Tengeneza Mkono wa Mbele na Nyuma Gym Kwa Kufanya Hivi....

Day 1- Nikaanza push ups kwa kupiga reps 10 raundi 4. Hiyo ni baada ya push ups zingine. Sina mkao mzuri nashindwa kuviweka viwiko chini.

Day 2- Nimepanda reps 12 kwa raundi 4. Bado mkao unanisumbua.

Day 3- Naamua kuweka miguu juu kama video ilivyoonesha. Viwiko vinagusa kama inavyotakiwa, naendelea na reps 12 kwa raundi 4.

Day 4- Naendelea kuweka miguu juu. Napanda reps, 15 kwa raundi 4.

Day 5- Narudia kuweka miguu chini kwa raundi 4 za reps 15 na raundi 4 za miguu juu reps 15.

Ni workout nzuri, inatia pressure kwenye triceps binafsi naona ni nusu ya kufanya skull crushers kwa mwili wako.

Narecommend mtu anayetaka triceps afanye.
nashukuru kwa mrejesho mkuu
 
somo zuri aisee nimeanza juzi hili zoezi hapa nilipo mikono hainyooki, na nikiinyoosha ni maumivu sijapata ona. Naomba uniambie nitumie dawa gani coz hii ni baraaa nashindwa fanya kazi nyingine.
zoezi lipi umeanza mkuu push up au kubeba chuma?
 
castr mbona hizi push up za kuweka magoti chini sioni impact yoyote hasa kwenye pumzi au mimi nakosea?
 
castr mbona hizi push up za kuweka magoti chini sioni impact yoyote hasa kwenye pumzi au mimi nakosea?
Mkuu kimbendengu nakumbuka push ups hizi nilizionyesha kua zinafanyika na zile nyingine.
Impact hauoni huku ukifanya kwa mtindo wa tabata protocol?
 
castr mimi push up zote napiga lakini hizi kwa kweli sioni kama naongeza kitu asante kwa kuwahi kujibu
 
castr mimi push up zote napiga lakini hizi kwa kweli sioni kama naongeza kitu asante kwa kuwahi kujibu
Ok hizi hua zinatarget kukata kifua na kuitengeneza tricep, kama hii haiko effective replace hii na diamond push ups.
Italeta matokeo sawa na hii.
 
castr habari ya siku nyingi,nisaidie body mass
Nzuri tu mkuu. Sijui wewe.

Body Mass Index ni kama kanuni inayotumika ili kujua kama kwa urefu ambao mtu anao uzito alio nao ni sawa au la.
Na huo uzito huwekwa kuonyesha kama huyo mtu ni mnene hivyo hana afya n hupewa mapendekezo ya jinsi ya kufanya ili apungue.

Ukiingia mtandaoni kuna websites zinazokuruhusu kuingiza urefu n uzito wako n kukwambia kama ni sawa ama siyo.

Lakini hata hivyo hii kanuni ina kasoro zake mfano pro bodybuilders wengi urefu na uzito wao hauendani hata kidogo lakini ni watu wenye afya imara.

Sikukuu ya nane nane nilikua Mbeya viwanja vya Nane Nane nilipimwa uzito na kukutwa urefu wangu na uzito haviendani. Lakini utaniitaje mnene na kunipa mazoezi ya kupungua wakati naonekana ni mtu ninayefanya mazoezi na nimejaa misuli tu?

So hii pia siyo ya kuitegemea kama ambavyo ilidhamiriwa iwe.
 
Ebwn Castr nisaidie kitu kimoja...nimeanza kupiga gym juz kati, jana nimeamka aisee mikono imevimba katikat kwny maungio hapa...
 
Ebwn Castr nisaidie kitu kimoja...nimeanza kupiga gym juz kati, jana nimeamka aisee mikono imevimba katikat kwny maungio hapa...
IMG_20170614_113535_652.jpeg
 
Ebwn Castr nisaidie kitu kimoja...nimeanza kupiga gym juz kati, jana nimeamka aisee mikono imevimba katikat kwny maungio hapa...
eeeeh makubwa hayaa wew ni mwanamke au mwanaume,?? mikono kuvimba unataka kutengeneza six pack au naanza hapa kwanni ivimbe?? Mini mbna nafanyaga mazoezi cjawahi kuona kitu chavimba labda ungesema u asikia mwilI kuuma
 
IMG_20170614_113753_221.jpeg
 
Back
Top Bottom