TFF, Bodi ya Ligi na Azam TV wanahujumu soka la Bongo

U
Timu kongwe Simba na Yanga zote hazina mechi hata moja ya mchana, huku Azam ikiwa na mechi mbili za saa 8 mchana dhidi ya Mbeya City Septemba 20 na Ihefu Oktoba 17

Hata hivyo timu za majeshi ndio zimeonekana kuathirika zaidi na ratiba ya kucheza juani kwenye mzunguko wa kwanza wa ligi msimu huu.

Timu kama JKT Tanzania, Tanzania Prisons na Ruvu Shooting ndizo zimeonekana zitacheza mechi nyingi mchana kwenye mzunguko huo wa kwanza wa ligi kuliko timu nying yoyote.
Mwanaspoti
Ukilalamika halafu bado ukafikiria hujapata hata reasons and causes juwa hutapata solution

Jifunze kufikiri kabla ya kulalama
 
Acheni ulalamishi kwa kila jambo, nendeni mkapime Vidonda vya tumbo najua wengi mnajikuta tu mmekuwa walalamishi na hamaki nawambieni Vidonda vya tumbo hizo ndio dalili zake kuu. Kama hamtaki ushauri huuu mtaishia kupatwa Kansa ya Utumbo.
Yani watu wanajadili vitu vya maana we unakuja kucheza kucheza baikok? huoni aibu?
 
Pia waboreshe matangazo yao ,siku hizi ubora umepungua. Huwa wanawekeza zaidi kwenye simba na yanga.
 
Sijawah kuona Wala kusikia Simba na Yanga wakicheza saa nane😰😰😰
Siku wakicheza saa nane sijui Mana naona timu za mikoani tu ndio Mara zote saa nane zinacheza.
Bodi ya ligi kufungua viwanja Ni kuonyesha kuwa TFF hakuna kitu Ni madudu tu.
Bado nalia na TFF ambayo haina umuhimu katika soka la bongo zaidi ya kupanga ratiba tu.
hata hiyo ratiba imewashinda kupanga ndio kama hivi sasa
 
Back
Top Bottom