Tekashi 69 na usaliti( snitch)

í ½í¸í ½í¸í ½í¸ l love it
6ix9ine:it's fuckin trey way,king of new York looking for the queen
Nicki minaj:ahhh you got a right one,le..le..let bi..bi..bitch know niggah
Hahah hatari sana kitu kinaitwa Fefe icho.
 
Huenda dunia ya muziki ikampoteza kabisa rapper 6ix9ine, Imeripotiwa kuwa baada ya kutoa ushahidi Mahakamani dhidi ya kundi lake la "Nine Trey Gang" ataingia kwenye utaratibu maalumu wa kulindwa na serikali baada ya kutoa ushahidi (Witness protection) kwa kuhofia maisha yake.
.
6ix9ine akiwa chini ya utaratibu huo atalazimika kubadilisha kila kitu kwenye maisha yake ikiwemo kazi, jina, mahali pa kuishi na vitu vingine, Pia atalazimika kubadilisha muonekano wake ikiwemo kuzitoa nywele zake maarufu za rangirangi na kufuta tattoo za usoni na vyote vitaghramikiwa na waendesha mashtaka.
.
Kabla ya kukubali kushirikiana na waendesha mashtaka #6ix9ine alikuwa anatazamia kifungo cha miaka hadi 49.

CREDIT: Wasafifm
 
Mzee kuna taarifa zmesema mshkaj kakataa ishu ya witness protection
 
Baadae waanze lalamika kuwa maisha duni sijui nini wakati wako kwenye ugangster tu. Sijui kwanini watu wa huku kolomine uwa mnavutiwa na maisha ya hawa waarifu yani muandika post anaonekana kufurahia huo ugangster mob.
Usela mavi kama huu ndiyo uliowapoteza akina pac wakiwa na umri mdogo
 
69675208_155805925615415_4755152442873982801_n.jpg

watu wanazingua
 
Back
Top Bottom