guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,255
- 2,073
Wakuu Habari.
Nimeamuka na hangover zangu leo nikawa nafikiria jambo hapa ndo nikapata wazo kuwa kule JF si kuna wataalamu.
1. Ni hivi mitandao kama Voda, TTCL, Airtel inauza vifurushi hivi vya internet..OK. swali wao wanapata wapi internet connection au kuna sehemu wanatengeneza hizi internet/bundle[hahahah]. Na kama kuna mtu anawauzia yeye anatoa wapi.
2. Mimi nikitaka kununua direct huko wanakonunua wao naweza fanya hivo na nini cha kuzingatia
Asante na Karibu.