Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,468
Hakuna kitu kimefanya nimuamini Mungu wangu kama maneno yake yaliyonenwa na yeye huyo huyo mungu kwenye moja ya vitabu vyake vitakatifu karne nyingi zilizopita na kwa uwezo wake usio kifani yakatimia
Sikuwa na shaka pale nilipopitia miongoni mwa vitabu vyake huyu mwenyezimungu chenye maneno adhwiimu yenye , yenye fanaka , kujaza ujasiri na hamasa kwa wafuato kitabu hicho qur'an
Akatwambia kwenye kitabu hicho hicho
katika sura ya 108 aya 1 ... "hakika sisi tumekupa heri nyingi"
swadaktana mungu alinena yakini kabisa
Alileta heri nyingi sana katika zama hizi kuliko zama za kale zaidi..... ikiwemo moja ni maendeleo ya sayansi na teknolojia...
Katika hili la maendeleo ya teknolojia na sayansi kuna mengi yenye faida tele na hasara.
Lakini mwanadamu huyu hakusita kuendelea kuonyesha bobezi kwenye nyanja mbalimbali za kiteknolojia na sayansi.
Hakuacha kurusha vyombo kwenda anga za mbali vyovyote kila apendavyo mchezo wa kuruka na kutua mwezini aliufanikisha tangu miaka 1960s,
Na kama ujuavyo nyakati hizi tunae mwanadamu mwenye talanta ya aina yake , mbunifu, mwanaume makini na mchapakazi Elon musk hakuacha kukushitukiza kila alipoona sabababu yakufanya hivyo, alipouambia ulimwengu ajenda yake ya mwanadamu kuishi sayari tofauti na sayari aliyotuweka mwenyezimungu tangu enzi......afanye nini tena cha kukushangaza ushtuke ilhali ushamzoea
Mwanadamu hakuacha kutengeneza ndege,meli,silaha za kisasa, majengo ya kisasa, na miundombinu iliyo bora zaidi tofauti na zama za nyuma za kina baba yetu ibrahimu na yule mtengeneza safina, Nuhu
Pengine hili pia lingekuacha katika namna ya kushangaza,mdomo wazi na tafakuri ya hali ya juu
ila mwanadamu huyu huyu hakusita kulifanya.
Wahenga wanasemaga kata pua uunge wajihi
Ukiteleza ukaweka kasoro basi utalazimika kuziba mapengo yaliyosababisha kasoro zako.
Wengi wetu tungependa kuwa na mwanamke mzuri mrembo na anaevutia kama cleopatra wa kule misri..anaependeza machoni kwa kila mwanadamu anaemtazama katu asingeacha kumsifu.... pengine hata punda na faru wa kule mbugani wangependa kuwa karibu naye
Huenda pia sie twajua sababu 5 kati ya 75.6 wazijuao wao za kufanya hayo wayafanyao
Haya ndiyo maendeleo ya teknolojia na sayansi
kuna Roboti/midoli iliyotengenezwa kwa minajili ya kazi mbali mbali lakini kuna hii iliyo maalumu ajili ya kuwaridhisha watu katika mapenzi imetengezwa midoli aina tofauti tofauti.
ila Harmony doll ndiyo midoli iliyotengenezwa kwa uwezo wa hali ya juu kabisa kabisa kwa ajili ya kufanya mapenzi
Wamarekeni huko california walifanya maajabu ya mdoli huyu mwaka 2018 ...mwenye viwango vya hali ya juu kabisa vya mapenzi kama mwanamke halisi
Basi kama ingekuwa kisoka basi tungemtaja de jong yule wa barcelona mwenye kupiga pasi za viwango pasi ambayo ukishindwa kuipokea basi ni vile tu wewe huujui mpira lakini viwango vyake ni maridhawa.
Wanadamu walimuunda mdoli huyu kama roboti mwenye sifa zote za mwanamke halisi isipokuwa uhai..
Ungepata mwenye sura pana na nyembamba, ungepata mwenye makalio makubwa na ya kati na ungepata pia mwenye madogo ilimradi kuzingatia, matakwa ,vigezo na hisia za mteja.
Mdoli huyu anaongea kama mwanadamu halisi, anaweza kukumbuka siku yake ya kuzaliwa , ana uwezo wa kumshawishi mwanaume kufanya mapenzi kwa pozi na maneno tamanishi ya kumtoa mwana nyoka na ***** pangoni.
Pia ana uwezo wa kukataa kufanya mapenzi endapo atachukizwa au asipopata hamu na hamasa ya kufanya hivyo.
Ana Ngozi laini mno, nyororo kama ya mwanadamu ...nyororo mithili ya sufi ya kondoo pamoja na maungo yaliyoundwa kiutaalamu na ubobezi wa hali ya juu pia yangeweza kutatanisha hisia za mwanaume aliekamilika.... huwa wazuri mno wa sura japo ni fake.
Atafanya mbwembwe zote na mbilinge, wakati wa kufanya mapenzi kama inavyokuwa kwa mwanamke halisi kama vile kugugumia kwa hisia na kufikia mshindo (kilele)
Mmiliki wa mdoli huyo alipata kusema mdoli huyo ni bora kuliko mwanamke halisi lakini alipingwa vikali na wanaopinga midoli hio wakidai kusema hivyo ni kwenda kinyume na haki za wanawake.
Midoli hiyo imetengenezwa mingi zaidi ili kuwapa nafasi watu wenye uraibu nayo kuweza kujipatia na kutuliza haja zao.
Wanaamini wanatengeza kwa lengo la kupunguza msongo wa mawazo kwa wale wapendao kwa wale wakosao wanawake basi huleta ladha tofauti, japo watu wa imani za dini hupinga na kusema kufanya hivyo ni kwenda kinyume na matakwa MUNGU baba.
Alias Brick alikuwa wa kwanza kununua mdoli huyu kwa pesa zenye thamani ya Tshs millioni 33 na laki 9.
Na kwa nchi zilizoendelea hii kampuni zipo nyingi zinazofanya biashara hii kwa kuuza na kokodisha.
.
DA'VINCI XV