TEKNOLOJIA YA ROBOTI: midoli ya kufanyia mapenzi

Anikajema

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
418
500
mara hana uhai mara anaongea mara kuna mda hasikii hamu yakufanya mapenzi duuuh mi bora nurudi zangu Facebook huku watu wanaakili nyingi sana
 
Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
6,089
2,000
Nimeisha puyanga huko 30 kitambo.. naitafuta 40.. mtoto makali unamywa mate yenye wine πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mgongo soft.. room lina mvuke amazing na ka marafishi flani hivi.. ngoja nianze safari nikasake pesa mie πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Utu uzima huo bado unawaza ujinga kiasi hicho,.
Stuka mzee baba it's too late
Achana na hizo mambo
 
Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
6,089
2,000
Dunia inakwenda kasi mno, kufikia 2050 watu watapunguza kabisa kuoana na kuzaliana labda.
Ndo kinachoendelea nchi za magharibi leo hii,
Kweli kule nilishangaa sana, hawa watu Wa jinsia moja kuishi na kufunga ndoa ni jambo la kawaida sana pale.
Halafu kitu kingine kule watu wanaoana lengo si kupata watoto bali ni kustarehe tu maana wanaona kuzaa ni gharama na upotevu wa muda.

Hii dunia inashangaza
 
East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,838
2,000
Kwa umri huo unatakiwa uwe na wife na mtoto mmoja tu maisha yaendelee.
Hawa watoto wakali sijui pisi hawaishi broo
Wife eeh! Nikisha touch 40 ndio nitavuta na wife sasa... asahivi acha nitafute pesa na yaliyo muhimu katika ndoto zangu ili zikamilike. Sijawahi kukimbilia vitu kwasababu wengine wanafanya, maana hakuna umri maalumu wa kuoa au kuzaa bali huwa ni mipango na uamuzi wa wahusika. Pisi kali nazila maana mie ni mwandamu na kuna kipindi nakuwa na kiu..
 
Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
6,089
2,000
Wife eeh! Nikisha touch 40 ndio nitavuta na wife sasa... asahivi acha nitafute pesa na yaliyo muhimu katika ndoto zangu ili zikamilike. Sijawahi kukimbilia vitu kwasababu wengine wanafanya, maana hakuna umri maalumu wa kuoa au kuzaa bali huwa ni mipango na uamuzi wa wahusika. Pisi kali nazila maana mie ni mwandamu na kuna kipindi nakuwa na kiu..
Unaweza tafuta pesa Sahiv na usizipate kama unavyotaka ila ukaoa mambo yakakaa sawa tu.
Hii kuruka ruka na. Mapisi makali wengine wana nuksi sana na mikosi, so kuwa makini
 
East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,838
2,000
Unaweza tafuta pesa Sahiv na usizipate kama unavyotaka ila ukaoa mambo yakakaa sawa tu.
Hii kuruka ruka na. Mapisi makali wengine wana nuksi sana na mikosi, so kuwa makini
Umeongea ukweli kabisa. Mapisi mengine nuksi, kuna moja nilipiga nimepitiwa na usingizi nikaona kama nimelala na lidudu flani hivi, alafu badae nikaoneshwa hati ya mashtaka na hukumu. Nikajua tayari nimelala na kimeo walahi.. mambo yaliyumba kishenzi .. ila ndio ivyo bwana. Nikifisha 40 nitao tu, sio kwamba sio kwasababu sina hela ya kutunza mke na mtoto hapana, sioi kwasababu sikuwa na plan ya kuoa tangu nikiwa mdogo kabla ya kufikisha 40. Umeongea kitu kizito sana. Ngoja sasa hivi nibaki na pisi moja tu, tuleane.
 
Kuna pisi nakutumia pm ipo mamtoni kama utafika bei fresh
 
East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,838
2,000
Aisee kweli kabisa huu uchumi wa kati nami umenigusa kabisa aisee, chezea Hapana chezea
Hatujui mwakani, ila mwisho wa mwaka huu umekuwa ni mgumu kwangu tangu mitano iliyopita. Sijawai pitia ugumu wa kifedha kama hii miezi miwili ya mwisho.. plus TRA wakaja malizia kabisa.. πŸ₯²πŸ₯². Naishi kwasababu ya network niliyo jenga.. sasa hiyo pisi ya mamtoni sito iweza. But mwezi wa nne paka wa sita nitakucheki sasa.. najua nitakuwa nime recover πŸ₯Έ
 
East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,838
2,000
Bado una nafasi ya kutafuta maisha nje ya Tanzania, kwanini unakuwa muoga
Huko wanapochomana vaccine ? Licha ya kufanya upuuzi . Bado naamini sana katika maadili ya ki africa japo kadri siku ziendavyo yanapotea. Ulaya na maisha yao hapana kuna ujinga mwingi sipendi kuuona machoni pangu ambao huko ulaya ni haki za watu. Sija ogopa kuisha nje ya Tanzania. Ila Tanzania kuna fursa nyingi sana na utajiri wa kuokota. Ni swala la mfuno sasa hivi ndio umetutoa kwenye reli.. ilq soon tunarudi..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom