twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Self defence kisheria tembo hana kesi ya kujibu.Kijeshi tuna mtunuku cheo cha hali ya juu kwa kutumia mbinu kali za kuangamiza adui.Big up Mr Tembo.Get well soon
Hivi hifadhi ya Mikumi kuna Tembo
rip babu jangiliTembo hiyo ndo tabia yake kujifanya amekufa,alimuua babu yangu hivo hivo.R I P babu.
rip babu jangili
Katekeleza agizo la waziri mkubwa!!!
Tembo hiyo ndo tabia yake kujifanya amekufa,alimuua babu yangu hivo hivo.R I P babu.
Sasa tembo wameamua kujilinda. Juzi, tembo mmoja amewaua majangili wawili waliotaka kumuua. Tukio hilo limetokea katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi-upande wa Kilosa. Mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa Mjangili hayo yalipita kijijini kwao yakielekea hifadhini kwa ajili ya kuua tembo yakiwa na silaha nzito.
Inadaiwa kuwa tembo aliyewaua majangili alijeruhiwa kwa risasi na kujifanya amekufa.Majangili waliposogea kwa ajili ya kutimiza lengo lao la kuchukua nyara,tembo husika alikurupuka na kuanza kuwashambulia majangili hao hadi kuwaua wote wawili.Halafu, akaziponda maiti na kurundika miti katika maiti hizokiasi cha kuzifanya zisionekane.
Mashuhuda waliofika katika eneo la tukio walikuta maiti hizo pamoja na silaha walizokuwa nazo majangili hao. Natoa pongezi kwa tembo wa Mikumi kwa kujilinda. Tembo wote nchini nao waige mfano huo.
Chanzo: Wananchi wanaoishi kandokando ya Mikumi,upande wa Kilosa na Askari Wanyamapori
Huyo atakuwa ni nyoka aliyejifanya mjusimjusi ukimkimbiza sana hugeuka nyoka na kuanza kukukimbiza.
Tembo hiyo ndo tabia yake kujifanya amekufa,alimuua babu yangu hivo hivo.R I P babu.
Huyu tembo aende makao makuu ya CCM kuna mtu atamkuta pale....Huyo tembo aanze kutembezwa ruaha,manyara etc akatoe semina kwa wenzie jinsi ya kuua majangili.Big up tembo!
Tembo hiyo ndo tabia yake kujifanya amekufa,alimuua babu yangu hivo hivo.R I P babu.
Tembo hiyo ndo tabia yake kujifanya amekufa,alimuua babu yangu hivo hivo.R I P babu.