniwa na Club Bingwa za nchi husika kwahiyo mfano wako wa Al Ahly kukutana na Zamalek ambazo ni team za nchi moja hauna mantiki ksbb nchi moja haiwezi kuwa na mabingwa wawili.....
Ingekuwa hivyo Jopo la Kamati ya mashindano la VPL lingeteua Mikia kuwa Bingwa Mwenza msimu huu wa 2014/2015 ili kumaliza ukame wa kutoshiriki mashindano ya Kimataifa,kama walivyobadili kanuni za Card 2 sijui 3 za njano kui'favour team yao.
 
Simba pekee ndiyo yenye kupata matokeo halali uwanjani. Hata Barcelona inafungwa na timu kama stand united lakini sio mfululizo kwa Yanga kwa Simba.
Nyinyi kuifunga Mbeya city mpaka mnunue kipa wao ndio maana mpaka sasa hivi kijana wa watu amefungiwa anakufa njaa huku nyinyi toka mumpe buku 10 ile mmemsahau.

Vumilia tu utazoea kama yanga ndio bingwa wako maana na simba imeshiriki kuanzia mwanzo wa ligi mpaka alivyopatikana bingwa, ila mwakani jipange kwa mechi zote. Ubingwa sio kumfunga yanga tu.
 
Back
Top Bottom