UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,328
Jamaa yuko usa anafuatilia misaada,jana imeanza kuingia tumepata mbwa wawili wa kuzuia ujangili.
Sijui nicheke au nilie ,hii kiboko
Jamaa yuko usa anafuatilia misaada,jana imeanza kuingia tumepata mbwa wawili wa kuzuia ujangili.
Jamaa yuko usa anafuatilia misaada,jana imeanza kuingia tumepata mbwa wawili wa kuzuia ujangili.
Kwa hiyo wewe umemuona Ban kimoon Ana akili nyingi kuliko Mimi sababu ya JK.ndiyo maana nimesema wewe ni mbumbumbu mzungu wa reliWewe mfuasi wa Mbowe una akili kumzidi BAN-KIMOON aliyeona Jakaya anafaa?
Ficha upumbavu wako! Mambo ya kidunia hayapingwi kijinga hivyo!
angalia yule dogo asikutukane tena kama juzi naona umesahau mpaka nikaona aibu maana nakuheshimu
Kwa hiyo wewe umemuona Ban kimoon Ana akili nyingi kuliko Mimi sababu ya JK.ndiyo maana nimesema wewe ni mbumbumbu mzungu wa reli
Mbowe ataenda ubungo na chopa safari hii wanachadema tujitokezeni kwa wingi tukamshangilie
Intelijensia yangu imenasa sms inayosambazwa na madereva kuwataarifu kuwa Viongozi wa Madereva wameshindwa kufikia muafaka na viongozi wa Serikali juu ya takwa la kutakiwa kwenda kusoma kila wanapotaka kuhuisha leseni zao.
Sms husika zinazionya daladala za Segerea-Mnazimmoja na Segerea-Ubungo kutopeleka magari yao barabarani kwakuwa watawatia hasara matajiri wao. Sms husika inatoa kila dalili kuwepo kwa mgomo wa tatu wa madereva hapo kesho.
Mjumbe hauwawi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Ataendelea kuwadanganya nyie misukule wenzie! Huyu ni mbeba Pochi ya Josephine pale UFIPA!
Kwahiyo wewe kiroboto una akili kuliko hao walioona kuwa kuna uhitaji wa kuunda jopo kushughulikia suala hilo?
Na JK ndio awe kiongozi wao?
Mmezoea kupinga kila kitu lakini mengine oneni aibu!