Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,325
- 1,034
Mwisho wa dunia
Yapkwamba kiama kiko karibu sio🤷♂️
Mwenyeezi Mungu hakukusudia kukupa kheri nyingi Binadamu sio kwa ajili ya hiyo Midoli ya sanamu. Unafananisha Aya katika Quran na midoli ya sanamu? umekufuru wewe na mtu aliye kufuru adhabu yake kwa Mungu ni moto wa jahamu tubu haraka ama sivyo moto waMwenyeezi Mungu unakungojea upate kukunguza vibaya sana.Hakuna kitu kimefanya nimuamini Mungu wangu kama maneno yake yaliyonenwa na yeye huyo huyo mungu kwenye moja ya vitabu vyake vitakatifu karne nyingi zilizopita na kwa uwezo wake usio kifani yakatimia
Sikuwa na shaka pale nilipopitia miongoni mwa vitabu vyake huyu mwenyezimungu chenye maneno adhwiimu yenye , yenye fanaka , kujaza ujasiri na hamasa kwa wafuato kitabu hicho qur'an
Akatwambia kwenye kitabu hicho hicho
katika sura ya 108 aya 1 ... "hakika sisi tumekupa heri nyingi"
swadaktana mungu alinena yakini kabisa
Alileta heri nyingi sana katika zama hizi kuliko zama za kale zaidi..... ikiwemo moja ni maendeleo ya sayansi na teknolojia...
Katika hili la maendeleo ya teknolojia na sayansi kuna mengi yenye faida tele na hasara.
Lakini mwanadamu huyu hakusita kuendelea kuonyesha bobezi kwenye nyanja mbalimbali za kiteknolojia na sayansi.
Hakuacha kurusha vyombo kwenda anga za mbali vyovyote kila apendavyo mchezo wa kuruka na kutua mwezini aliufanikisha tangu miaka 1960s,
Na kama ujuavyo nyakati hizi tunae mwanadamu mwenye talanta ya aina yake , mbunifu, mwanaume makini na mchapakazi Elon musk hakuacha kukushitukiza kila alipoona sabababu yakufanya hivyo, alipouambia ulimwengu ajenda yake ya mwanadamu kuishi sayari tofauti na sayari aliyotuweka mwenyezimungu tangu enzi......afanye nini tena cha kukushangaza ushtuke ilhali ushamzoea
Mwanadamu hakuacha kutengeneza ndege,meli,silaha za kisasa, majengo ya kisasa, na miundombinu iliyo bora zaidi tofauti na zama za nyuma za kina baba yetu ibrahimu na yule mtengeneza safina, Nuhu
Pengine hili pia lingekuacha katika namna ya kushangaza,mdomo wazi na tafakuri ya hali ya juu
ila mwanadamu huyu huyu hakusita kulifanya.
Wahenga wanasemaga kata pua uunge wajihi
Ukiteleza ukaweka kasoro basi utalazimika kuziba mapengo yaliyosababisha kasoro zako.
Wengi wetu tungependa kuwa na mwanamke mzuri mrembo na anaevutia kama cleopatra wa kule misri..anaependeza machoni kwa kila mwanadamu anaemtazama katu asingeacha kumsifu.... pengine hata punda na faru wa kule mbugani wangependa kuwa karibu naye
View attachment 1636576
Huenda pia sie twajua sababu 5 kati ya 75.6 wazijuao wao za kufanya hayo wayafanyao
Haya ndiyo maendeleo ya teknolojia na sayansi
kuna Roboti/midoli iliyotengenezwa kwa minajili ya kazi mbali mbali lakini kuna hii iliyo maalumu ajili ya kuwaridhisha watu katika mapenzi imetengezwa midoli aina tofauti tofauti.
ila Harmony doll ndiyo midoli iliyotengenezwa kwa uwezo wa hali ya juu kabisa kabisa kwa ajili ya kufanya mapenzi
View attachment 1636577
Wamarekeni huko california walifanya maajabu ya mdoli huyu mwaka 2018 ...mwenye viwango vya hali ya juu kabisa vya mapenzi kama mwanamke halisi
Basi kama ingekuwa kisoka basi tungemtaja de jong yule wa barcelona mwenye kupiga pasi za viwango pasi ambayo ukishindwa kuipokea basi ni vile tu wewe huujui mpira lakini viwango vyake ni maridhawa.
Wanadamu walimuunda mdoli huyu kama roboti mwenye sifa zote za mwanamke halisi isipokuwa uhai..
