Tetesi: Mabalozi wakubali DOWANS kulipwa

Ama kweli wahenga walisema: Wajinga ndio waliwao. Huyu GeniusBrain ameleta hii mada kama tetesi alafu hapo hapo anasema imechapishwa euronet ambako mpaka sasa hakuna ambae ameiona. Dah!

Sasa mjinga ni nani? Huyu anaitwa GeniusBrain, sawa. Jaribu kufikiri kidogo tu, a GeniusBrain who is brain washed uko mpaka hapo, katumwa ajaribu kutingisha kiberiti, kweli kuna wajinga ndio wali wao hapo? ushauri wangu ni kumsaidia kufanya kazi yake iliaweze pata taarifa ya uhakika na kweli.
 
I wish ungesema source ya Habari yako;

Mabalozi wanatupima uwezo wetu wa kifedha,
We will be questioned kama tunaweza kulipa DOWANS alafu hatuwezi kujenga shule na zahanati kwa ajili ya wananchi

Last week nimeona kwenye Blogu Mhe. WM akipokea mkopo wa US $ 92M kwa ajili ya kusupport KILIMO KWANZA
Sasa kama hiyo ya KILIMO KWANZA tunaenda kukopa, ya DOWANS tunatoa wapi????

Hapo tunatakiwa tusilipe (Offcourse ni hela za kila Mtanzania)
WOTE KWA PAMOJA TUSIUNGE MKONO HOJA YA KULIPA DOWANS

nakuunga mkono. ikilipwa hiyo hela ina maana tz tuna uwezo wa kujifinance wenyewe hata maprojects makubwa makubwa ila bado tunaomba omba.
Kwa sababu tayari tuna elements za umatonya na tuwaombe hao hao watulipie dowans.
 
Back
Top Bottom