Nimekuwa nikipitia makala nyingi za tekinolojia mbalimbali katika nyakati hizi za karne hii, ukiangalia kwa makini makala nyingi zinaenda kinyume na 'Naturality' , mfano mzuri ni kuhusu project ya bwana mkubwa Elon Musk, anajitahidi sana tena mno kutushangaza kwa uwezo wake mkubwa wa akili kuweza kubuni teknolojia ambazo zitasaidia kwenda kuishi sayari nyingine mfano, Mars. jambo la kujiuliza ni kuwa je Mwenyezi Mungu wakati anaumba ulimwengu kwanini asingeweka binadamu kilasayari? Tunakuja kuona kwamba , aliona ni vema sana kutuweka Duniani ambapo tutaishi na kuzaliana. Tukija kwenye suala la 'Harmony doll' au wengine wanasema midoli ya Mapenzi hii moja kwa moja inajieleza ni kwa namna gani watu wanaona uumbaji wa Mungu haufai(wanamchallenge MUNGUU) kwa kutengenezea vitu vya kuwarahisishia binadamu kufanya dhambi (Musturbation). all in all this is the sign of ANTICHRIST.
Nimewaza tu.🙂🙏🙏🙏🙏