Hivi hifadhi ya Mikumi kuna Tembo
Hahahaaah!...uyo Tembo anastahili apelekwe Bungeni akashuhudie!!!
Huyu tembo aende makao makuu ya CCM kuna mtu atamkuta pale....
Tembo hiyo ndo tabia yake kujifanya amekufa,alimuua babu yangu hivo hivo.R I P babu.
Hahahaaah!...uyo Tembo anastahili apelekwe Bungeni akashuhudie!!!
Huyo tembo aanze kutembezwa ruaha,manyara etc akatoe semina kwa wenzie jinsi ya kuua majangili.Big up tembo!
Hivi hifadhi ya Mikumi kuna Tembo
Hao game unafikiri nao hawaogopi majangili mtu anawaza mara mbili wanaoua tembo ni watu wazito hapa nchini weweni game una mshahar kujifanya umahiri ufe alafu watoto wale nini nyumbani au ufukuzwe kazi bila sababu ya msingi / sio kwamba hawjui wanjua but whowill take action agaisnt these poaching ?sasa mtoa taarifa, hao majangiri kumbe huwa wanajulkana. kama wanapita mtaani kwenda kutungua matembo wetu na watu wanawaona. kwa nini game wasiwe wanafanye counter attack kabla hawajaingia porini.