Tekashi 69 na usaliti( snitch)

Wasanii hawa wapya wa hip pop wanawindwa sana na mapolisi wa kizungu kule kutokana na nymbo zao...wanajua vtu ka bhangi lazma wawe navyo
 
Darmian usemalo ni kweli.
Huyu dogo sijawahi kuzielewa nyimbo zake hata siku moja.
Yaani utumbo tu halafu sasa ukiingia YouTube unakuta viewers kibao sio chini ya 50 milion
 
Tekashi 69..huyu dogo alikuwa anakuja moto sana na muziki wake wa kipuuzi puuzi tu
Iz Fcukin' Trey way..Mbona ngoma za mwana ni kali tu?labda kama hufuatilii na hupendi Trap music,Ebu sikiliza Fefe,Gumo,Stoopid,Bebe alaf utanambia.
 
Hao Mablack wapumbavu nini?

Nani afungwe miaka 47 kisa masela?

Ungese kama huo unafanywa na mafala tuu
 
Hao Mablack wapumbavu nini?

Nani afungwe miaka 47 kisa masela?

Ungese kama huo unafanywa na mafala tuu
 
Watu marufu marekani hasahasa wasanii wa muziki kama 50 cent wameshambulia vikali msanii mwenzao tekashi 69 ambae yuko rumande uku akisubiria hukumu ya miaka 47 ndani. Sasa swala limekuja baada ya msanii huyo kukubali kusnitch genge lake na kutaja vitendo vyote vihalifu amabavyo walikuwa wakifanya kundi lake la nine trey gang na ukweli wote kuhusu kundi ilo ili aweze kupata plea deal yani apunguziwe kifungo cha miaka.Pia kuna tetesi msanii huyo amefika mbali kuwataja adi james john na cardi b kuwa wanahuska na kundi ilo la kihalifu marekani.Nieleweke kidogo kusnitch marekani kwa jamii nyeusi ni kosa kubwa sana hasa kwa wahuni ambapo msanii huyo awali alikuwa akiishi maisha ayo na aliwezakusaidia ilo kundi kuwanunulia vitu kama silaha na kadhalika....Je msanii huyo kavunja miiko ya kuwa gangsta na uhanahipop au yuko sahh ili kuepuka miaka mingi ndani?...tunapochagua uhuni lazima tujue na matokeo yake badae...hawa wakishua wanaojifunza uhuni baadae wanasahau kuwa vitendo ivi vina mwisho wake ndo lilimtokea bwana mdogo.....
Pia tukumbuke kuwa bobby shirmuda anaonekana shujaa kwa kitendo alichokifanya kutosnitch wana na kukubali kula miaka ya wenzake ndani ambapo msanii huyu anategemewa kutoka mwakani kama shujaa huku tekashia akitegemea kutoka kama yuda na kutengwa na jamii yake ya uhuni na asipopata ulinzi mzuri anauliwa
he really apologize for the bullshit but anahatari kubwa pindi atakapotoka nine trey blood gang ndio waliomlea kundi hili ni kubwa kuanzia USA, Mexico, Puerto Rico
 
Back
Top Bottom