View attachment 1636579
Ungepata mwenye sura pana na nyembamba, ungepata mwenye makalio makubwa na ya kati na ungepata pia mwenye madogo ilimradi kuzingatia, matakwa ,vigezo na hisia za mteja.
Mdoli huyu anaongea kama mwanadamu halisi, anaweza kukumbuka siku yake ya kuzaliwa , ana uwezo wa kumshawishi mwanaume kufanya mapenzi kwa pozi na maneno tamanishi ya kumtoa mwana nyoka na ***** pangoni.
Pia ana uwezo wa kukataa kufanya mapenzi endapo atachukizwa au asipopata hamu na hamasa ya kufanya hivyo.
View attachment 1636580
Ana Ngozi laini mno, nyororo kama ya mwanadamu ...nyororo mithili ya sufi ya kondoo pamoja na maungo yaliyoundwa kiutaalamu na ubobezi wa hali ya juu pia yangeweza kutatanisha hisia za mwanaume aliekamilika.... huwa wazuri mno wa sura japo ni fake.
View attachment 1636592
Atafanya mbwembwe zote na mbilinge, wakati wa kufanya mapenzi kama inavyokuwa kwa mwanamke halisi kama vile kugugumia kwa hisia na kufikia mshindo (kilele)
View attachment 1636588
Mmiliki wa mdoli huyo alipata kusema mdoli huyo ni bora kuliko mwanamke halisi lakini alipingwa vikali na wanaopinga midoli hio wakidai kusema hivyo ni kwenda kinyume na haki za wanawake.
View attachment 1636589
Midoli hiyo imetengenezwa mingi zaidi ili kuwapa nafasi watu wenye uraibu nayo kuweza kujipatia na kutuliza haja zao.
Wanaamini wanatengeza kwa lengo la kupunguza msongo wa mawazo kwa wale wapendao kwa wale wakosao wanawake basi huleta ladha tofauti, japo watu wa imani za dini hupinga na kusema kufanya hivyo ni kwenda kinyume na matakwa MUNGU baba.
View attachment 1636590
Alias Brick alikuwa wa kwanza kununua mdoli huyu kwa pesa zenye thamani ya Tshs millioni 33 na laki 9.
View attachment 1636591
Na kwa nchi zilizoendelea hii kampuni zipo nyingi zinazofanya biashara hii kwa kuuza na kokodisha.
View attachment 1636595
sjafananisha aya za qur'an tukufu na midoli .... usniingize katika dhambi nionyeshe ni sehemu gani nmeifananisha qur'an na midoli ...bali qur'an na maendeleo ya sayansi na teknolojia ungeelewa kwanza vifungu vya mwanzo nlikuwa najaribu kugusia nini sio kunimilikisha moto kama wewe ndiye mmiliki wa huo motoMwenyeezi Mungu hakukusudia kukupa kheri nyingi Binadamu sio kwa ajili ya hiyo Midoli ya sanamu. Unafananisha Aya katika Quran na midoli ya sanamu? umekufuru wewe na mtu aliye kufuru adhabu yake kwa Mungu ni moto wa jahamu tubu haraka ama sivyo moto waMwenyeezi Mungu unakungojea upate kukunguza vibaya sana.
