Tegeta Escrow Account Corruption Scandal: Confidential files you need to read

Hakuna cha Zitto wara Kafurira huo ndio ukweli na Mkuu wa nchi kaweka wazi kuwa hizo fedha sio za serikali na ndio maana ya account ya Escrow swala la kodi ndio element tu inayohiyaji kujulikana na kulipwa....tusijaze sumu kwa wananchi na cheap politics jamani.
 
Mafuriko na tetemeko zaidi ya Tsunami
 
Hakuna cha Zitto wara Kafurira huo ndio ukweli na Mkuu wa nchi kaweka wazi kuwa hizo fedha sio za serikali na ndio maana ya account ya Escrow swala la kodi ndio element tu inayohiyaji kujulikana na kulipwa....tusijaze sumu kwa wananchi na cheap politics jamani.

mtadanganya wajinga yani isue ya bilioni 306 zito apewe mgao wa 10b huo ni uchizi mkajipange uongo huu hauwezi kufuta ukweli iliopo
 
Nimekupata Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni, pamoja na hayo bado mie naona hiyo ni arbitration process kila inpotokea kikwazo wakati wa utekelezaji wa mkataba. Swali langu liko pale plae; umeme Tanesco waliutumia na malipo yaliyowekwa Escrow a/c ni yale yale ambayo yangelipwa kwa mtoa huduma moja kwa moja.

nimesoma kwa umakini nimeona kumbe malipo yamelipwa kihalali na kama kuna utata basi waulizwe walioidhinisha pesa hiyo ambao ni gavana, waziri wa fedha, bot, cag, bunge na waziri mkuu, n.k. lakini inaonekana rugemarila alipewa pesa kihalali na ndomana TRA walimfata ili alipe kodi tena akalipishwa zaidi ya 1/3 na pesa hizo zikaingia benki tayari kwa matumizi halali.

...duh thanks mkuu kwa hizi documents....ngoja tuzichambue.....Kwa kuanza tu nimeona petition iliyofunguliwa na VIP engineering ya kina Rugemarila ilivyoamuliwa na jaji Utamwa na kutumika kama kigezo cha kuchota fedha ya escrow....huku wadau wengine kama Mechmar wakitupiliwa mbali hoja zao...

....my take:

Bado najiuliza ilikuwaje ruling ya Utamwa ilitumika kuchota fedha wakati bado wabia wengine wakiwa hawajaridhika na shauri hili???....me thinks kwamba bado kuna utata kwenye ruling hii.....maana baada yake tu ndipo wajanja wakachota fedha...Siku zote nasema sitashangaa majaji hawa kutajwa kuhusika na wizi huu.....

Palikua na msukumo wa rushwa.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha Zitto wara Kafurira huo ndio ukweli na Mkuu wa nchi kaweka wazi kuwa hizo fedha sio za serikali na ndio maana ya account ya Escrow swala la kodi ndio element tu inayohiyaji kujulikana na kulipwa....tusijaze sumu kwa wananchi na cheap politics jamani.

Yaani mtu ameshachukua pesa amepeleka anapopajua wewe ukamdai kodi Leo!? una akili kweli wewe!? Kwanini hakulipa palepale!? WEZI NYINYI, na hata msituchoshe kwa hizi porojo za Mjinga mwenzio mkuu wa kaya!
 
Hela imelipwa kisheria! Tatizo mnakurupuka na vikaratasi vya kufungia maandazi alafu mnahemka. Huwezi kujua kwann PAP kachukua fedha za escrow kama hujui Escrow ilianzishwaa kwa taratbu zipi kwenye mkataba wa kuuziana umeme baina ya TANESCO na IPTL. Tafuteni taarifa zilizoshiba siyo unalazimisha watuwakuelewe kwakupigia mistari visentesi.

Unajipa moyo na matumaini ila ndo ivyo wezi mmeumbuka.
Too late to lie.
 
JFour=Kamati ya Ufundi=Manka Musa
Hizi account ni mtu mmoja au au ni ID za pap! Mnakera kujibu hoja zote kwa ----- mmoja kwa ku copy na ku paste. Eti mnapiga mkwara wa kuanika mambo ya watu wanaowapinga si mwanike sasa biti za nini??
 
Hela imelipwa kisheria! Tatizo mnakurupuka na vikaratasi vya kufungia maandazi alafu mnahemka. Huwezi kujua kwann PAP kachukua fedha za escrow kama hujui Escrow ilianzishwaa kwa taratbu zipi kwenye mkataba wa kuuziana umeme baina ya TANESCO na IPTL. Tafuteni taarifa zilizoshiba siyo unalazimisha watuwakuelewe kwakupigia mistari visentesi.

Mkuu povu la nini? Si uweke wewe hizo taarifa za kweli zilizoshiba...otherwise tulia sindano ikuingie acha kurusha rusha mikono!
 
Hakuna cha Zitto wara Kafurira huo ndio ukweli na Mkuu wa nchi kaweka wazi kuwa hizo fedha sio za serikali na ndio maana ya account ya Escrow swala la kodi ndio element tu inayohiyaji kujulikana na kulipwa....tusijaze sumu kwa wananchi na cheap politics jamani.
Twende mbali kidogo. Hawa jamaa wa PAC walitaka kuiangusha serikali. Waachwe tu kwa sababu ya kinga yao ya Bungeni?
 
Nimezisoma docs zote, mie naona ni nyaraka za mawasiliano ya kawaida kiofisi kuhusu hayo malipo.

Inabidi tupate mwanga zaidi katika huu 'ufisadi' najaribu kujiuliza maswali haya: Je, huo umeme Tanesco walitumia? na vipi kama malipo yangefanywa kila mwezi kama walivyolipwa wengine akina Symbion na Songas, hiyo pesa isingetumika?

Ni kweli upo gizani. Pesa iliyochotwa si ya matumizi ya umeme hiyo walikua wakilipwa na bado wanalipwa. Iliyochotwa ni ya gharama za uwekezaji.
 
Hivi kweli wizi unafanyika kwa hati na barua zote hizi? Watu wazima na akili zao wanasaini documents zote hizi, watu wanashirikishwa kwa wingi namna hii!
 
Yaani mtu ameshachukua pesa amepeleka anapopajua wewe ukamdai kodi Leo!? una akili kweli wewe!? Kwanini hakulipa palepale!? WEZI NYINYI, na hata msituchoshe kwa hizi porojo za Mjinga mwenzio mkuu wa kaya!

Wananichekesha kweli eti mkuu wa nchi . Hivi kweli miaka 9 iliyopita tuna mkuu wa nchi. Kila mtu anafanya anavotaka mradi apige tu .
 
Back
Top Bottom