Mama Samia alikuwa na muda wote wa kutuwekea misingi imara ya Tanzania mpya yenye haki kamili. Tukawa na Tanzania isiyokuwa na malalamiko. Sote tukajisikia kuwa na haki sawa.
Ajabu na kweli mzuka uliompitiliza wa 2025 umempiga upofu. Haoni wala hasikii.
Haya matozo yanayopigiwa kelele kila kona hata hayamfikirishi? Chawa wake wangapi nguli hawaonekani tena mitandaoni hata kumjibia hoja?
Amepima kuona kama akikwama 2025 au atakapotoka madarakani atakuwa na sifa au hata kuacha legacy gani?
Angeshukuru kwa minne aliyopata na kujielekeza kwenye kuliweka taifa mikononi mwa watu, hata mitano mingine ya haki mbona ingemfuata tu?
Yetu macho, ngoja tuone.