Hakuna binadamu wajinga TZ kama waandishi wa habari na wewe ni mmoja wapo..
Wote mmeshanunuliwa,ni aibu sana mtoto wa kiume kununuliwa na mwanaume mwenzako..
Hakuna wa kupachimba CCM hzo ni biti tu,mgombea wenu tunampa umakamu wa Rais ili atusaidie kuhudhuria kwenye uzinduzi wa VICOBA na SACCOSS,ili atumikie kwa miaka miwili then afe kwa ugonjwa aliopewa kama laana na mungu..
Unasema Lowasa akatwe kihalali..
hujuj kama ameshakiuka masharti.??
1.Kutoa Rushwa...
2.Kuanza Kampeni Mapema..
3.Kuwa na madoa ya ufisadi..
4.Mgonjwa(Leo Daktari wake kawasili Dodoma ili kumtibu akipata presha baada ya matokeo)..
We ni mchumia tumbo,mjinga na unajiuza ndio maana Lowasa kakununua...
JK hana ubavu wa kumkata Lowasa kamwwe.Kingunge kashamwambia kwamba Lowasa akikatwa CCCM itapoteza..
Bull-shiitHakuna namna vikao vya ccm vitachakachua ili yule mteule wa Mungu asipitishwe. Mungu amenena nami kwamba ameileta HAKI siasani, na anatuletea uongozi si utawala tena. Amesema hamuoni nilivyousambalatisha mtandao uliojinasibu kubinafsisha uongozi wa nchi yenu, lakini sasa kila mtu ananena lugha yake? Amemalizia kwamba miongoni mwa hao watiania 38 yumo Generali wa 'nyota' moja, Huyo ndiye! atakuja kwenu wananchi nanyi mumchague. Mdau tafakari!
acha kukufuru..nguruwe pori wewe.
Ndugu wanajanvi, amini usiamini,. Taarifa rasmi kutoka ndani ya CC ni kuwa wafuatao wamepasua
1. Edward Lowassa
2. Dr Bilali
3.Asha Rose Mingiro
4. Augustine Ramadhani
5. Professor Mwandosya
Ngoja tuona halmashauri itakuwa je>
mkuu pasco unazunguziaje watu kama kina Rev.Mtikila ambao wamefungua id JF na wameeanza kwa kasi kumshambulia lowasa muda mchache kabla ya vikao vya chama havijaanza kuketi?pia amejipanga pia kushambulia ukawa je ndo kwa hali kama hii tanzania itatuchukua muda gan kubadilika na swali la msingi alikuwa wap muda wote huo aje kuibuka sasa?
Mkuu Chakaza, Naendelea kusisitiza,
Pasco
- Hakuna mtu wa kumkata Lowassa!, unless kama CCM imebadilika!.
- CCM sio baba wa mtu wala mama wa mtu!.
- Lowassa hana makosa yoyote!.
- Kama CCM wakimkata, na wamkate kwa haki na sio kimizengwe!.
- Akikatwa kimizengwe, patachimbika!.
- Namshauri wakimkata na yeye akate.
- Wanaompeleka mtu Ikulu sio CCM bali ni Watanzania.
- Kama CCM hawamtaki na kumkata, sisi wananchi tukimtaka tutampeleka Ikulu!.
- CCM siku nyingi sana kimechokwa, tena kimechokwa mpaka basi!, kuna wengi wako CCM kwa uvumilivu tuu, hivyo ikitokea sababu ya kuipiga chini CCM, kuna wengi watakuwa more than glad kuipiga chini bila huruma!.
- Rais wa Tanzania, 2015 ni Edward Ngoyai Lowassa!, ndani ya CCM au nje ya CCM!. Lowassa rais!.