Unatoa Aya ya Quran kwa kufananisha na Teknolojia ya ki-Sheytwani? Ngojea utakapo kufa Allah Subhana Wataala atakavyo kuadhibu. Hiyo aya Allah Subhana Wataala alikusudia kumwambia Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake pamoja na amani sio binadamu wote. Na hata kama binadamu wote tumekusudiwa sio kwa ajili ya kutengeneza Midoli ya kufanyia Zinaa aka uchafu wakati binadamu wapo wanawake wa kuolewa. Midoli ya kazi gani wakati wapo binadamu wa kuwao? Kama wewe ni Muislam rudi haraka kwa Mola wako upate kuleta Toba kabla ya kufa. Ukiendelea kubisha Allah Subhana Wataala anakungojea utakapo kufa na kuingizwa kaburini hapo ndipo utakapomjuwa Allah Subhana wataala ni nani kwako? na hataki mambo ya mchezo na Maneno yake aka (Quran Tukufu). Kisheria Umekufuru kuzichezea Aya za Quran Rudi kwa Mola wako ulete toba haraka iwezekanavyo. Maandiko yako inaonyesha wewe sio Muislam wewe ni kafiri au Mkristo.sjafananisha aya za qur'an tukufu na midoli .... usniingize katika dhambi nionyeshe ni sehemu gani nmeifananisha qur'an na midoli ...bali qur'an na maendeleo ya sayansi na teknolojia ungeelewa kwanza vifungu vya mwanzo nlikuwa najaribu kugusia nini sio kunimilikisha moto kama wewe ndiye mmiliki wa huo moto
naiheshimu sana qur'an na alieileta
Unatoa Aya ya Quran kwa kufananisha na Teknolojia ya ki-Sheytwani? Ngojea utakapo kufa Allah Subhana Wataala atakavyo kuadhibu. Hiyo aya Allah Subhana Wataala alikusudia kumwambia Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake pamoja na amani sio binadamu wote. Na hata kama binadamu wote tumekusudiwa sio kwa ajili ya kutengeneza Midoli ya kufanyia Zinaa aka uchafu wakati binadamu wapo wanawake wa kuolewa. Midoli ya kazi gani wakati wapo binadamu wa kuwao? Kama wewe ni Muislam rudi haraka kwa Mola wako upate kuleta Toba kabla ya kufa. Ukiendelea kubisha Allah Subhana Wataala anakungojea utakapo kufa na kuingizwa kaburini hapo ndipo utakapomjuwa Allah Subhana wataala ni nani kwako? na hataki mambo ya mchezo na Maneno yake aka (Quran Tukufu). Kisheria Umekufuru kuzichezea Aya za Quran Rudi kwa Mola wako ulete toba haraka iwezekanavyo.
mimi ni muislam mkuu , na nashuhudia kuwa hakuna mola isipokuwa ALLAH , na nashuhudia kuwa muhammadi ndiye mtume wake wa mwisho....... naona tofauti yetu iko katika kuelewana .., nmeanza kusifu uwezo wake mungu kwa kuleta teknolojia katika umma huu wa mtume muhammadi , teknolojia iliyorahisisha mengi kwa maan katika vifungu kadhaa , nmegusia utengenezwaaji wa magari ardhi na magari anga(ndege) hii yote ni kuonyesha allah kajaalia mwanadamu kuguundua vingi na maendeleo mengi ya sayansi na teknolojikatika zama za jadalhusain(muhammad s.a.w)....hivyo aya zangu zililenga kiwango cha mwanadamu kuendelea kwenye teknolojiUnatoa Aya ya Quran kwa kufananisha na Teknolojia ya ki-Sheytwani? Ngojea utakapo kufa Allah Subhana Wataala atakavyo kuadhibu. Hiyo aya Allah Subhana Wataala alikusudia kumwambia Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake pamoja na amani sio binadamu wote. Na hata kama binadamu wote tumekusudiwa sio kwa ajili ya kutengeneza Midoli ya kufanyia Zinaa aka uchafu wakati binadamu wapo wanawake wa kuolewa. Midoli ya kazi gani wakati wapo binadamu wa kuwao? Kama wewe ni Muislam rudi haraka kwa Mola wako upate kuleta Toba kabla ya kufa. Ukiendelea kubisha Allah Subhana Wataala anakungojea utakapo kufa na kuingizwa kaburini hapo ndipo utakapomjuwa Allah Subhana wataala ni nani kwako? na hataki mambo ya mchezo na Maneno yake aka (Quran Tukufu). Kisheria Umekufuru kuzichezea Aya za Quran Rudi kwa Mola wako ulete toba haraka iwezekanavyo. Maandiko yako inaonyesha wewe sio Muislam wewe ni kafiri au Mkristo.
Baada ya Alexander kufa na ufalme wake kugawanyika vipande vinne, jemedari wa Alexander aitwaye Ptolemy ndiyo alipewa Misri ,atawale. Sasa Cleopatra ni mzao wa huyo jemedari Ptolemy ndiyo kwahyo cleopatra asili yake ni MGIRIKIHivi Cleopatra alikuwa na asili gani?Mweusi au?
Hivi misri leo ina watu wa asili gani?Waarabu?
Hivi hao midoli weusi wapo?
😂😂😂k ya huyo mdoli ina uteute na joto? vipi kuhusu ukubwa wa k ni bwawa au pango?
Unaambiwa kila kitu kamak ya huyo mdoli ina uteute na joto? vipi kuhusu ukubwa wa k ni bwawa au pango?
😅😅😅😅mara hana uhai mara anaongea mara kuna mda hasikii hamu yakufanya mapenzi duuuh mi bora nurudi zangu Facebook huku watu wanaakili nyingi sana
😅😅k ya huyo mdoli ina uteute na joto? vipi kuhusu ukubwa wa k ni bwawa au pango?