Tetesi: Madereva kugoma tena kesho,nchi kutikisika

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Intelijensia yangu imenasa sms inayosambazwa na madereva kuwataarifu kuwa Viongozi wa Madereva wameshindwa kufikia muafaka na viongozi wa Serikali juu ya takwa la kutakiwa kwenda kusoma kila wanapotaka kuhuisha leseni zao.

Sms husika zinazionya daladala za Segerea-Mnazimmoja na Segerea-Ubungo kutopeleka magari yao barabarani kwakuwa watawatia hasara matajiri wao. Sms husika inatoa kila dalili kuwepo kwa mgomo wa tatu wa madereva hapo kesho.

Mjumbe hauwawi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Nimeisikia hiyo fununu let's see hiyo kesho imeshakuwa talk of the city nasikia kkoo nao wanaliahamsha kesho
 
Habari iliyotangazwa na ITV muda huu ni kwamba madereva 15 wamefukuzwa kazi,kwa taarifa hii tutegemee makubwa Tanzania.
 
Intelijensia yangu imenasa sms inayosambazwa na madereva kuwataarifu kuwa Viongozi wa Madereva wameshindwa kufikia muafaka na viongozi wa Serikali juu ya takwa la kutakiwa kwenda kusoma kila wanapotaka kuhuisha leseni zao.

Sms husika zinazionya daladala za Segerea-Mnazimmoja na Segerea-Ubungo kutopeleka magari yao barabarani kwakuwa watawatia hasara matajiri wao. Sms husika inatoa kila dalili kuwepo kwa mgomo wa tatu wa madereva hapo kesho.

Mjumbe hauwawi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Wangesubiri kwanza kuona kama takwa hilo kweli lipo kuliko kubashiri.Ili wawe na maushahidi.Lazima kati yao wako ambao leseni zao ziko mbioni kuisha muda.
 
Tumefika hapa kwa upuuzi wa wabunge wa CCM na Rais dhaifu- Jj Mnyika
 
Jamaa yuko usa anafuatilia misaada,jana imeanza kuingia tumepata mbwa wawili wa kuzuia ujangili.

Watawala wa nch Hii hawaishiwi vituko hadi mBWA tunaomba khaa,,,sasa cc tunaweza nini
 
Kwa taarifa zilozopo ni kwamba (Kwa uhakika kiasi kikubwa) Kesho mabasi hayatatoka ubungo! Mgogoro umekuwa mkubwa zaidi kutokana na wenzao kufukuzwa kazi pia wanadai kuwa wamedanganywa! Kama kesho unasafiri ukielekea Ubungo ujipange kwa lolote lile!!
 
Jamaa yuko usa anafuatilia misaada,jana imeanza kuingia tumepata mbwa wawili wa kuzuia ujangili.

Maajabu mengine haya, ametumia mabilioni kufuata mbwa wakati BVR inasuasua.shame CCM,
 
Intelijensia yangu imenasa sms inayosambazwa na madereva kuwataarifu kuwa Viongozi wa Madereva wameshindwa kufikia muafaka na viongozi wa Serikali juu ya takwa la kutakiwa kwenda kusoma kila wanapotaka kuhuisha leseni zao.

Sms husika zinazionya daladala za Segerea-Mnazimmoja na Segerea-Ubungo kutopeleka magari yao barabarani kwakuwa watawatia hasara matajiri wao. Sms husika inatoa kila dalili kuwepo kwa mgomo wa tatu wa madereva hapo kesho.

Mjumbe hauwawi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Nyie wapuuzi mnajua maana ya nchi kutikisika? Pelekeni upumbavu wenu huko UFIPA.
 
Intelijensia yangu imenasa sms inayosambazwa na madereva kuwataarifu kuwa Viongozi wa Madereva wameshindwa kufikia muafaka na viongozi wa Serikali juu ya takwa la kutakiwa kwenda kusoma kila wanapotaka kuhuisha leseni zao.

Sms husika zinazionya daladala za Segerea-Mnazimmoja na Segerea-Ubungo kutopeleka magari yao barabarani kwakuwa watawatia hasara matajiri wao. Sms husika inatoa kila dalili kuwepo kwa mgomo wa tatu wa madereva hapo kesho.

Mjumbe hauwawi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Huu ubunge unao saka wala hutopata! Vipi kamanda Mbowe uliyemsifu hakutatua matatizo yao? Mgomo mlio ratibu haukuleta matunda mliyotegemea sasa mna andaa mwingine na kusambaza massage? Kamwe hamtaigusa ikulu.
 
hawagomi mwenyekiti wao kaonesha barua ya makongoro imeandikwa kwa mkono ikidai hakuna mafunzo baada ya leseni, kamsifu makonda na kawaponda wanasiasa naona atakua ameninihii
 
Intelijensia yangu imenasa sms inayosambazwa na madereva kuwataarifu kuwa Viongozi wa Madereva wameshindwa kufikia muafaka na viongozi wa Serikali juu ya takwa la kutakiwa kwenda kusoma kila wanapotaka kuhuisha leseni zao.

Sms husika zinazionya daladala za Segerea-Mnazimmoja na Segerea-Ubungo kutopeleka magari yao barabarani kwakuwa watawatia hasara matajiri wao. Sms husika inatoa kila dalili kuwepo kwa mgomo wa tatu wa madereva hapo kesho.

Mjumbe hauwawi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

hii ni kama itelijensia ya slaa na cdm ya kuona mipango ya ccm na sio kuchapiwa na kagenzi
 
Mleta mada amevurugwa..sijui amekula maharage gani yuleeèe
 
Maajabu mengine haya, ametumia mabilioni kufuata mbwa wakati BVR inasuasua.shame CCM,
Nani alikwambia JK kafuata Mbwa marekani? Acha ujinga, soma hapa!

---------------------------------------------------------------

Ki-moon: Dunia ina imani na Kikwete

LAST UPDATED ON 06 MAY 2015 BY MWANDISHI MAALUMU, NEW YORK HITS: 246

Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaifa, Ban Ki-moon akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete katika ofisi yake jijini New York, Marekani ambapo Rais Kikwete aliongoza kikao cha kutafuta majawabu ya dunia kuhusu athari za magonjwa ya milipuko. (Picha na Freddy Maro).

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesema dunia ina imani kubwa na Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wengine wa Jopo la Watu Maarufu Duniani waliopewa jukumu la kutafuta jinsi dunia inavyoweza kukabiliana na magonjwa ya milipuko, kama vile ebola, katika siku zijazo.
Aidha, Ki-moon amewaambia wajumbe hao kuwa uteuzi wao uliofanywa na yeye mwenyewe mwezi uliopita umefanyika baada ya majina yao kuwa yamependekezwa na taasisi nyingine za kimataifa, mbali na Umoja wa Mataifa na ni matarajio yake kwamba jopo hilo litakuja na mapendekezo yanayolenga kuifanya dunia mahali bora zaidi pa kuishi.
Aliyasema hayo juzi wakati alipokutana na kuzungumza na wajumbe wa jopo hilo ofisini kwake katika Makao Makuu ya UN mjini New York, muda mfupi kabla ya wajumbe hao kufanya kikao chao cha kwanza chini ya uenyekiti wa Rais Kikwete.
“Nawashukuru sana kwa kukubali uteuzi wangu. Dunia ina imani kubwa na uwezo wenu katika kutuwezesha sote kukabiliana kwa kujiamini zaidi na magonjwa ya milipuko katika siku zijazo,” Ki Moon aliwaambia wajumbe hao sita ambao wamepewa hadi Desemba mwaka huu kuwasilisha Ripoti kuhusu namna gani dunia inavyoweza kukabiliana vizuri zaidi na magonjwa ya milipuko.
Mbali na Rais Kikwete ,ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo hilo, wajumbe wengine ni Celso Amorim wa Brazil, Micheline Calmy-Rey wa Uswisi, Marty Natalegwa wa Indonesia, Joy Phumaphi wa Botswana na Rajiv Shah wa Marekani.
Rais Kikwete amemshukuru Ki -moon kwa uteuzi wa jopo hilo akisisitiza kuwa uteuzi huo unaonyesha ni kiasi gani UN ina imani katika uwezo wa wajumbe wa Jopo kuifanya kazi hiyo vizuri.
 
Back
Top Bottom