Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
hakika lowasa akipita urais me ntatembea bila nguo kuelekea nchi jirani ya malawi na ntaishi hko mbka miaka kumi ya kipindi chake iishe

Nasubiri hiyo siku utakapohama nchi kisa Lowassa
 
My prediction:

1. Mizengo Pinda
2. Mohamed Gharib Bilal
3. Bernard Membe
4. Asha Rose Migiro
5. Augustino Ramadhani

This is the list of merit, fikiria!

Kuwepo kwa Membe na kukosekana kwa Makongoro kunatia shaka na uhakika wa listi hii.
 
Naona topic imegeuka badala ya kuleta Updates zinaletwa tetesi za Umbeya, Uzushi na Fitna. Bora topic ifungwe na watu mkalale.

Kwa sababu watu wamejivika ujasiri katika kukisia kuliko kusubiri habari sahihi
 
Natamani iwe/itakuwa Hivi:-

1. John Pombe Magufuli

2. Prof Sospeter Muhongo

3. Balozi Amina Saidi

4. Mwigulu Lameki Nchemba

5. Dr Mohammed Gharib Bilal

Tukutane kesho asubuhi

Itakua hivi
1.Gharb Bilal
2.Mizengi Pinda
3.Asha Migiro
4.Magufuli
5.Agustino Ramadhani
 
Samanini hivi kwenye hii top 5 ya ccm muhindi hawezi kufanya manuva watu wakabeti

Primier betting.com wametoa fixtures kwa wale wataalam wa kubet nan atakua rais katika zile top 5

kama ifuatavyo:-

Makongoro -1.37
Agustino -1.23
Lowassa -1.22
Migiro -3.29
Pinda -4.00

HAINA HANDICAPE WALA DOUBLE CHANCE,NI MWENDO WA NORMAL TU!
 
Naamini wana jamvi mko salama na mmeamka na kuendelea na ujenzi wa Taifa.

Niingie moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.

Usiku wa kuamkia leo kamati kuu ya CCM iliyokutana chini ya mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi ndg Dr Jakaya Kikwete ili kuchambua majina ya watangaza nia wa Urais ndani ya CCM.Habari za ndani kutoka kwenye kikao hicho zinasema jina la mtu maarufu Ngoyai Lowassa limeondolewa .Msemaji huyo alidokeza kuwa haikuwa kazi rahisi kwani ni wazi Lowassa alikuwa na watu wanaomuunga mkono alisema pia aliendelea kudokeza kuwa "unajua sio rahisi huyu jamaa alijipanga sana ilifikia sehemu akaachiwa mwenyekiti wa kikao na m/kiti wa chama atoe muongozo kwani misuguano ilizidi kwa wana kamati.Lakini baada ya mwenyekiti kuwa na msimamo basi uamuzi ulifikiwa na kwenda mbele.Leo majina matano (05) yatakabidhiwa kwa Halmashauri kuu NEC pamoja na taarifa fupi kwa kila mgombea .

Imekuwa ni siri sana kutangaza wazi nini kilifikiwa ndani ya kamati kuhofia vurugu kwa hiyo kazi kubwa ya sasa ni kuhakikisha wanaweka mambo sawa ili kuondoa mivutano.Halmashauri kuu itakutana ili kuchambua majina matano kuanzia saa 8 usiku wa leo.Msemaji huyo alisema ni kazi kubwa na ngumu kwa mh Kikwete kila mgombea anamtazama yeye hasa wale rafiki zake Lowassa,Ramadhani,Membe,Asha R,na wengine.Hapa nakwambia ukweli tutafikia wakati tuseme tutoe hata Zanzibar kwani huku Bara ni majanga alisema msemaji huyo aliyeoko viunga vya Dodoma.

Leo ni leo ndani ya Halmashauri kuu kuchambua majina matano yatakayo wasilishwa na kamati kuu iliyoketi hapo jana usiku,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,stay tuned,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,swali kubwa akina nani leo watapenya maana sasa ni chama kwanza umaarufu wa mtu baadae.

Ukiachia mbali mbio za Urais ndani ya Chama tawala CCM kuna wimbi kubwa limetanda ndani ya jimbo la Kigoma kaskazini hasa baada ya gwiji na mwanasiasa maarufu Zitto kabwe kusema hatagombea tena Ubunge kupitia jimbo hilo . Vita kubwa ni kati ya Peter S mbunge wa Jimbo la Kigoma mjini CCM na tetesi zilizoopo ni kuwa Peter ameamua kuondoka jimboni mwake kwenda kigoma kaskazini ni baada ya Zitto kusikika kuwa atasimama jimbo la Kigoma mjini sasa Peter atapambana na Acran Peter John Mhadhiri wa chuo kikuu SAUT-MWANZA kutoka chama cha demokrasia na maendeleo a.k.a UKAWA kama atasimamishwa na chama hicho.

Kazi kubwa ya watanzania ni kuchagua na kuamua kazi ya sasa ni ya vyama vya siasa sisi tusubiri lakini mliowanachama wa hivyo vyama waambieni wakuu wenu walete viongozi wanaotufaa watanzania wote.
 
Si mtulie muda umefika tutajua utabiri wa sheikh Yahaya wa nini saa hivi
 
Uwongo Mtupu kwataarifa yako jina la mwamba wa kaskazini Lowassa lipo
 
Hii ni habari mchanganyiko na salam ya daku.ha ha haaaa,uwongo juu ya EL.
 
et usiku wa kuamkia leo!!!

ndugu ni vema ukajipanga tena kutudanganya ni wazi umechemka saaana

KIKAO HAKIKUFANYIKA JANA KAMA UNAVYOSEMA KIKAO KINAFANYIKA ASUBUHI

hizo siasa zako ni za kike dume zima linaleta habari za kishoga humu

pumbavu zako acha tu nikutukane kwa maana sina Namna nyingne, nipigww tu ban ila niseme tu ukweli

punguani mkubwa wew
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom