Tengeneza Mkono wa Mbele na Nyuma Gym Kwa Kufanya Hivi....

Tafadhali usiniquote na kuniuliza juu ya hii mada
 
Kijana mkono wangu wa Kushoto unapoteza sana nguvu, mna wasiwasi mkono mmoja utakuwa mkubwa Kuliko mwingine. Nifanyaje ku boost strength za huu mkono. Castr
 
Siyo kawaida mkono mmoja kupoteza nguvu ikiwa hauna maumivu au defect nyingine yoyote.

Cheki uzito unaoutumia. Punguza uzito halafu ongeza idadi ya reps. Cheki kama ni uzito unaoukutosha.

Gym yako ni advanced? Yaani mna weights ambazo zishapimwa? Kama siyo ukimaliza kupiga weight igeuze ili mkono uliokua kushoto uende kulia na wa kulia uende kushoto.

Angalia mkao wako wakati unapiga. Pressure hupelekwa mno upande gani wa mkono, kisha balance.

Kama hayo yote yapo sawa.

Dawa ni kufanya mazoezi ya nguvu push ups na kufanya lat pulldown na kujivuta.

Na kutumia weight ndogo na kuongeza idadi ya reps
 
Of course gym ni advanced, ngoja nifate ushauri wa kutumia weight ndogo na kuongeza idadi ya reps mzee baba. Thanks
 
Mazoezi ya uzi uliopita, haswa haswa ya kujivuta hua yanatengeneza mkono ambapo pale mkono hua unalengwa kama secondary muscle, ndiyo maana baadhi ya watu wanaweza wakapunguza idadi ya seti katika kila zoezi la mkono.

Pia baadhi ya watu hua wanaweza kuingia gyma na kufanya zoezi la mkono tu.

Naandaa thread ya kutengeneza mkono wa nyuma (triceps).
Hii nyuzi ya mkono wa tricep inakuaje mzee baba...?
 
Ili kuupata mkono kwa haraka hutakiwi uanze na mazoezi ya mkono..support kubwa ya mazoezi ya mkono yanatoka kwenye chest..so ni lazma uanze na chest bench press kwa schedule ya kawaida then ndo uanze mazoezi ya mkono..

Na mazoezi ya mkono huwa sio magumu kama watu wanavyocomplicate..
 
Hivi lengo kuu la haya ma gym ninini?
Mbona siku hizi yamepamba moto?
 
Hivi lengo kuu la haya ma gym ninini?
Mbona siku hizi yamepamba moto?
Kuwa in shape tu ndo lengo kuu..lingine ckuiz kutokana na lifestyle ya ckuiz magonjwa ni mengi sana..ko mazoezi yanaleta strength na kuboresha mwili/antibodies kukulinda na magonjwa..
 
Ili kuupata mkono kwa haraka hutakiwi uanze na mazoezi ya mkono..support kubwa ya mazoezi ya mkono yanatoka kwenye chest..so ni lazma uanze na chest bench press kwa schedule ya kawaida then ndo uanze mazoezi ya mkono..

Na mazoezi ya mkono huwa sio magumu kama watu wanavyocomplicate..
Hebu fafanua mkuu

Hapo kwenye support inatoka kwenye bench press pafafanue vizuri
 
Back
Top Bottom