Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Sasa ndo naamini kumba hata magufuli hafai hata chembe, kama ni hivyo basi bora ata lowassa ambae inajulikana hawa wakujificha ndo wezi wabaya sana

hii tumu munachekesha sana kazi ya kumchafua membe mumemaliza mumeaza na magufuli,tumieni kampuni za habari za rostam na mengi kumchafua maggufuli lakini munapoteza muda,wenu bule.
 
Wakati Kamati Kuu ya CCM inakutana leo mjini dodoma, Mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho kikwete ame-tweet hivi.
IMG_61858238437775.jpeg
 
Wewe ndio hujui.....kamati ya maadili, ulinzi na usalama ya chama imekaa jana.

Lakini pia mtoa mada ametoa maoni yake na hajamtaja mtu yeyote

Jiandaeni kisaikolojia tu acheni kupanic

Alihojiwa Nape jana jioni na kueleza kuwa kikao hicho hakijakaa na Mwenyekiti ndio kawasili.
Naamini hiki ni kikao nyeti na kitahusisha idara zote nyeti za nchi na si lazima kitangazwe rasmi kuwa kwa sasa kinakaa.
Wanaweza kuamua wakati wowote na sehemu watakayo na kwa muda watakao kwa sababu za ki usalama ()
 
Ugonjwa sio kitu cha kufurahia, ungekua una utaratibu wa kutembelea wagonjwa mahospitalini usinge shadadia mtu kuumwa kiasi cha kumuanzishia uzi wa kukebehi afya yake.
 
Over the years i've learned to see, hear and experience things by myself.

Coins make a lot of noise unlike paper money. #Values .
 
Mwambie daktari jina limeshakatwa.atafute dawa mteja wake atulie.
 
Jamani Lowassa ni WAZIRI MKUU "Mstaafu" matibabu yake yanagharmikiwa na SMT.

Je, nani ameridhia huyo Dr kuja Tanzania kwa gharama kubwa kiasi hicho? ni Dr. Seif? Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii?
 
Ugonjwa sio kitu cha kufurahia, ungekua una utaratibu wa kutembelea wagonjwa mahospitalini usinge shadadia mtu kuumwa kiasi cha kumuanzishia uzi wa kukebehi afya yake.

Kebehi hapo nini nini au kujua hali ya mtanhaza nia?
 
Uongo mwingine bhana kuliko kumlipa si angejenga hospitali yake kabisa na madaktari akapata. . . . .au hujui bilion 73?????
 
bilioni 73??....atakapokua raisi si atakua anaenda nje kujitibu kila siku au kutumia bajeti nyingi kwa kujitibu
 
hAYA MAMBO YA AJABU SANA! YEYE ALIINGIA KWA MTINDO GANI... KWANINI TUMEUMBWA BILA AIBU NA KUJITAZAMA MAPUNGUFU YETU KABLA YA KUJIFANYA WASAFI MBELE YA WATU?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom