Mkuu,angalia yule dogo asikutukane tena kama juzi naona umesahau mpaka nikaona aibu maana nakuheshimu
Nini kesho, leo hapa town dala dala zimegoma watu wanachanja mbuga kwa TZ 11!. Mimi nimetoka town saa 11 jioni, hadi saa hizi inaelekea masaa 4, bado sijafika hata Palm Beach, kama ningetembea, ningeishafika Tegeta!.Intelijensia yangu imenasa sms inayosambazwa na madereva kuwataarifu kuwa Viongozi wa Madereva wameshindwa kufikia muafaka na viongozi wa Serikali juu ya takwa la kutakiwa kwenda kusoma kila wanapotaka kuhuisha leseni zao.
Sms husika zinazionya daladala za Segerea-Mnazimmoja na Segerea-Ubungo kutopeleka magari yao barabarani kwakuwa watawatia hasara matajiri wao. Sms husika inatoa kila dalili kuwepo kwa mgomo wa tatu wa madereva hapo kesho.
Mjumbe hauwawi!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
MTU anaripoti kutoka Lumumba wewe unatukana watu WA ufipa! Pambaf.Nyie wapuuzi mnajua maana ya nchi kutikisika? Pelekeni upumbavu wenu huko UFIPA.
Nani alikwambia JK kafuata Mbwa marekani? Acha ujinga, soma hapa!
---------------------------------------------------------------
Ki-moon: Dunia ina imani na Kikwete
LAST UPDATED ON 06 MAY 2015 BY MWANDISHI MAALUMU, NEW YORK HITS: 246
Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaifa, Ban Ki-moon akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete katika ofisi yake jijini New York, Marekani ambapo Rais Kikwete aliongoza kikao cha kutafuta majawabu ya dunia kuhusu athari za magonjwa ya milipuko. (Picha na Freddy Maro).
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesema dunia ina imani kubwa na Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wengine wa Jopo la Watu Maarufu Duniani waliopewa jukumu la kutafuta jinsi dunia inavyoweza kukabiliana na magonjwa ya milipuko, kama vile ebola, katika siku zijazo.
Aidha, Ki-moon amewaambia wajumbe hao kuwa uteuzi wao uliofanywa na yeye mwenyewe mwezi uliopita umefanyika baada ya majina yao kuwa yamependekezwa na taasisi nyingine za kimataifa, mbali na Umoja wa Mataifa na ni matarajio yake kwamba jopo hilo litakuja na mapendekezo yanayolenga kuifanya dunia mahali bora zaidi pa kuishi.
Aliyasema hayo juzi wakati alipokutana na kuzungumza na wajumbe wa jopo hilo ofisini kwake katika Makao Makuu ya UN mjini New York, muda mfupi kabla ya wajumbe hao kufanya kikao chao cha kwanza chini ya uenyekiti wa Rais Kikwete.
Nawashukuru sana kwa kukubali uteuzi wangu. Dunia ina imani kubwa na uwezo wenu katika kutuwezesha sote kukabiliana kwa kujiamini zaidi na magonjwa ya milipuko katika siku zijazo, Ki Moon aliwaambia wajumbe hao sita ambao wamepewa hadi Desemba mwaka huu kuwasilisha Ripoti kuhusu namna gani dunia inavyoweza kukabiliana vizuri zaidi na magonjwa ya milipuko.
Mbali na Rais Kikwete ,ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo hilo, wajumbe wengine ni Celso Amorim wa Brazil, Micheline Calmy-Rey wa Uswisi, Marty Natalegwa wa Indonesia, Joy Phumaphi wa Botswana na Rajiv Shah wa Marekani.
Rais Kikwete amemshukuru Ki -moon kwa uteuzi wa jopo hilo akisisitiza kuwa uteuzi huo unaonyesha ni kiasi gani UN ina imani katika uwezo wa wajumbe wa Jopo kuifanya kazi hiyo vizuri.
Ataendelea kuwadanganya nyie misukule wenzie! Huyu ni mbeba Pochi ya Josephine pale UFIPA!MTU anaripoti kutoka Lumumba wewe unatukana watu WA ufipa! Pambaf.
Hushangai Mbowe aliyepata zero kidato cha sita anavyowaongoza nyie misukule yake?Duh kichwa bom sijui wanaoongozwa
wewe uko kiteto utajuaje mambo ya Lumumba? VUTA NIKUVUTE yuko Lumumba anafahamika na kila MTU hapa Mjini.Ataendelea kuwadanganya nyie misukule wenzie! Huyu ni mbeba Pochi ya Josephine pale UFIPA!
dc wako leo anajigamba eti hakuna mgomo milele sijui kesho tena ataenda ubungo akapopolewe na mawe?
dc wako leo anajigamba eti hakuna mgomo milele sijui kesho tena ataenda ubungo akapopolewe na mawe?
Hii sasa sifa.
Huu ubunge unao saka wala hutopata! Vipi kamanda Mbowe uliyemsifu hakutatua matatizo yao? Mgomo mlio ratibu haukuleta matunda mliyotegemea sasa mna andaa mwingine na kusambaza massage? Kamwe hamtaigusa ikulu.
MTU anaripoti kutoka Lumumba wewe unatukana watu WA ufipa! Pambaf.
Nani alikwambia JK kafuata Mbwa marekani? Acha ujinga, soma hapa!
---------------------------------------------------------------
Ki-moon: Dunia ina imani na Kikwete
LAST UPDATED ON 06 MAY 2015 BY MWANDISHI MAALUMU, NEW YORK HITS: 246
Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaifa, Ban Ki-moon akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete katika ofisi yake jijini New York, Marekani ambapo Rais Kikwete aliongoza kikao cha kutafuta majawabu ya dunia kuhusu athari za magonjwa ya milipuko. (Picha na Freddy Maro).