demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,288
- Thread starter
- #161
P
Unajaribu kutoka nje ya uzi baada ya kushindwa hoja Haya nitajie nyumba za wachezaji wa yeboyebo zilizopo Dsm.
Hahahaha! Ninatokaje nje ya mada wakati sasa nazungumzia utajili wa Klabu ya Yanga Fc ambapo kila mchezaji anandoto za kuichezea hapa nchini....!
Wanakula maisha huko Duniani saa hizi.....! Maana nasikia Utamu kawa Mcharo tangu mda mrefu....!
Hata wewe sasa hivi unandoto za kuwa SHABIKI WA DAR YOUNG AFRICA FC...! 👅👅👅👅👅👅👅.