Msalani, mbona unapoteza stability hivi wakati wewe ndiye kiongozi wa wafia mafisadi hapa mtandaoni? Sasa wale wafuasi wako kina laki si pesa, lizaboni, simiyu yao si wataumia na pressure halafu sasa ni usiku na huduma za afya hakuna. Tafadhali bwana usitusababishie majanga. Unahitaji kuwapa moyo ili wakikutazama wajue mambo bado bado yapo.
Unapunic hadi unapoteza malengo unaanza kushambulia kambi yako? CHADEMA wamewazidi kila kitu, na sasa mnachanganyikiwa hata kabla hawajatokeza.
Ebu niambie, mtoa mada ni mtu wa Lumumba siku zote tena ni kiongozi mkubwa tu hapo kwenu na anafahamika. Anasema inteligensia imempa fununu ya mgomo, badala ya kumsaidia mawazo namna ya kuimarisha chama chenu hata katika kukataliwa na kushindwa huku, unaelekezea mishare Ufipa - Chadema. Chadema ndio wametoa hii mada?
Ok, information yoyote inasifa bora hata kama ni mbaya na ndiyo maana haitakiwi kudharauriwa hata bila kujali imetoka wapi. Hii taarifa, unaiona ni tishio kwako. Unataka kusiwe na mgomo tena wa madriver. Ninashangaaa badala ya kuelekeza hekima zako kwa madreva ukiwashawishi wasigome, unatukana watu wasiohusikakuwa ni viroboto, utadhani matusi haya yatawatishia madriver wasigome!.
MSALANI, NA TUPATUPA WA LUMUMBA, KUMBUKENI MESSAGE YA ASKOFU KAKOBE. HAMTAIVUKA KWA KUTAFUTA WACHAWI WA MATATIZO YENU AMA KUTUKANA CHADEMA.
Angalieni vile mnavyoenenda msije mkajikuta mnachanganyikiwa na kubeba nguo vichwani!. Hapo Lumumba hali si shwari. Mnatumia nguvu kubwa sana kuziba harufu!.