(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

Mnamhukumu kwamba alikuwa anataka kumdhulumu mume wake,what if nyumba ilikuwa ni ya mwanamke kwa kila kitu ndio maana akaweza kuandika majina ya watoto na yeye kama msimamizi.Sio mara zote mali ni za mwanaume kuna wanawake anakuwa na mali zake na kwa kupenda kwake anaweka umiliki kwa jina la mume wake na lake.
Mpaka naweza kubadili hati maana yake yeye ndio mmiliki
 
Niko njiani kwenda kutoa mahari Machame ujue. Usinifanye niahirishe kwenda maana naanza kuamini mke wa kichaga ni hatari kwa uhai wangu.
Kama upo serious kwamba unaenda kuoa huko basi unaingia ktk kamali, risk ni kubwa saana kuoa huko. Mimi ni shuhuda pia wa haya majanga ya ndoa za wanawake kaskazini.
 
Asingetangulizwa kwa kuuliwa ,jamaa ana cancer inamsumbua..Anaweza kuvuta muda wowote ,hapo ilikuwa timing .

Kingine ,huyo msela alikuwa na moves za kwenda kwao mara kwa mara ,so Urassa alijua ukweni wangeleta tabu siku akitangulia...Yaani kila mmoja alikuwa anasoma hatua za mwenzie,mapenzi yalishakwisha.
Ndo maana kuna wanaume wenzetu ukiwasikiliza wanaongea kwa hisia sana na kusisitiza kutokuoa. Kuoa nowdays ni risk kubwa mno.
 
Unawezaje kumtetea Jane kuwa hakupanga kumdhulumu mune wake mali na huenda hata alikuwa katika mipango ya kumuua mumewe ni vile tu amewahiwa.
Hili ni dokezo tu, hakuna anayejua mipango halisi iliyokuwa akilini mwa Jane.

Kumuua Jane kumeathiri maisha ya wengi(ikiwemo watoto aliowaacha), haikuwa uamuzi sahihi.

Jamaa angefuatilia madai, na kama alihofia uhai wake basi angemkabili na kuilaani hiyo mipango yake. Baada ya hapo, ikiwa ameona dalili zozote mbaya basi angeomba utengano wa kisheria(judicial separation) ambao hauvunji rasmi kifungo cha ndoa.

Halafu fununu zinazovuja ni za upande wa Jane, hao ndugu wa mume hawana cha kusema?
 
Hili hawalijui, until the moment imefika ndio wanaduwaa kumbe mwanaume yuko hivi

The sad part hawajifunzi
Kwa mfano huyo Jenipher Urassa angekuwa na ule upendo wa kweli kwa huyo jamaa Kweka.

Huyo jamaa angeweza hata kumnumnulia gari kali au hata kumzawadia jumba lingine kali zaidi.

Wanawake wanashindwa kujua kwamba, .wakiwa submissive kwetu na wakituonyesha wanaume upendo wa kweli na kutupa mapenzi ya dhati.

Tunatoa mali yoyote hata iwe ya gharama vipi. Iwe jumba la mabilioni, gari au nini, hatuwazi.

Tatizo sasa tamaa na kututaka kututawala.

Hapa sasa ndio wanamshika Simba Sharubu zake.
 
Kwa sasa ndoa imekuwa chanzo cha migogoro na vifo vingi sana wanandoa wamekuwa kama marekani na Irani kutafutana usiku na mchana, kiufupi Kanda ya kaskazini ni hatari sana kuoa huko na hao wanawake wa kimachame ni viumbe hatari sana kuwai kutokea hapa duniani.
 
Hili ni dokezo tu, hakuna anayejua mipango halisi iliyokuwa akilini mwa Jane.

Kumuua Jane kumeathiri maisha ya wengi(ikiwemo watoto aliowaacha), haikuwa uamuzi sahihi.

Jamaa angefuatilia madai, na kama alihofia uhai wake basi angemkabili na kuilaani hiyo mipango yake. Baada ya hapo, ikiwa ameona dalili zozote mbaya basi angeomba utengano wa kisheria(judicial separation) ambao hauvunji rasmi kifungo cha ndoa.

Halafu fununu zinazovuja ni za upande wa Jane, hao ndugu wa mume hawana cha kusema?
Je km Jane naye alikua na mipango ya kummaliza mumewe? Na angefanikiwa? Watoto wasingepata shida?
 
Angeweza kupata haki yake bila kumuua,issue kama hizi unatuliza kichwa kwanza kabla hujafanya maamuzi
Mkuu mada kama zipo above your level wewe kuwa msomaji tu. Jamaa anasumbuliwa na Cancer ya Tumbo. Mimi nimekaa nikihudumu sekta ya Afya kitengo cha kansa kwa miaka kadhaa, kwa hiko alichokifanya hatushangazwi, pia ndani ya ndoa hii inaonekana kuna mengi sana mwanaume alikuwa akiyavumilia, yamkini hata hiyo Kanisa aliipata kutokana na matatizo kadhaa kutoka kwa huyo mwanamke.
 
This is true story;
Miaka ya 2000 Mwanandoa (Mama) kutoka Moshi alipanga mpango wa kumuua mumewe kwa kuwatumia vijana wa kazi ambao aliwapata kupitia mmoja wao hao vijana wa kazi.

Mpango ukapangwa wakakubaliana dau (adv) na kiasi kingine baada ya kumaliza kazi.

Wakati wa kuelekea utekelezaji wa dhuruma hiyo ya uhai, mmoja wa wale vijana wa kazi (waliotafutwa na yule master plan wao) nadhani nafsi ilimsuta kumbe anamfahamu yule Baba wanaetaka kukatisha Uhai wake. Siku chache kbl ya kutekeleza mpango wao alimtafuta yule mzee na kumweleza the whole plan na ushahidi wa pesa (partly) waliyopewa.

Mzee hakukurupuka akaenda polisi walat3ga Mtego wa kuwanasa wadhurumati wa Roho ya mzee kwenye moja ya kidaraja (by then) kidogo cha watembea kwa miguu eneo krb na shule ya msingi Mwere. Basi wakawanasa wale jamaa wakiwa full wamejikoki na siraha za jadi ambazo kimsingi ilikuwa ziishie kwa mzee wa watu anbaye alioa mke kwa mapenzi yake lkn mke akageuka jika na kutaka kumuua mzee wa watu.

Wauaji waliminywa na wakaweka wazi mpango mzima juu ya kumteketeza mzee ambapo kubwa kbs sababu ilikuwa ni kubaki na maki ambazo walikuwa wamezipata wakiwa kwenye ndoa.

Kwa hiyo hii kitu ni common sana kwa baadhi wa wanawake wa Kichaga hasa wamachame.

Kama uta observe sehemu kama Arusha wanawake wengi wanasukuma magari makubwa yale ya kupanda (sio kuingia) majority wanakuwa washapoka uhai wa wenza wao.

Mungu atusaidie kupata mwisho mwema, tamaa za mali zimekuwa nyingi na sasa si tu kwa wamachame ni wote kwa sbb ya hii wanasema usawa katika kila jambo which is not bad lkn wao wana transform in negative na ndo wanatuua kila kukicha.
Hatupo hapa kusema ukabila ila nakubaliana na wewe, kuoa kaskazini ni risk saana wakuu.
 
Ni ngumu kwa sheria za sasa za ardhi, mchezo unaweza kufanyika ila ni ngumu kama mmoja wa wahusika yupo hai.
Ndugu unaijua rushwa?
Inaaniza Kwa mjumbe,serikali za mtaa mpaka juu
Wakati we unaamini Kila mtu anapanga foleni na kufuata utaratibu wenzio wanapitia mlango wa nyuma wanamaliza mapema bila kufuata taratinu
 
Back
Top Bottom