3D.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2010
- 1,018
- 282
source please otherwise UDAKU
Huu ni udaku. Kama ni kweli basi ni upuuzi kuweka taarifa nzito kama hii bila kuweka source. JF ina matatizo sana siku hizi. Tunawasema akina Michuzi wakati tunaendeleza utumbo huo huo.