Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Kama ushahidi wenyewe upo wazi wazi kiasi hiki sidhani kama kamati kuu wanaweza kuwaacha. Naona kila dalili safari ya magufuli na Mwandosya katika mbio za urais kuishia CC
 
Jamani Lowassa ni WAZIRI MKUU "Mstaafu" matibabu yake yanagharmikiwa na SMT.

Je, nani ameridhia huyo Dr kuja Tanzania kwa gharama kubwa kiasi hicho? ni Dr. Seif? Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii?

Hujui kama ugonjwa wake kafanya siri. Kama ingekuwa wazi asingekubaliwa kugombea urais.
 
Yaani hizo zote ni mbinu za kumkata Sisco!! Siwamkate tuu yaishe.
 
Kama hii tweet ni yake basi atakuwa mnafiki kuliko shetani maana yeye ndio muasisi wa makundi.
Mgeukane tu sisi hayatuhusu, tena ikibidi mkate majina yote na msije na mgombea maana watanzania hawawahitaji.
 
Hivi mna uhakika Tweet za Kikwete ni yeye mwenyewe ndo anaandika?
hata Obama haandiki Tweets zote mwenyewe
 
Hebu akae atulie bhana yaani asiposafiri kidogo tu basi anahamia kwenye Twitter kutwa nzima kazi kutuma text zisizo na kichwa wala miguu
 
Amekuja na jengo zima la Hospital, wafanya kazi wake na waziri wa Afya wa ujerumani au?

Kaja na timu yake ya wataalam. Kama humjui huyo daktari ni bingwa wa mabingwa. Halipwi tsh millioni huyo.
 
Ndiyo maneno yale yale aliyosema miaka kumi iliyopita,kama tunajenga nyumba moja kwa nini tunagombania fito.
 
Mhh akatwe tu maaana ni kiongozi anaetumia nguvu nyingi kutaka madaraka kiingia atatuumiza tu tunataka kiongozi bora na mwadilifu na mwenye kuchapakazi tunataka mabadiliko na sio kushabikia mtu kisa kupendwa na watu
 
Kaja na timu yake ya wataalam. Kama humjui huyo daktari ni bingwa wa mabingwa. Halipwi tsh millioni huyo.

Kwa hiyo trip moja tu analipwa Kama vile ananunuliwa Bale au Ronaldo...??
Akili yako imeruhusu hili likae kichwani mwako?
 
1. Kama hizi kashfa zilijulikana siku nyingi je imekuwaje zinawasilishwa leo?
2. Hao ulioonyesha kashfa zao wameendelea kuteuliwa kushika nyazifa kubwa serikalini je waliowateua hawakuyajua hayo?
3. Unaweza kutuambia ni hatua gani za kinidhamu zimeishawahi kuchukuliwa kwa watu hawa?
4. Kutokana na haya maswali yangu ni dhahili tatizo ni CCM na hakuna msafi ndani ya CCM hivyo kwa hiki ulichokiweka hapa na mnavyoendela kuviweka humu mitandaoni mnatupa mwanga sisi wananchi kuwa ndani ya CCM hakuna msafi na hatutakiwi kamwe kuchagua kiongozi yeyote ndani ya chama hiki.

nawakumbusha watanzania hii timu si inataka watu waweke wazi mambo?

1,mlitaka kumuua magufuli na mkapa kumpa ulizi alipotaka kubomoa nyumba za tajiri wenu alizojenga kwenye ifazi ya bahari leo mumerudi tena kumchafua

timu chini ya kiongozi wao anatumia muda huu kisa mtu wenu hana nafasi ya kupitishwa kumchafua magufuli .mnapoteza muda

 
ccm wote ni wezi cjui wanamwandama luwasa?nani msafi ccm?hata huyo makongoro nyerere mzee wa gongo niwalewale anaingzwa nasytem ile ile ya wezi.
 
Siasa yoyote husaka maslah. Iwe kundindi dogo au kubwa kiini chake ni maslah. Makundi yatataka malipo zaidi maisha bora, afya bora orodha ni ndefu lakini yote haya ni maslahi. Ili ufikie kundi kubwa zaidi ni lazima uanze na kundi dogo kwanza ndipo ujulikane na kundi kubwa. CCM hatukatai kuwa na kundi hoja ni kuwa hili kundi linakuunga mkono kwa hoja gani. Kama ni kwa kuwanunua wajumbe, hii HAPANA. Kama una uadilifu, vipaji vya uongozi, uwezo wa kuwaunganisha watanzania wa wa bara na visiwani ili kujiletea maendeleo yao, kama unaweza kuisimamia Katiba ya nchi, hii NI SAWA.
Wakati Kamati Kuu ya CCM inakutana leo mjini dodoma, Mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho kikwete ame-tweet hivi.
View attachment 266732
 
Hatimae Safari Ya Lowasa Yafika Ukingoni....

KUPITIA VYOMBO VYA HABARI MAGAZETI YA LEO TAARIFA KAMA HIZI ZIFUATAZO ZITAWAPA YANAYOENDELEA DOM.
1: Uhuru
Front Page ''Waliokiuka Kanuni ''out''.-Hiki ni chombo kikubwa sana cha CCM

2:Rai
''Lowasa afitiniwa''

3: Shuhuda
''Kikwete Atajwa ''KUMMALIZA'' Lowasa.

4: Umma Tanzania
''Kiwewe Kambi Ya Lowasa''





vijarida vya uongo,
Nina yote yanayoendelea acha nikae kimya kwanza!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom