Telecommunication Engineers Njoo mnieleweshe kidogo

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,106
2,000
Wakuu Habari.
Nimeamuka na hangover zangu leo nikawa nafikiria jambo hapa ndo nikapata wazo kuwa kule JF si kuna wataalamu.
1. Ni hivi mitandao kama Voda, TTCL, Airtel inauza vifurushi hivi vya internet..OK. swali wao wanapata wapi internet connection au kuna sehemu wanatengeneza hizi internet/bundle[hahahah]. Na kama kuna mtu anawauzia yeye anatoa wapi.
2. Mimi nikitaka kununua direct huko wanakonunua wao naweza fanya hivo na nini cha kuzingatia
Asante na Karibu.
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,419
2,000
Wakuu Habari.
Nimemuka na hangover zangu leo nikawa nafikiria jambo hapa ndo nikapata wazo kuwa kule JF si kuna wataalamu.
1. Ni hivi mitandoa kama Voda, TTCL, Airtel inauza vifurushi hivi vya internet..OK. swali wao wanapata wapi internet connection au kuna sehemu wanatengeneza hizi internet/bundle[hahahah]. Na kama kuna mtu anawauzia yeye anatoa wapi.
2. Mimi nikitaka kununua direct huko wanakonunua wao naweza fanya hivo na nini cha kuzingatia
Asante na Karibu.
Hahaha subiri waje wazee wa, data plan, band width hahahaha
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
17,009
2,000
Ingawa mimi sio fani yangu ntakuelekeza

No one actually owns the Internet, and no single person or organization controls the Internet in its entirety.

No one actually owns the Internet, and no single person or organization controls the Internet in its entirety. The Internet is more of a concept than an actual tangible entity, and it relies on a physical infrastructure that connects networks to other networks.

Ngoja kwanza mkuu narudi tena
 
In short hapa ni infrastructure ndo mpango mzima
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
7,380
2,000
em tuanzie mbali kidogo nini maana ya internet, internet = interconnected network , yaani mtandao ndani ya mtandao, lengo ni kurahisisha mawasiliano

kama vile mtandao wa barabara kurahisiha usafiri(mawasailiano) kati ya bukoba mpaka dsm

kuna ile triki unatumia vikombe viwili , na kamba ( nyuzi za kiroba) alaf mnakua mnaongea watu wawili

pale tayari na mtandao wa watu-2, ukiongeza kamba na kikombe ukamvutia mtu wa 3 tayari pale ni mtandao wa watu-3

chukualia 'internet' tuliyonayo ni mtandao wa watu bilioni 7 ivi 😁 😁 lengo ni mawasiliano ( kutuma na kupokea taarifa )

so ni lazima uwe na barabara ( route) ambayo ni moja ya miundombinu, kusafirisha taarifa point moja adi nyingine

chukulia mfumo wa dawasco bomba zile zinazotoka Ruvu kuja DSM zinakua ni kubwa (thick) mno, ila kila zikisambaa zaidi kwa 'watuamiaji' zinapungua ukubwa wake ( diameter )

ndicho icho kilicho kwenye mfumo wa 'internet'

kwa level ya juu kabisa (mwanzo) , level-1, tuna:

a. Tier 1 network ambayo ni haya hapa

hawa wamejiunganisha wenyewe ( peering) kwa kutumia mabomba makubwa (route ) na hakuna anaelipa kwa mwenzake

so kila mmoja kwenye iyo level-1 network, ina 'tap' bomba na kumuuzia anaefuata kwa level ya chini yake, level-2

so walio kwenye level-2 wananunua 'IP transit' kutoka kwa level-1, sawa na wewe uunganishiwe umeme kutoka kwenye nguzo au uunganishiwe bomba la maji kutoka bomba la mchina

hawa level-2 wanaitwa Tier 2 network ambao ni hawa hapa

ukicheki vizuri hapo utaona hawa Tier 2 wananunua 'transit' kutoka kwa Tier 1 ( hawanunui Bandwidth aka MBs)

b. Distribution bado inaendelea, hawa level-2 wanawaungia bomba (route) ambao wanaitwa mid-sized ISPs
na kuwauzia 'IP transit', yaani unalipia gharama za kuungiwa bomba (sio bandwidth) na gharama za kuwa katika 'mtandao'

kumbuka members wote waTier 2 mabomba yao yote yameungwa pamoja (peering) ( kama ilivyo kwa Tier 1) na hawachajiani.

lengo la 'peering' ni kuongeza 'connectivity enhancement'

kabla sijaenda mbali bomba hapa namaanisha 'barabara za kimawasiliano' ambayo ni kwa njia ya waya (fiber) au no- waya (satelliite)

Baadhi ya mid-sized ISPs ni Etisalat ( Zantel inachukua transit uko) Vodafone ( kama Tier / Tier 2 pia, Vodacom Tz inachukulia transit uko ) , nk

halafu tunakuja kwa Tier 3 network, izi ndo zile ndogo kabisa akina Zantel, Tigo, Airtel, ambao huungia 'transit' na makampuni mama yao

mf: Airtel Tz inaungwa na Bharti ya India, anachokifanya Airtel Tz ni kuwa na 'Internet Gateways' kujiunga kama bomba linalotoka India ( again kwa njia ya waya(fiber) au wireless(Satellite)

Baadhi ya ISPs hapa Tz wanatumia gateways (on lease) za ISPs wengine ( mf: Tigo kwa Zantel )

chain bado inaendelea, hawa Tier 3 network wanachofanya ni kujenga BTS (minara), BSC ( visimamizi vya minara), MSC ( mfumo wa taarifa ipi iende wapi na kwa nani ), links( fiber kupitishia data) , nk kwenda kwa wateja wa mwisho (end users)

then inauza Bandwidth kwa akina sisi (end users ) , Bandwidths ni MBs
 
chukualia 'internet' tuliyonayo ni mtandao wa watu bilioni 7 ivi lengo ni mawasiliano ( kutuma na kupokea taarifa )

Mkuu kama nimeanza kukuelewa. Swali la nyongeza mfano hawa wanaosupply internet na data kama simbernet ni midsized, nao wanasupplier wao au inakaaje.
 
hao ni broker, retailer wa kawaida, anaungwa na moja ya 'gateways' zilizo hapahapa Tz, anauziwa kwa Bandwidth za jumla then yeye anauza kwa rejareja
 
guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,106
2,000
hao ni broker, retailer wa kawaida, anaungwa na moja ya 'gateways' zilizo hapahapa Tz, anauziwa kwa Bandwidth za jumla then yeye anauza kwa rejareja
Hapa unaposema *gateways* una maanisha kama vodacom na zantel..
 
griffin griffith

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
513
500
em tuanzie mbali kidogo nini maana ya internet, internet = interconnected network , yaani mtandao ndani ya mtandao, lengo ni kurahisisha mawasiliano

kama vile mtandao wa barabara kurahisiha usafiri(mawasailiano) kati ya bukoba mpaka dsm

kuna ile triki unatumia vikombe viwili , na kamba ( nyuzi za kiroba) alaf mnakua mnaongea watu wawili

pale tayari na mtandao wa watu-2, ukiongeza kamba na kikombe ukamvutia mtu wa 3 tayari pale ni mtandao wa watu-3

chukualia 'internet' tuliyonayo ni mtandao wa watu bilioni 7 ivi lengo ni mawasiliano ( kutuma na kupokea taarifa )

so ni lazima uwe na barabara ( route) ambayo ni moja ya miundombinu, kusafirisha taarifa point moja adi nyingine

chukulia mfumo wa dawasco bomba zile zinazotoka Ruvu kuja DSM zinakua ni kubwa (thick) mno, ila kila zikisambaa zaidi kwa 'watuamiaji' zinapungua ukubwa wake ( diameter )

ndicho icho kilicho kwenye mfumo wa 'internet'

kwa level ya juu kabisa (mwanzo) , level-1, tuna:

a. Tier 1 network ambayo ni haya hapa

hawa wamejiunganisha wenyewe ( peering) kwa kutumia mabomba makubwa (route ) na hakuna anaelipa kwa mwenzake

so kila mmoja kwenye iyo level-1 network, ina 'tap' bomba na kumuuzia anaefuata kwa level ya chini yake, level-2

so walio kwenye level-2 wananunua 'IP transit' kutoka kwa level-1, sawa na wewe uunganishiwe umeme kutoka kwenye nguzo au uunganishiwe bomba la maji kutoka bomba la mchina

hawa level-2 wanaitwa Tier 2 network ambao ni hawa hapa

ukicheki vizuri hapo utaona hawa Tier 2 wananunua 'transit' kutoka kwa Tier 1 ( hawanunui Bandwidth aka MBs)

b. Distribution bado inaendelea, hawa level-2 wanawaungia bomba (route) ambao wanaitwa mid-sized ISPs
na kuwauzia 'IP transit', yaani unalipia gharama za kuungiwa bomba (sio bandwidth) na gharama za kuwa katika 'mtandao'

kumbuka members wote waTier 2 mabomba yao yote yameungwa pamoja (peering) ( kama ilivyo kwa Tier 1) na hawachajiani.

lengo la 'peering' ni kuongeza 'connectivity enhancement'

kabla sijaenda mbali bomba hapa namaanisha 'barabara za kimawasiliano' ambayo ni kwa njia ya waya (fiber) au no- waya (satelliite)

Baadhi ya mid-sized ISPs ni Etisalat ( Zantel inachukua transit uko) Vodafone ( kama Tier / Tier 2 pia, Vodacom Tz inachukulia transit uko ) , nk

halafu tunakuja kwa Tier 3 network, izi ndo zile ndogo kabisa akina Zantel, Tigo, Airtel, ambao huungia 'transit' na makampuni mama yao

mf: Airtel Tz inaungwa na Bharti ya India, anachokifanya Airtel Tz ni kuwa na 'Internet Gateways' kujiunga kama bomba linalotoka India ( again kwa njia ya waya(fiber) au wireless(Satellite)

Baadhi ya ISPs hapa Tz wanatumia gateways (on lease) za ISPs wengine ( mf: Tigo kwa Zantel )

chain bado inaendelea, hawa Tier 3 network wanachofanya ni kujenga BTS (minara), BSC ( visimamizi vya minara), MSC ( mfumo wa taarifa ipi iende wapi na kwa nani ), links( fiber kupitishia data) , nk kwenda kwa wateja wa mwisho (end users)

then inauza Bandwidth kwa akina sisi (end users ) , Bandwidths ni MBs
Shukrani,nimefaidika
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
6,121

Asante kwa elimu
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,973

Thank you!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom