Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
EL anakatwa, viongozi wote wastaafu wapo Dodoma, usalama wa taifa,maereza polisi na jeshi viongozi wakuu wapo! wameenda bungeni kama njia ya kumuonesha EL nguvu na umoja wao. Makinda kataja mawaziri wakuu wastaafu wote na hakumgusia EL wakati kabla ya hili vuguvugu walikua wanamtaja. Kikwete kaua soo kwa kumtaja katika shukrani kwamba alivokuwa waziri mkuu alifanya kazi nzuri-yaani mweshimiwa lowasa ,