Bob Chacha Wangwe atangaza kugombea ubunge Tarime Mjini, pia amueleza Mwenyekiti wa Wilaya kwamba "ana soda kwa ajili ya wajumbe'

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .

Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada ya kutangaza nia ya kugombea.

Kama soda zimeanza mapema hivi, tena katika chaguzi za ndani, mwaka 2025 Chadema watatoa "soda" kiasi gani kwa wajumbe na wananchi watakaopiga kura?

Mara nyingi chadema imekuwa ikiishutumu CCM kwa vitendo vya rushwa katika uchaguzi, shutuma ambazo hazijawahi kuwa na ushahidi wowote
 
MwanaCHADEMA aliyekuwa anagombea hapo atakubali kumpisha Wangwe? Hapo kuna vita itatokea ndani ya CHADEMA
 
Yule dogo, apewe ubunge ila aache zile fujo za uchadema. Hata angekuwa CCM apewe tu. Sema tu aache uswahili wa upinzani, na uchadema. Akasaidie wenzake mpaka tumpe sifa za juu. Ni kijana anayehtaji kuwa na nafasi hizo
 
Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .

Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada ya kutangaza nia ya kugombea.

Kama soda zimeanza mapema hivi, tena katika chaguzi za ndani, mwaka 2025 Chadema watatoa "soda" kiasi gani kwa wajumbe na wananchi watakapiga kura?

Mara nyingi chadema imekuwa ikiishutumu CCM kwa vitendo bya rushwa katika uchaguzi, shutuma ambazo hazijawahi kuwa na ushahidi wowote
Kwa jinsi Siasa za Afrika zilivyokuwa chafu kupindukia, namuonea huruma sana mtu huyu.
Ni vyema sana akajiweka kando na masuala ya Siasa ili aishi maisha yake ya uhuru, amani na furaha daima.
 
Maskhara yanavyochukuliwa kimakini na mambo makini yanavyochukuliwa kimaskhara. Hii ndiyo Tanzania iliyotiwa ulemavu wa kufikiri na CCM.

Tanzania kufikiri nje ya CCM wanavyotaka ufikiri ni Haramu. Hapa inajengwa picha kuwa ndani ya CHADEMA kuna rushwa ya uchaguzi na wala watu hawahoji chanzo cha habari na Maudhui ya kauli iliyotolewa.

Tuna ujinga wa kialaiki.
 
Screenshot_2024-01-04-15-04-31-1.png
 
Kwa jinsi Siasa za Afrika zilivyokuwa chafu kupindukia, namuonea huruma sana mtu huyu.
Ni vyema sana akajiweka kando na masuala ya Siasa ili aishi maisha yake ya uhuru, amani na furaha daima.
Kama wewe muoga basi tambua ya kwamba siyo wote. Muache mwamageuzi Bob Chacha Wangwe agombee.

Wewe endelea kuvishwa Tshirt na kofia huku ukipiga makofi.
 
Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .

Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada ya kutangaza nia ya kugombea.

Kama soda zimeanza mapema hivi, tena katika chaguzi za ndani, mwaka 2025 Chadema watatoa "soda" kiasi gani kwa wajumbe na wananchi watakaopiga kura?

Mara nyingi chadema imekuwa ikiishutumu CCM kwa vitendo vya rushwa katika uchaguzi, shutuma ambazo hazijawahi kuwa na ushahidi wowote
Kama umeita wajumbe siyo mbaya kuwapa soda au chakula
 
Kwani kuwanywesha soda ni rushwa🤔Huo ni moyo wa ukarimu mzee.
 
Back
Top Bottom