Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Tembo aua Majangili wawili Mikumi

Nimefurahia hapo kwenye WITO KWA TEMBO WENGINE WAIGE MFANO.
 
Masikini tembo wamechoka hii inaonyesha kwamba uvumilivu huwa una kikomo chake KINANA UPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! HIZO NI SALAAM KUTOKA KWA MWAKILISHI WA TEMBO KUTOKA MIKUMI
 
Imenifurahisha hii, baada ya kazi za serikali ya wantende ninapita hapa jf kwa abcdz za hapa na pale, umenikumbusha mengi ktk habari hii, hebu fikiri tembo watangaze mtanange! Raia wa kawaida ndo watapata shida wala siyo kinana na wenzake. Na hili linatokea sana, waulize jamaa wa mahida chini rombo huko
 
Kwa serikali na bunge letu yalivyo, usishangae huyo tembo akaletwa bungeni kikao kijacho kupongezwa.

Wako tayali kufanya ukatabati wa jengo la bunge ili tembo huyo aweze kuingia na kukaa bungeni hahaha....
 
Hatua nzuri sana naamini Mungu sasa anawalinda Tembo kwa kutumia mbinu mpya
maana Serikali hoi sana.
 
Hawa majangiri wadhibitiwe jamani wanyama kama rhino wameisha kabisa hadi tunaimport nje
 
Huyo tembo aanze kutembezwa ruaha,manyara etc akatoe semina kwa wenzie jinsi ya kuua majangili.Big up tembo!

Ni kama naona unaomba wale jamaa wa kisesa (Mabina) waanze kutembezwa Tanzania nzima ili kutoa elimu ya uraia. Hakuna ardhi itaporwa na maccm.
 
Taarifa mbaya kwa majangiri.wataanza kutumia mabomu
 
Apewe kadi ya chadema huyu shujaa tembo ili ukombozi uendelee kila pembe, mpaka mwituni
 
Mmetoa siri ya kwamba tembo huwa wanajifanya wamekufa,watakuwa makini majangiri,
huyo tembo apandishwe cheo awe na bodyguard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom