Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
hakika lowasa akipita urais me ntatembea bila nguo kuelekea nchi jirani ya malawi na ntaishi hko mbka miaka kumi ya kipindi chake iishe
Naomba nikuqoute ili ahadi itimie.
hakika lowasa akipita urais me ntatembea bila nguo kuelekea nchi jirani ya malawi na ntaishi hko mbka miaka kumi ya kipindi chake iishe
1. Edward ngoyai Lowassa
2. Bernard kamilius Membe
3. Prof. Mark mwandosya
4. Dr. Mohamed Gharib Bilal
5. Stephen Wassira
Jamn breking news kuna watu.huku hili zoezi la kumpata mgongembea hawa tano bora wa CCM wamegeuza kubet kama mpira watu wana hadi mikeka kumi ila kila mkeka lowassa hakosi sasa wakimkata lowasa mhindi atakuwa tajiri sasa kumbuka hapa hii haina kupanga matokeo ngonja tusubiri
Hivi wapinzania wa lowassa hawana njia ya kumshinda lowassa zaidi ya kutegemea kukatwa kwake???
UKAWA yetu macho tu this time around.
Toa Lowasa hapo weka Sospeter Muhongo
Namtoa je wakati mshakaji wake alishamtaja kule bungeni....soma alama za nyakati
Toa Lowasa hapo weka Sospeter Muhongo
Ndugu wanajanvi, amini usiamini,. Taarifa rasmi kutoka ndani ya CC ni kuwa wafuatao wamepasua
1. Edward Lowassa
2. Dr Bilali
3.Asha Rose Mingiro
4. Augustine Ramadhani
5. Professor Mwandosya
Ngoja tuona halmashauri itakuwa je>
natamani iwe/itakuwa hivi:-
1. John pombe magufuli
2. Prof sospeter muhongo
3. Balozi amina saidi
4. Mwigulu lameki nchemba
5. Dr mohammed gharib bilal
tukutane kesho asubuhi
Natamani iwe/itakuwa Hivi:-
1. John Pombe Magufuli
2. Prof Sospeter Muhongo
3. Balozi Amina Saidi
4. Mwigulu Lameki Nchemba
5. Dr Mohammed Gharib Bilal
Tukutane kesho asubuhi
Mtikila is insane, ni mtu tuu wa kuhurumiwa, hajui atendalo!. Kwa msisitizo mkubwa, rais wa Tanzania 2015 ni Edwardo!, ndani ya CCM au nje ya CCM!. Mbele ya umma wa Watanzania CCM is nothing!. Sasa ama CCM wawe forced kumpitisha i survive, au wamkate CCM ife!.mkuu pasco unazunguziaje watu kama kina Rev.Mtikila ambao wamefungua id JF na wameeanza kwa kasi kumshambulia lowasa muda mchache kabla ya vikao vya chama havijaanza kuketi?pia amejipanga pia kushambulia ukawa je ndo kwa hali kama hii tanzania itatuchukua muda gan kubadilika na swali la msingi alikuwa wap muda wote huo aje kuibuka sasa?
Mtikila is insane, ni mtu tuu wa kuhurumiwa, hajui atendalo!. Kwa msisitizo mkubwa, rais wa Tanzania 2015 ni Edwardo!, ndani ya CCM au nje ya CCM!. Mbele ya umma wa Watanzania CCM is nothing!. Sasa ama CCM wawe forced kumpitisha i survive, au wamkate CCM ife!.
Rais ni Lowassa!.
Pasco