Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Nadhani mm ni mmoja kati ya watu wachache walioona operesheni tokomeza ilikuwa sawa tu.

Unajua watu wanaokaa kando na hifadhi ndio wanatunza majangili ukiwabana watasema tu ila nchi hii cku hizi mnajifanya utawala wa haki na sheria mtu akipigwa kirungu kwa manufaa ya taifa mnakuja juu....wamewaona majangili wakipita hawakutoa taarifa wakamatwe au wao kuwakamata...------- kbs.


Mkuu hii Operesheni ilivurugwa na wanasiasa na hasa wabunge wetu katika oprsheni hiyo askari sita walipoteza na raia kumi walipoteza maisha, hakuna popote tulipoambiwa kuawa kwa jangili hata moja. Kama operesheni kama hiyo iliishia kupoteza raia kumi na askari sita bila jangili lolote kufa, basi uwezo wa majangili ni mkubwa mno.Tunawalaumu askari kua waliua raia lakini majangili hao hao wanaishi na raia.
 
Safi sana pengine atakuwa ameokoa familia nzima ya tembo ambao walipaswa wafe siku hiyo!
bravo to the hero tembo!
 
sasa mtoa taarifa, hao majangiri kumbe huwa wanajulkana. kama wanapita mtaani kwenda kutungua matembo wetu na watu wanawaona. kwa nini game wasiwe wanafanye counter attack kabla hawajaingia porini.

Majangili wanaishi uraiani na silaha zao zinahifadhiwa huko huko, sasa hivi zoezi ni gumu kidogo maana ukiwavamia razima raia wataathilika. Majangili yanawatumia raia kama ngao huwezi kuyagusa bila raia kuumia, na raia wakiumia watu wanawajibika.
 
Inabidi tembo washitakiwe kwa kujichukulia sheria mkononi!
.............................TEMBO WAPELEKWE LUMANDE..............................
 
Bonge la msiba makao makuu ya ccm,hongera sana tembo,wafundishe na wenzako hizo combat karatee za kikomandoo ili mzidi kujilinda,haipo serikali ya kuwalinda,usipowafundisha wenzako mtamalizwa wote na kubaki historia tu kuwa na tembo walikuwepo.
 
ametekeleza ile amri ya wapigwe tu maana tumechoka na hakuna namna
 
Tembo hiyo ndo tabia yake kujifanya amekufa,alimuua babu yangu hivo hivo.R I P babu.

Mkuu huyo babu yako hajakurithisha ujangili? safi sana huyo Tembo katimiza wajibu wake vizuri. Nawahurumia sana watu wanaoishi karibu na hifadhi, siku tembo wakisema sasa basi watajuta kuwafahamu Tembo!
 
Kwa sasa huyo tembo anapatiwa matibabu pale iringa mjini ingawa wananchi wamependekeza apelekwe nje ya nchi kwa madaktari bingwa wa wanyama. Pia wananchi wameomba serikali itoe ulinzi wa kutosha kwa tembo huyo kwani najangili wanahasira naye baada ya kuwaua wenzao. Tumuombee apone kwani anaweza kusaidia kutoa semina elekezi kwa tembo wengine hapa tz.
 
Nasubiri leo jioni na kesho asubuhi ni TV na gazeti lipi litaripoti haya masuala!!! Dhaifu na legelege.
 
Redio mbao zinasema huyu tembo ni wa CHADEMA amepewa mafunzo na bavicha tawi la Moro
 
Hao game unafikiri nao hawaogopi majangili mtu anawaza mara mbili wanaoua tembo ni watu wazito hapa nchini weweni game una mshahar kujifanya umahiri ufe alafu watoto wale nini nyumbani au ufukuzwe kazi bila sababu ya msingi / sio kwamba hawjui wanjua but whowill take action agaisnt these poaching ?

uko sahihi mkuu
 
Hii kali.Sijui nipongeze au nitoe pole

Mzee Tupatupa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom