Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Swafi sana Tembo! Tatizo la serikali ya JK inapambana na vijangili badala ya kupamabana na MAJANGILI ambao wanajulikana na ni watu wazito hadi ndani ya serikali ya JK.
 
mr tembo nna pongez kidogo,wamekujeruh na risasi kidogo,wakajua umekufa kidogo...kumbe umepitia jeshi kidogo,next time ua na mchina kidogo
 
Lumumba Bendera Nusu Mlingoti! Imenipa Furaha, Maxkini Tembo Wameamua Kujilinda Wenyewe....... Andhaaa Kanoooon, Imenipa Hisia Za Uchungu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom