Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Huyo anaetoa matamko halafu wenye akili wanakanusha, kwamba sio kauli ya chama, mshaurini ajiuzuru. Ni kashfa. Kazi imemshinda,
 
DSC00425.jpg
 
Tatizo mnasema mnaleta update lakini badala yake mnapotea, zaidi ya masaa 2 hakuna update sasa hiyo inakuwa ndo nini make inamaana hata kwa pembeni watu hawasogei wala vimbwanga hamna ...fanyeni him a jamani na kumbukeni sisi tulip mbali kila kitu kwetu ni habari
 
Leo ikibidi tutakesha. Kikao cha CC,kile cha mchujo,kitaanza muda mfupi ujao. CC itaongozwa na Mwenyekiti na Rais wa JMT,Jakaya M. Kikwete. Mwenyekiti amekwenda kupumzika kidogo baada ya hotuba yake Bungeni. Wajumbe wengine wa CC wapo around hapa Uwanja mpya.

Updates zote zitaletwa hapa. Liwike,lisiwike kutakucha!Mkuu TandaleOne nimekuona mahali kada mwenzangu. Tupo pamoja!

Mzee Tupatupa (kwasasa Dodoma)

Leo ndo wanapitisha wale watano wa kupigiwa kura na NEC?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mnasema mnaleta update lakini badala yake mnapotea, zaidi ya masaa 2 hakuna update sasa hiyo inakuwa ndo nini make inamaana hata kwa pembeni watu hawasogei wala vimbwanga hamna ...fanyeni him a jamani na kumbukeni sisi tulip mbali kila kitu kwetu ni habari

Ndo ujue kuwa hizi info waletazo hapa sio trusted from the known source. Wanabwajaja kama Nape Nnauye.
 
Last edited by a moderator:
Mie niliishia kuwa mpenzi wao enzi hizoo Wenge ikiwa pamoja na Atalaku wao akiwa Roberto Ekokota.

Baadaye walipogawanyika, nikaishia kuwa Mpenzi wa Bill Clinton upande wa Werrason na upande wa JB Mpiana nikawa Big fun wa Tutu Kalunji. Lazima nikiri kuwa Tutu Kalunji ndiyo naamba moja kwangu kwani huyu jamaa ukiacha kufokafoka kwake, pia ni mwimbaji. Wengi watakumbuka wimbo wa Ndombolo wa BCBG ulivyotamba enzi hizo huku Gitaa akicharaza Mboka Liya, ilikuwa mateso matupu. https://www.youtube.com/watch?v=EOb0c6JNLYY

Turudi kwenye Topic.....
Bill Clinton nae balaa... anaimba na kucheza sana kama Gentamycine. Ila tutu kaludgi ana sauti ya kipekee sana tofauti na ekokota ambae sometyme pumzi ilikuwa inakata.. kwa TZ bado sijaona rapa kama Papii Kocha yaani kile ni kipaji cha hali ya juu mno... tusubiri Makongoro/lowasa/membe/jaji/pinda akiingia madarakani ampe msamaha
 
nyepesi nilizopata ni kua mpaka kesho tutakua tumewafahamu wale watano; mpaka jumamosi watatu na jumapili kuna uwezekano mkubwa wa kumpata mgombea mteule wa CCM
 
Pasco ndugu yangu uko wapi useme neno moja tuu na roho zetu zitulie?
Mie naja na swali moja tuu, jee huyu ndiye au tumtazamie mwingine?
Mkuu
Chakaza, Naendelea kusisitiza,
  1. Hakuna mtu wa kumkata Lowassa!, unless kama CCM imebadilika!.
  2. CCM sio baba wa mtu wala mama wa mtu!.
  3. Lowassa hana makosa yoyote!.
  4. Kama CCM wakimkata, na wamkate kwa haki na sio kimizengwe!.
  5. Akikatwa kimizengwe, patachimbika!.
  6. Namshauri wakimkata na yeye akate.
  7. Wanaompeleka mtu Ikulu sio CCM bali ni Watanzania.
  8. Kama CCM hawamtaki na kumkata, sisi wananchi tukimtaka tutampeleka Ikulu!.
  9. CCM siku nyingi sana kimechokwa, tena kimechokwa mpaka basi!, kuna wengi wako CCM kwa uvumilivu tuu, hivyo ikitokea sababu ya kuipiga chini CCM, kuna wengi watakuwa more than glad kuipiga chini bila huruma!.
  10. Rais wa Tanzania, 2015 ni Edward Ngoyai Lowassa!, ndani ya CCM au nje ya CCM!. Lowassa rais!.
Pasco
 
Ndugu wanajanvi, amini usiamini,. Taarifa rasmi kutoka ndani ya CC ni kuwa wafuatao wamepasua

1. Edward Lowassa
2. Dr Bilali
3.Asha Rose Mingiro
4. Augustine Ramadhani
5. Professor Mwandosya

Ngoja tuona halmashauri itakuwa je>
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom