Kesho madereva watagoma tena nchi nzima

Status
Not open for further replies.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
attachment.php

Kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wote, pikipiki to magari makubwa,umoja umoja wa madereva umeeleza makubaliano walio anzimia na serikari Ubungo siku ya mgomo wa kwanza yamepuuzwa.

Basi the daladala user's ni busara kuamka mapema, kwani mgomo huanza mara nyingi saa 12.

Pia serikari ni busara kaangalia namna ya kuzima malalamiko kila kona, mgomo huu una madhara mengi sana kwa wananchi.

#TMT .
 
Attachments

  • barua.png
    barua.png
    48.5 KB · Views: 2,267
TeamMayweather holaaaaaa.

Kesho kutakuwa na mgomo wa madereva wote, pikipiki to magari makubwa,umoja umoja wa madereva umeeleza makubaliano walio anzimia na serikari ubungo siku ya mgomo wa kwanza yamepuuzwa.

Basi the daladala user's ni busara kuamka mapema, kwani mgomo uanza mara nyingi saa 12.

Pia serikari ni busara kaangalia namna ya kuzima malalamiko kila kona, mgongo huu unamdhara mengi sanaa kwa wananchi.

#TMT .

chadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo

solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
 
wakuu nipo kwa daladala naelekea mbezi. nimedaka maongez ya dereva akiongea kwa simu kua kesho tar 4 may ni mgomo. wenye taarifa kamili mtujuze. kwan madai yao c wameshatekelezewa?
 
mkuu madai yao hawajatekelezewa ila kwa jinsi nilivyopitia vyombo vya habari na kusoma maelezo ya Mrutu ni kwamba wamepeana muda wa wiki moja ili wamiliki wa vyombo vya usafiri wafanye calculation kwa hasara watayoipata endapo wataendesha biashara zao kwa nauli inayopendekezwa hivi sasa..!! then baada ya mda huo waliokubaliana ndipo TABOA watatoa mapendekezo yao na kama wataitisha mgomo au la itajulikana baada ya muda huo kukamilika..!!
 
Mbeya mjini kuna kikao kinaendelea muda huh, na kwa mujibu wa dereva mmoja ni kwamba kesho tarehe nne hakutakuwa na chombo cha usafiri barabarani labda gari ndogo za binafsi zisaidie lkn daladala, bodabosa, taxi, Bajaj hazitafanya biashara , tutakaoumia ni wenzangu na Mimi tusio na magari
 
Nimeonyeshwa SMS waliokua wakitumiana jana, ina madai ya kutaa kusoma kila baada ya miaka mitatu, na kufanya kazi bila mikataba. Na maslahi mengine ambaayo hayakuanishwa wazi, huu ni mgomo wa madereva na sio wa Taboa.
 
nasikia madereva wanataka serikali iwalipe posho za kusafiri,kweli?
 
chadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo

solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
Ukiifuta CDM ndio unaharibu kabisa maana CDM ndio yenye dawa ya kuondoa Migoma Tanzania.Dawa ni kuipa CDM uongozi wa Nchi maana hata Maisha Bora kwa kila Mtanzania yameshindikana kwa sababu ya CDM kutokuwepo Madarakani
 
chadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo

solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
wewe unatumia akili au matope.chadema inahusikaje?serikali ifanye masosa wewe usingizie chadema.kinachotakiwa ni serikali ya ccm kuyapatia ufumbuzi malalamiko ya madereva na si kukaa kimya.chadema ndiyo serikali ijayo kuanzia novemba mwaka huu kufutwa sio rahisi kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom