mjusi ukimkimbiza sana hugeuka nyoka na kuanza kukukimbiza.
Hivi hifadhi ya Mikumi kuna Tembo
Hatua nzuri sana naamini Mungu sasa anawalinda Tembo kwa kutumia mbinu mpya
maana Serikali hoi sana.
Huyo tembo aanze kutembezwa ruaha,manyara etc akatoe semina kwa wenzie jinsi ya kuua majangili.Big up tembo!