mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
U
Jifunze kufikiri kabla ya kulalama
Ukilalamika halafu bado ukafikiria hujapata hata reasons and causes juwa hutapata solutionTimu kongwe Simba na Yanga zote hazina mechi hata moja ya mchana, huku Azam ikiwa na mechi mbili za saa 8 mchana dhidi ya Mbeya City Septemba 20 na Ihefu Oktoba 17
Hata hivyo timu za majeshi ndio zimeonekana kuathirika zaidi na ratiba ya kucheza juani kwenye mzunguko wa kwanza wa ligi msimu huu.
Timu kama JKT Tanzania, Tanzania Prisons na Ruvu Shooting ndizo zimeonekana zitacheza mechi nyingi mchana kwenye mzunguko huo wa kwanza wa ligi kuliko timu nying yoyote.
Mwanaspoti
Jifunze kufikiri kabla ya kulalama